Msaidizi wa Benard Membe, Allan Kiluvya adaiwa kutekwa na watu ‘wasiojulikana’

Msaidizi wa Benard Membe, Allan Kiluvya adaiwa kutekwa na watu ‘wasiojulikana’

Washamba wamekuja na staili ya kutafuta password,yule Mzee wanampa kazi nzito sana ya kusema tunachunguza kajiteka na pafumu akabeba.
 
Ni huyo nduli na dikteta wa Ikulu akishirikiana na wahuni wenzake wakiongozwa na Kiongozi wa wasiojulikana Bashite mfoji vyeti na msaidizi wake taahira msiba. Kaikimbia Dar ili kuzuga watu huyo nduli.

Wakuu,

Taarifa nilizozipata punde zinaonyesha ndugu Allan Kiluvya ametekwa jana usiku maeneo ya Mbezi.

Allan anadaiwa kuchukuliwa na watu takribani 7 waliokuwa na silaha.

Benard Membe ambaye alikuwa Mbunge wa Mtama, ni mwanasiasa aliyefikia viwango vya juu nchini Tanzania, alikuwa Waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa katika serikali ya awamu ya nne, iliyoongozwa na Jakaya Mrisho Kikwete.

Membe aligombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015 na kuchujwa katika vikao vya ndani ambapo hatimaye Magufuli kupewa ridhaa. Toka wakati huo, amekuwa kimya na kutojishughulisha na masuala ya kisiasa.

More to follow
 
Allan Kamaka Kiluvia Alikuwaga Ni Msaidizi Wa Mzee BM Kwa Maana Ya Kutuma Hapa Na Pale, Juzi Mzee Alitaka Kulizwa Na Allan Baada ya Allan Kwenda Kwa Mhindi Mmoja Hapa Mjini Na Kumwambia Kwamba Mzee Anataka M.300 za Kufanyia Kampeni Na Kuweka Mambo Sawa Kwa ajili Ya 2020, Yule Mhindi Akashituka ikabidi ampigie Nape Kumuliza, nape akamwambia Mimi Sijui Kama Kweli Katumwa na Sio Rahisi BM awe na Shida ya hela Yote hyo amtume kijana wake, ikabdi Nape Amwambie Mzee Membe Mzee Akasema Mbona Sijamtuma Kwake na Wala Sina Mawasiliano Nae Kwa Sasa, Dogo akaitwa a Mzee Pale Masaki, Kuulizwa Hana Jibu, Inabidi Mzee amwambie Aache Tena Hyo Tabia na Asifike Tena Ofsini Kwake na Wala Nyumbani Kwake Pia Kuna Wakati Alishataka Kumpiga Hela Pia Aliekuwaga Mbunge Wa VM Kupitia Cdm, Philipa Ambae kwa Sasa anakaa Marekani ila Yule Mama Akawasiliana na Membe Ishu Ikabuma, Kwa Hyo Allan Ajatekwa ndio Tabia Yake Toka Zamani Hata Bm Akiwa Waziri Kuwaambia Watu Na Kuwatisha Kwamba yeye Ni Usalama Wa Taifa Ni Mtu Wa Majanga Sana, Kuna Wakati alishawahi Kufanya Kazi Tff Kama Mwanasheria Wao Ila Hakudumu Sana Pale.
Hivi hiki cheo cha ''msaidizi" maana take ni nini hasa?
 
Huko anakotaka kwenda siko....jamaa atafeli hatari...

Na CCM ina uwezo wa kumfix tu kama itaona for the benefit of the nation...hata kama yeye mwenyewe kakalia kigoda watu wanakibetua vilevile.

kufix nini ? what has broken ? Ebu eleza tuelewe
 
ha ha ha sasa wakuu,hivi unasajili jf kwa email active kweli?,hata maxmelo akiwapa detail ambazo sanasana kikubwa ni email au namba uliosajilia ,inategemea kama email yako ni bogaz au active,namba yako imesajiliwa au vp,mimi nionavyo wakipitia kwa internet service provider mfano Voda,tigo etc wanaweza kukupata kirahisi,lakini hapo ni kama unatumia line iliyosajiliwa
 
Hili la kutekwa kusurubiwa na watu wasiojulikana limekuwa ni jambo la kawaida kwa awamu hii ya 5 je hao watu wasiojulikana hawjulikani kweli? ''Kidnapping by unknown gangs it is becoming a business as usual we are smelling a rat''
Haya magenge kuyaanzisha ni kazi rahisi. Tabu ni kuyamaliza
 
Hivi hawa wote wanaotekwa na kuachiwa mbona hakuna hata mmoja amewahi kuja na story ambayo inasaidia kkupatikana kwa watekaji? Japo ile story ya Roma Mkatoliki kidogo inaweza kuwa na vi clue

..wote huwa wanahojiwa na POLISI.

..na mara zote IGP na makamanda wenzake wamekuwa wakituhakikishia kuwa Polisi wanauwezo wa kuchunguza na kuwakamata wanaohusika na utekaji.

..na siyo mara moja IGP amesisitiza kuwa Polisi wetu hawahitaji msaada wa aina yoyote kutoka kwa wachunguzi wa nje.

..Nakuomba urejee press conf alizofanya IGP Sirro baada ya matukio dhidi ya TL na MO.
 
Wakuu,

Taarifa nilizozipata punde zinaonyesha ndugu Allan Kiluvya ametekwa jana usiku maeneo ya Mbezi.

Allan anadaiwa kuchukuliwa na watu takribani 7 waliokuwa na silaha.

Benard Membe ambaye alikuwa Mbunge wa Mtama, ni mwanasiasa aliyefikia viwango vya juu nchini Tanzania, alikuwa Waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa katika serikali ya awamu ya nne, iliyoongozwa na Jakaya Mrisho Kikwete.

Membe aligombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015 na kuchujwa katika vikao vya ndani ambapo hatimaye Magufuli kupewa ridhaa. Toka wakati huo, amekuwa kimya na kutojishughulisha na masuala ya kisiasa.

More to follow
Safi sana, The pits they digieth shall themselves bury in it. Safi sana UNABII WA LISSU UNAENDELEA KUTIMIA.
 
Back
Top Bottom