Kumbe hajaachaProject yake ya Kwanza hiyo.
Huu mtego.Kumbe hajaacha
Akiingia kichwa kichwa amekwisha, zama za mwamvuli wake zimepita....ref..SabayaHuu mtego.
Wamikurupuko yule.Akiingia kichwa kichwa amekwisha, zama za mwamvuli wake zimepita....ref..Sabaya
Wapi umeona katajwa mtu.itaarifa mkimsingizia Makonda ntawaona mambuzi totoz za vibwengo, acheni utoto
Acha yaendelee kama Katibu mwenezi ni jeshi basi sawaWapi umeona katajwa mtu.
Na wanaweza kufanya wengine asakiziwe yeyeWamikurupuko yule.
Watu wanavizia ukofungua mdomo kutoa kauli usiku haugeuki wanakuangushia kiroba haya kipambanie baba si ulisema.
Naona Makonda amerudishwa kwenye uongozi ili ayasimamie mambo haya ambayo amekuwa na uzoefu nayo.Msaidizi maalum wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu; ameshambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana jijini Dar es Salaam jana, 30 Oktoba 2023 majira ya saa 2 usiku. Hizi ni dalili za giza la kisiasa kuanza kutanda tena!
Umejuaje pia kuwa sio yeye wakati rekodi zake za nyuma zinamuweka pabaya?Hii itaarifa mkimsingizia Makonda ntawaona mambuzi totoz za vibwengo, acheni utoto
Nakuapia safari hii hatabaki salama,jino kwa jino.Naona Makonda amerudishwa kwenye uongozi ili ayasimamie mambo haya ambayo amekuwa na uzoefu nayo.
Du magufuli mshenzi sana anataka kumuua lissu japo yupo kaburini ....lissu akiuliwa mtuhumiwa no 1 ni JPMMsaidizi maalum wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu; ameshambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana jijini Dar es Salaam jana, 30 Oktoba 2023 majira ya saa 2 usiku. Hizi ni dalili za giza la kisiasa kuanza kutanda tena!
Nakuapia safari hii hatabaki salama,jino kwa jino.