Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu,
Taarifa nilizozipata punde zinaonyesha ndugu Allan Kiluvya ametekwa jana usiku maeneo ya Mbezi.
Allan anadaiwa kuchukuliwa na watu takribani 7 waliokuwa na silaha.
Benard Membe ambaye alikuwa Mbunge wa Mtama, ni mwanasiasa aliyefikia viwango vya juu nchini Tanzania, alikuwa Waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa katika serikali ya awamu ya nne, iliyoongozwa na Jakaya Mrisho Kikwete.
Membe aligombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015 na kuchujwa katika vikao vya ndani ambapo hatimaye Magufuli kupewa ridhaa. Toka wakati huo, amekuwa kimya na kutojishughulisha na masuala ya kisiasa.
More to follow
Huo ni muunganiko wa watu wengi mno hata uyo aliyetweet issue iyo usikute kashatekwa kamuachia mwingne kazi ya kuandikaKatweet dakika 20 zilizopita View attachment 1148624
Hivi hiki cheo cha ''msaidizi" maana take ni nini hasa?
Kachero ni kitu gani?Membe ni kachero aliye bobea wameshindwa ku track movement zake wameona kuliko wakose kote bora walale mbele na mshkaji...
Bosi wake alikemea matukio ya utekaji !!Ametenda makosa gani ?
Huko anakotaka kwenda siko....jamaa atafeli hatari...
Na CCM ina uwezo wa kumfix tu kama itaona for the benefit of the nation...hata kama yeye mwenyewe kakalia kigoda watu wanakibetua vilevile.
Haya magenge kuyaanzisha ni kazi rahisi. Tabu ni kuyamalizaHili la kutekwa kusurubiwa na watu wasiojulikana limekuwa ni jambo la kawaida kwa awamu hii ya 5 je hao watu wasiojulikana hawjulikani kweli? ''Kidnapping by unknown gangs it is becoming a business as usual we are smelling a rat''
Hivi hawa wote wanaotekwa na kuachiwa mbona hakuna hata mmoja amewahi kuja na story ambayo inasaidia kkupatikana kwa watekaji? Japo ile story ya Roma Mkatoliki kidogo inaweza kuwa na vi clue
Huitaj kuhamia huko kama unajua umachofanya sio kinyume na sheriaNi bora kuhamia Kenyatta ya talk tu maana hawa moderators wa jf wamenunuliwa tayari.
Huitaj kuhamia huko kama unajua umachofanya sio kinyume na sheria
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mwenye shida na wewe kama unaongea ukweliTatizo ni kinyume na sheria au ni kuongea ukweli?
Safi sana, The pits they digieth shall themselves bury in it. Safi sana UNABII WA LISSU UNAENDELEA KUTIMIA.Wakuu,
Taarifa nilizozipata punde zinaonyesha ndugu Allan Kiluvya ametekwa jana usiku maeneo ya Mbezi.
Allan anadaiwa kuchukuliwa na watu takribani 7 waliokuwa na silaha.
Benard Membe ambaye alikuwa Mbunge wa Mtama, ni mwanasiasa aliyefikia viwango vya juu nchini Tanzania, alikuwa Waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa katika serikali ya awamu ya nne, iliyoongozwa na Jakaya Mrisho Kikwete.
Membe aligombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015 na kuchujwa katika vikao vya ndani ambapo hatimaye Magufuli kupewa ridhaa. Toka wakati huo, amekuwa kimya na kutojishughulisha na masuala ya kisiasa.
More to follow
Nadhani kati ya hao wawili. Lazima awe na upande kuyafahamu hayo!Hili mbona lingejulikana na mhusika au victim? Uko upande upi?