Msaidizi wa Lissu adaiwa kujeruhiwa na mapanga na watu wasiojulikana

Msaidizi wa Lissu adaiwa kujeruhiwa na mapanga na watu wasiojulikana

Hii inawezekana...ukizingatia Hata Mashabiki wao Wanajigamba kuwa wasaliti wa nchi. Rejea maelezo ya Erythrocyte kujigamba kuwa alihujumu Tanzania waziwazi kwa kumpaka matope Dr Tulia(Spika) ili asichaguliwe kuwa Spika wa mabunge Duniani (IPU)!!!

Soma hapa :Malalamiko ya Tulia Ackson yafanyiwe kazi. Nchi imegawanyika na itaendelea kugawanyika

Hawashindwi hawa.
CHADEMA mnahisi hizi movie zenu uchwara ndo zitamchafua Makonda?
Hamjawahi kuwa na ushahidi juu ya Makonda kuua watu ni maneno ya kuokoteza tu!
Kama alikamatwa na make wa mtu au alivamiwa na vibaka napo mnasingizia Makonda!
 
Msaidizi maalum wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu; ameshambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana jijini Dar es Salaam jana, 30 Oktoba 2023 majira ya saa 2 usiku. Hizi ni dalili za giza la kisiasa kuanza kutanda tena!

Kama anachukuwa mke wa mtu aache mara moja na kama ni mtembezi wa usiku vibaka ni wengi awe mwangalifu!
 
Watu kama nyie mnahitaji mtu wa kuongoza hiyo nchi kuwaelewesha kwa vitendo kama jemedari Magufuli (R.I.P).

Magufuli katuangusha sana watanzania kukataa kuchanja. Ndio inavyokuwa mambo yakienda vizuri sana unaanza kuamini una ulinzi wa mungu wakati mungu aingilii uhalisia. Kama kinga ni chanjo chanja hiyo akili kampa mtu mwingine wa kutengeneza dawa sio wewe.

Nonetheless Magufuli alikuwa na kazi kubwa ya kuwaweka sawa watu kama nyie wenye vichwa vigumu kuelewa mambo. Such idiot kutotaka kukubali ukali wa COVID 19.

It’s beyond me ni kitu gani usichoelewa kwenye mjadala ambao uchangiaji wake for the most to grasp you only need common sense.

👋
Such an idiot ... pure nonsense...
 
Such an idiot ... pure nonsense...
Wewe poyoyo chakufanya waambie mabosi wako huyu bwana akifika tumpe hata ukuu wa wilaya.

Otherwise hayo unayouliza majibu yake hata nikiandika maneno 2000 huna theoretical foundation ya kuweza kufanya evaluation nor analyse to assess the merit; I have learned that.

So don’t waste my time
 
Kwani kuna ugumu wa kwenda kuchukua maiti mochwari ambao ndugu zao hawajatokea na kuzitupa baharini.

Kila siku masheikh na ma-padre wanapewa maiti za kuzizika kutokana na majina yao ambao wamekaa mochwari muda hakuna walioenda kuokota maiti.

Hakuna mtu mwenye akili timamu alieamini Magufuli alikuwa akiuwa watu na kuwatupa baharini.

Ulaya uchunguzi ungeanza na watu kama hakina Zitto, Nape, January na wengine wote waliokuwa wanaishitumu serikali watakuwa wanajua cinema yote; na achomoki kwa sababu ya ki here here vyao wangechunguzwa mpaka watie akili.

Hii sinema itanoga sio muda mrefu; kwa sasa wachezaji wa upande bado hawapo clear.

Ni mchezo wa CDM au mafisadi ambao wana mtu wao 2025 (kama ni mafisadi yana mtu wao) maza achomoi, bearing in mind how gullible Tanzanians are.
Utetezi wa kitoto kabisa huu.
 
Msaidizi maalum wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu; ameshambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana jijini Dar es Salaam jana, 30 Oktoba 2023 majira ya saa 2 usiku. Hizi ni dalili za giza la kisiasa kuanza kutanda tena!

Makonda kaanza kazi aliyoizoea
 
Msaidizi maalum wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu; ameshambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana jijini Dar es Salaam jana, 30 Oktoba 2023 majira ya saa 2 usiku. Hizi ni dalili za giza la kisiasa kuanza kutanda tena!

Wapi na ilikuwaje?

Msaidizi wake kwenye shughuli zipi?

Naona ana taulo hapo, kafumaniwa nini?
 
Kuvuta attention kwa umma ili kupata huruma kwa Jamii, chadema kwa ujinga wenu huu tumesha wafahamu extra beyond!
 
Back
Top Bottom