Msaidizi wa Benard Membe, Allan Kiluvya adaiwa kutekwa na watu ‘wasiojulikana’

Msaidizi wa Benard Membe, Allan Kiluvya adaiwa kutekwa na watu ‘wasiojulikana’

Mbona tayari wanajulikana baada Shujaa Zakaria kuwachabanga wawili shaba na wenzao kushindwa kuwaacha majeruhi ndio wakajitangaza kuwa "sisi ni usalama aka wasiojulikana, tafadhali mzee Zakaria usitumalize"
Dah noma kweli.
Kwa hyo huyo Zakaria kesi yake iliishaje?
 
Wakuu,

Taarifa nilizozipata punde zinaonyesha ndugu Allan Kiluvya ametekwa jana usiku maeneo ya Mbezi.

Allan anadaiwa kuchukuliwa na watu takribani 7 waliokuwa na silaha.

Benard Membe ambaye alikuwa Mbunge wa Mtama, ni mwanasiasa aliyefikia viwango vya juu nchini Tanzania, alikuwa Waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa katika serikali ya awamu ya nne, iliyoongozwa na Jakaya Mrisho Kikwete.

Membe aligombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015 na kuchujwa katika vikao vya ndani ambapo hatimaye Magufuli kupewa ridhaa. Toka wakati huo, amekuwa kimya na kutojishughulisha na masuala ya kisiasa.

More to follow
Too bad japo naona umeegemea zaidi kuelezea wasifu wa Membe na sio aliyetekwa.
 
huyu na vijana wake wanachokitafuta watakipata, sasa au baadae siku za usoni upuuzi huu hauwezi kupita hivihivi.

Watu walioelimika ustaarabika awafanyi mambo ya kishamba watalimia meno washamba uacha ushahidi wa wa wazi wako uchi japo wamevaa nguo.
 
Hivi hawa wote wanaotekwa na kuachiwa mbona hakuna hata mmoja amewahi kuja na story ambayo inasaidia kkupatikana kwa watekaji? Japo ile story ya Roma Mkatoliki kidogo inaweza kuwa na vi clue

History aikimbiwi siku hazigandi,
 
Hivi hiki cheo cha ''msaidizi" maana take ni nini hasa?
 
Wanatafuta Mawasiliano ya Membe hapo ni nani anawasiliana nao na kama huyo jamaa ana password ya Mitandao ya membe..Haya mambo ya Kijinga sana

Kuja mji mapema ni shule tosha,
 
Back
Top Bottom