Msaidizi wa Lissu adaiwa kujeruhiwa na mapanga na watu wasiojulikana

Msaidizi wa Lissu adaiwa kujeruhiwa na mapanga na watu wasiojulikana

Msaidizi maalum wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu; ameshambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana jijini Dar es Salaam jana, 30 Oktoba 2023 majira ya saa 2 usiku. Hizi ni dalili za giza la kisiasa kuanza kutanda tena!

Uchaguzi unakaribia ccm wameanza kuonyesha sura Yao halisi.
 
Akili zako ndogo sana ....maadui wa JPM NA UZALENDO ndiyo walio kuwa wanafanya hayo ili kumchafua Jpm ...na kwa sasa kuna mpasuko mbaya baina ya hao waliokuwa maadui wa ( uzalendo na jpm )kitendo cha samia kumuinua makonda sababu ni huo mpasuko hivyo samia anajaribu kupambana na msoga gang kupunguza nguvu yao maana samia anayo team yake ambayo ni watz feki wa kiarabu na wazanzibar .
 
Attachments

  • FB_IMG_16904467341281538.jpg
    FB_IMG_16904467341281538.jpg
    66.9 KB · Views: 1

View: https://twitter.com/EmmausAskofu/status/1719409607234199998

How predictable, unajua wazi ni wapuuzi gani watakao husika ku promote hii cinema kuichafua serikali.

Usalama wa taifa ni mchezo wa watu wenye akili kweli (ndio maana unaitwa intelligence).

Tofautisha wambea (anyone can do it) wanaopekela habari za kuokota na security analysts wanaotafsiri hizo habari (you have be clever) ku interpret information unazopewa zina maana gani and their implications.

Hiyo nchi kwa viongozi waliopo hapo; bado sana, its a pity.

Tanzania ina waelevu wengi, ila kutokana mfumo uliopo wanahitaji kupewa mtu sahihi wa kuisogeza nchi; na hao ndio watu waliokuwa nyuma ya Magufuli.

Inasikitisha kuona viazi eti wenye michezo ambayo predictable wanaisumbua nchi.

Watu wenyewe wanao jaribu kuisumbua serikali uwezo wao mdogo mno; trick zao na kuwanasa ni rahisi sana.

Shitty countries as ‘Donald Trump’ would put it.
 
Lissu atakua anataka kutoroka lakini hiyo picha sio project ya serikali wala hamna panga limetumika hapo hizo ni nyembe na bisibisi za wahuni tu....
Ingekua panga huyo jamaa adingekua amekaa hapo...huo ni sawa na tifu la mke na mume
 
Msaidizi maalum wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu; ameshambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana jijini Dar es Salaam jana, 30 Oktoba 2023 majira ya saa 2 usiku. Hizi ni dalili za giza la kisiasa kuanza kutanda tena!

Alisema atatafuta ushauri anapaswa kuwa muenezi wa aina gani, ama afanye siasa za kihuni ama za kistaarabu. Nafikiria hilo mdilo jibu alilopewa na wahafidhina ndani ya chama chake.

CCM ni sawa na mbwa mwitu aliyevishwa ngozi ya kondoo.kila ifikapo nyakati za uchaguzi ndipo rangi yao halisi huonekana.
 
Msaidizi maalum wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu; ameshambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana jijini Dar es Salaam jana, 30 Oktoba 2023 majira ya saa 2 usiku. Hizi ni dalili za giza la kisiasa kuanza kutanda tena!

Majukumu ya Mwenezi mpya
 
Bashite ameanza mishe zake. Tutegemee hayo kutokea. Alisema atakwenda bungeni aulize kuwa jee aanze kihuni au kistaarab,nafikiri wote tumeona povu la Betina juzi.View attachment 2799643View attachment 2799644
Kwani kuna ugumu wa kwenda kuchukua maiti mochwari ambao ndugu zao hawajatokea na kuzitupa baharini.

Kila siku masheikh na ma-padre wanapewa maiti za kuzizika kutokana na majina yao ambao wamekaa mochwari muda hakuna walioenda kuokota maiti.

Hakuna mtu mwenye akili timamu alieamini Magufuli alikuwa akiuwa watu na kuwatupa baharini.

Ulaya uchunguzi ungeanza na watu kama hakina Zitto, Nape, January na wengine wote waliokuwa wanaishitumu serikali watakuwa wanajua cinema yote; na achomoki kwa sababu ya ki here here vyao wangechunguzwa mpaka watie akili.

