ThugMaster
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 1,594
- 2,234
Aisee [emoji24][emoji24]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee [emoji24][emoji24]
Ha ha ha haaaTena hao wanawake ndio wako kibao. Mimi huwa nawaambia nimehasiwa fullstop.
Kipilimba Hana kanisa ana MunguHivi waumini wa Kanisa la kipilimba mlioko hapa jf mnajisikiaje. ?
Dah noma kweli.Mbona tayari wanajulikana baada Shujaa Zakaria kuwachabanga wawili shaba na wenzao kushindwa kuwaacha majeruhi ndio wakajitangaza kuwa "sisi ni usalama aka wasiojulikana, tafadhali mzee Zakaria usitumalize"
Hahaa yaani ni shidaTena hao wanawake ndio wako kibao. Mimi huwa nawaambia nimehasiwa fullstop.
Ww omary weweTunaipongeza serikali ya awamu ya tano kwa kulifanikisha hili
Too bad japo naona umeegemea zaidi kuelezea wasifu wa Membe na sio aliyetekwa.Wakuu,
Taarifa nilizozipata punde zinaonyesha ndugu Allan Kiluvya ametekwa jana usiku maeneo ya Mbezi.
Allan anadaiwa kuchukuliwa na watu takribani 7 waliokuwa na silaha.
Benard Membe ambaye alikuwa Mbunge wa Mtama, ni mwanasiasa aliyefikia viwango vya juu nchini Tanzania, alikuwa Waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa katika serikali ya awamu ya nne, iliyoongozwa na Jakaya Mrisho Kikwete.
Membe aligombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015 na kuchujwa katika vikao vya ndani ambapo hatimaye Magufuli kupewa ridhaa. Toka wakati huo, amekuwa kimya na kutojishughulisha na masuala ya kisiasa.
More to follow
Wasiojulikana wenye silaha?!...ngoja tusubiri habari za kuelea kwa kiroba.
Halafu tutaambiwa ni mwili wa mkimbizi toka Ethiopia.
huyu na vijana wake wanachokitafuta watakipata, sasa au baadae siku za usoni upuuzi huu hauwezi kupita hivihivi.
Hivi hawa wote wanaotekwa na kuachiwa mbona hakuna hata mmoja amewahi kuja na story ambayo inasaidia kkupatikana kwa watekaji? Japo ile story ya Roma Mkatoliki kidogo inaweza kuwa na vi clue
Hahahahakigogo analia tweeter baada ya info zake kuwasilishwa dawati la jinsia na watoto[emoji16][emoji16][emoji16].
Mzee weka buk-23 yako tayari kwa shughuli pevu.
Mkuu;Wanatakiwa waitwe wazakaria.siyo wasiojulikanaYaani mpk leo bado mnawaitaa wasiojulikana, ilihali kwa tukio la zakaria lile lishawafichua ni kina nani, nchi ina watu WA ajabu
Wanatafuta Mawasiliano ya Membe hapo ni nani anawasiliana nao na kama huyo jamaa ana password ya Mitandao ya membe..Haya mambo ya Kijinga sana
Comment hii inafikirishaasije kuwa aliyetekwa ni yule jamaa anayejiita kigogo kule twitter.