Allan Kamaka Kiluvia Alikuwaga Ni Msaidizi Wa Mzee BM Kwa Maana Ya Kutuma Hapa Na Pale, Juzi Mzee Alitaka Kulizwa Na Allan Baada ya Allan Kwenda Kwa Mhindi Mmoja Hapa Mjini Na Kumwambia Kwamba Mzee Anataka M.300 za Kufanyia Kampeni Na Kuweka Mambo Sawa Kwa ajili Ya 2020, Yule Mhindi Akashituka ikabidi ampigie Nape Kumuliza, nape akamwambia Mimi Sijui Kama Kweli Katumwa na Sio Rahisi BM awe na Shida ya hela Yote hyo amtume kijana wake, ikabdi Nape Amwambie Mzee Membe Mzee Akasema Mbona Sijamtuma Kwake na Wala Sina Mawasiliano Nae Kwa Sasa, Dogo akaitwa a Mzee Pale Masaki, Kuulizwa Hana Jibu, Inabidi Mzee amwambie Aache Tena Hyo Tabia na Asifike Tena Ofsini Kwake na Wala Nyumbani Kwake Pia Kuna Wakati Alishataka Kumpiga Hela Pia Aliekuwaga Mbunge Wa VM Kupitia Cdm, Philipa Ambae kwa Sasa anakaa Marekani ila Yule Mama Akawasiliana na Membe Ishu Ikabuma, Kwa Hyo Allan Ajatekwa ndio Tabia Yake Toka Zamani Hata Bm Akiwa Waziri Kuwaambia Watu Na Kuwatisha Kwamba yeye Ni Usalama Wa Taifa Ni Mtu Wa Majanga Sana, Kuna Wakati alishawahi Kufanya Kazi Tff Kama Mwanasheria Wao Ila Hakudumu Sana Pale.