Hii sinema itanoga sio muda mrefu; kwa sasa wachezaji wa upande bado hawapo clear.

Ni mchezo wa CDM au mafisadi ambao wana mtu wao 2025 (kama ni mafisadi yana mtu wao) maza achomoi, bearing in mind how gullible Tanzanians are.
 
Chadema tena wanatendana kama Ile ya risasi..

Hii ni wao kwa wao.. walivyo na akilwi za ndani ya futi sita.. walipo kwa miaka mingi.. wanachukiana Sana hadi akili za mipango hawana wanarudia ya kumvizia kiboko wa Siasa nchini..

Hawampati ng'oooooo
Huyo makonda hawezi kujibu hoja anategemea usaidizi ndio tatizo

Uenezi alikuwa anaujua Nape Nnauye na kidogo Pole pole ingawa nae polepole alikuwa anategemea Rais amsaidie

Nape alijibu hoja kwa hoja wakati operation za chadema zinafanyika tena kwa hoja na kuchekesha

Mwigulu alikuwa backup kama naibu katibu mkuu bara lakini nae hoja zilimuelemea
 
View: https://twitter.com/EmmausAskofu/status/1719409607234199998

How predictable, unajua wazi ni wapuuzi gani watakao husika ku promote hii cinema kuichafua serikali.

Usalama wa taifa ni mchezo wa watu wenye akili kweli (ndio maana unaitwa intelligence).

Tofautisha wambea (anyone can do it) wanaopekela habari za kuokota na security analysts wanaotafsiri hizo habari (you have be clever) ku interpret information unazopewa zina maana gani and their implications.

Hiyo nchi kwa viongozi waliopo hapo; bado sana, its a pity.

Tanzania ina waelevu wengi, ila kutokana mfumo uliopo wanahitaji kupewa mtu sahihi wa kuisogeza nchi; na hao ndio watu waliokuwa nyuma ya Magufuli.

Inasikitisha kuona viazi eti wenye michezo ambayo predictable wanaisumbua nchi.

Watu wenyewe wanao jaribu kuisumbua serikali uwezo wao mdogo mno; trick zao na kuwanasa ni rahisi sana.

Shitty countries as ‘Donald Trump’ would put it.

Sijaelewa hoja
 
Huyu mama alikuwa anataka kuwarubuni chadema waache kuongea ukweli na maovu yake kwa kisingizio Cha maridhiano, kwenye dp world chadema wa wameweka uzalendo mbele

Baada ya kuona chadema hawanunuliki kindezi Kama act ,kuludi factory settings ya ccm, siasa za kimagufuri ndio maana MAKONDA kuludishwa

Tutegemee mengi ,alianza kumnyima kibali Cha kupaa mboye ,leo mlinzi wa lissu, kesho hatujui ,

Ccm imechokwa na wananchi ,wao wenyewe wanajua hilo, chadema wakipiga filimbi tu watu wanajaa, ccm mkutano mmoja lazima uandaliwe mwezi mmoja nyuma ndio wajaze

Kwa hiyo chaguo la mwisho kwa ccm Ni siasa za KIBABE
Hebu tafuta kwanza mwalimu wa kiswahili akusaidie kuweka taarifa yako vizuri.
 
Sijaelewa hoja
Watu kama nyie mnahitaji mtu wa kuongoza hiyo nchi kuwaelewesha kwa vitendo kama jemedari Magufuli (R.I.P).

Magufuli katuangusha sana watanzania kukataa kuchanja. Ndio inavyokuwa mambo yakienda vizuri sana unaanza kuamini una ulinzi wa mungu wakati mungu aingilii uhalisia. Kama kinga ni chanjo chanja hiyo akili kampa mtu mwingine wa kutengeneza dawa sio wewe.

Nonetheless Magufuli alikuwa na kazi kubwa ya kuwaweka sawa watu kama nyie wenye vichwa vigumu kuelewa mambo. Such idiot kutotaka kukubali ukali wa COVID 19.

It’s beyond me ni kitu gani usichoelewa kwenye mjadala ambao uchangiaji wake for the most to grasp you only need common sense.

👋
 
Chadema tena wanatendana kama Ile ya risasi..

Hii ni wao kwa wao.. walivyo na akilwi za ndani ya futi sita.. walipo kwa miaka mingi.. wanachukiana Sana hadi akili za mipango hawana wanarudia ya kumvizia kiboko wa Siasa nchini..

Hawampati ng'oooooo
Apatikane Mara Ngapi...
 
Back
Top Bottom