Msaidizi wa Benard Membe, Allan Kiluvya adaiwa kutekwa na watu ‘wasiojulikana’

Ibilisi Ye Jamaa. Anamtumikia mungu na shetani.
Nilishawahi kusema haya mambo ya kutekana iko siku kuna uwezekano wa watu wakaitumia nao kwenye kufanya mambo yao..
Kumbuka kwenye msafara wa mamba kenge nao wapo!
"Eg-Yawezekana mimi na wewe tukazinguana mimi nkatumia hiyo style ya kukuteka wewe ukishatekwa watu watahisi ni umetekwa kutokana na sababu za kuto support upande ule kumbe lbda ni mambo binafsi"

Ova
 
Kumekucha! Wamechokoza moto!!!!! Tunasubiri makombora ya upande wa pili maana tumeaminishwa humu JF Membe ni mtu wa system mbobezi hatariii!
 
Membe is just overrated. By the time when JK and his gang were misusing public offices , Membe was no where to be seen condemning any act.
ndio maana nasema wacha waisome namba, Ndugu yangu Mwskyembe kimyaa, na umaskini wake ule hawezi kemea akifukuzwa kazi atakuwa kichaaa
 
Allan Kamaka Kiluvia Alikuwaga Ni Msaidizi Wa Mzee BM Kwa Maana Ya Kutuma Hapa Na Pale, Juzi Mzee Alitaka Kulizwa Na Allan Baada ya Allan Kwenda Kwa Mhindi Mmoja Hapa Mjini Na Kumwambia Kwamba Mzee Anataka M.300 za Kufanyia Kampeni Na Kuweka Mambo Sawa Kwa ajili Ya 2020, Yule Mhindi Akashituka ikabidi ampigie Nape Kumuliza, nape akamwambia Mimi Sijui Kama Kweli Katumwa na Sio Rahisi BM awe na Shida ya hela Yote hyo amtume kijana wake, ikabdi Nape Amwambie Mzee Membe Mzee Akasema Mbona Sijamtuma Kwake na Wala Sina Mawasiliano Nae Kwa Sasa, Dogo akaitwa a Mzee Pale Masaki, Kuulizwa Hana Jibu, Inabidi Mzee amwambie Aache Tena Hyo Tabia na Asifike Tena Ofsini Kwake na Wala Nyumbani Kwake Pia Kuna Wakati Alishataka Kumpiga Hela Pia Aliekuwaga Mbunge Wa VM Kupitia Cdm, Philipa Ambae kwa Sasa anakaa Marekani ila Yule Mama Akawasiliana na Membe Ishu Ikabuma, Kwa Hyo Allan Ajatekwa ndio Tabia Yake Toka Zamani Hata Bm Akiwa Waziri Kuwaambia Watu Na Kuwatisha Kwamba yeye Ni Usalama Wa Taifa Ni Mtu Wa Majanga Sana, Kuna Wakati alishawahi Kufanya Kazi Tff Kama Mwanasheria Wao Ila Hakudumu Sana Pale.
Mbona kama lengo linataka kuhamishwa hapa kwahiyo Membe ndio kawatuma watekaji
 
Nilishawahi kusema haya mambo ya kutekana iko siku kuna uwezekano wa watu wakaitumia nao kwenye kufanya mambo yao..
Kumbuka kwenye msafara wa mamba kenge nao wapo!
"Eg-Yawezekana mimi na wewe tukazinguana mimi nkatumia hiyo style ya kukuteka wewe ukishatekwa watu watahisi ni umetekwa kutokana na sababu za kuto support upande ule kumbe lbda ni mambo binafsi"

Ova
hivyo ni visingizio tu.
 
Ukizijua kanuni za dunia utopata tabu kuishi,kesho yako inajengwa Leo,watatamani waifute historia aifutiki,tukiwa wakubwa sasa utotoni tulifanya mengi ya kijinga ya utoto.Kila mwanadamu utengeneza anguko lake mwenyewe
 
Comment hii inafikirisha
nimechungulia mda huu twitter.
nimeona account yake bado ipo very active. ana tweet na ku retweet as usual.

ila bado sijawa convinced 100% kuwa ni yeye. yawezekuwa wasiojulikana ndio wanaendesha ile account kwa sasa.
 
Narudia tena, tatizo ni kuongea ukweli. Hakuna mwenye shida na anayeingia uongo wala kusifia. Huko pm tunayaons sisi tusiosifia serekali.
Nina hamu sana kama Membe angesoma kitabu kimoja cha James Petterson na hasa sehemu iliyosema ''You fight, you lose, you die....''
 
Huyu kajiteka mwenyewe kama alivofanya rafiki yake Zitto Kabwe aliyepatikania Kenya hivi karibuni.
 
Allan Kamaka Kiluvia Alikuwaga Ni Msaidizi Wa Mzee BM Kwa Maana Ya Kutuma Hapa Na Pale, Juzi Mzee Alitaka Kulizwa Na Allan Baada ya Allan Kwenda Kwa Mhindi Mmoja Hapa Mjini Na Kumwambia Kwamba Mzee Anataka M.300 za Kufanyia Kampeni Na Kuweka Mambo Sawa Kwa ajili Ya 2020, Yule Mhindi Akashituka ikabidi ampigie Nape Kumuliza, nape akamwambia Mimi Sijui Kama Kweli Katumwa na Sio Rahisi BM awe na Shida ya hela Yote hyo amtume kijana wake, ikabdi Nape Amwambie Mzee Membe Mzee Akasema Mbona Sijamtuma Kwake na Wala Sina Mawasiliano Nae Kwa Sasa, Dogo akaitwa a Mzee Pale Masaki, Kuulizwa Hana Jibu, Inabidi Mzee amwambie Aache Tena Hyo Tabia na Asifike Tena Ofsini Kwake na Wala Nyumbani Kwake Pia Kuna Wakati Alishataka Kumpiga Hela Pia Aliekuwaga Mbunge Wa VM Kupitia Cdm, Philipa Ambae kwa Sasa anakaa Marekani ila Yule Mama Akawasiliana na Membe Ishu Ikabuma, Kwa Hyo Allan Ajatekwa ndio Tabia Yake Toka Zamani Hata Bm Akiwa Waziri Kuwaambia Watu Na Kuwatisha Kwamba yeye Ni Usalama Wa Taifa Ni Mtu Wa Majanga Sana, Kuna Wakati alishawahi Kufanya Kazi Tff Kama Mwanasheria Wao Ila Hakudumu Sana Pale.
Yaani, majanga yote hayo bado alienselea kuwa msaidizi wa Mzee Membe???

Uongo unatakiwa kuwa na Logic
 
Mambo ya kutekana ni ya kishamba sana ni ngumu kupotea baadae mnaoteka mtaanza kutekwa na hamtaamini maisha ndivyo yalivyo...
 
Back
Top Bottom