Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Makonda hajawahi kumdhuru mtu yeyote yuleUmejuaje pia kuwa sio yeye wakati rekodi zake za nyuma zinamuweka pabaya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makonda hajawahi kumdhuru mtu yeyote yuleUmejuaje pia kuwa sio yeye wakati rekodi zake za nyuma zinamuweka pabaya?
Wameshaanza hawa makamanda wa mchongo😂😃Hii itaarifa mkimsingizia Makonda ntawaona mambuzi totoz za vibwengo, acheni utoto
Ndiyo mjue kuwa waliokuwa wanafanya hayo siyo JPM ni team msoga na rostam azizi ki...kwa sasa wamegawanyika wao kwa wao hivyo trick kama hizo zitatokea sana ili kuchafuana ...niliwaambia watu humu kuwa kifo cha ben saa 8 nyuma yake wapo chadema na msoga + rostam hao ndiyo wahusika lengo lilikuwa ni kupiga vita dhidi ya MZALENDO JPM NA UZALENDO ndiyo maana uwezi kumsikia mbowe kwa sasa akiongelea kifo cha ben kutoka moyoni, wala sa100 na team msoga ambao ni maadui wakubwa wa uzalendo na mzalendo jpm ...licha ya wao kumchukia JPM ila wameshindwa kutaka kuchunguza jambo ilo ambalo maadui wa uzalendo wanamuusisha jpm.Project yake ya Kwanza hiyo.
Wewe ndio umemtaja Makonda.Hii itaarifa mkimsingizia Makonda ntawaona mambuzi totoz za vibwengo, acheni utoto
Akili zako ndogo sana ....maadui wa JPM NA UZALENDO ndiyo walio kuwa wanafanya hayo ili kumchafua Jpm ...na kwa sasa kuna mpasuko mbaya baina ya hao waliokuwa maadui wa ( uzalendo na jpm )kitendo cha samia kumuinua makonda sababu ni huo mpasuko hivyo samia anajaribu kupambana na msoga gang kupunguza nguvu yao maana samia anayo team yake ambayo ni watz feki wa kiarabu na wazanzibar .Akiingia kichwa kichwa amekwisha, zama za mwamvuli wake zimepita....ref..Sabaya
Kwa hiyo hii ndio akili kubwa?Akili zako ndogo sana ....maadui wa JPM NA UZALENDO ndiyo walio kuwa wanafanya hayo ili kumchafua Jpm ...na kwa sasa kuna mpasuko mbaya baina ya hao waliokuwa maadui wa ( uzalendo na jpm )kitendo cha samia kumuinua makonda sababu ni huo mpasuko hivyo samia anajaribu kupambana na msoga gang kupunguza nguvu yao maana samia anayo team yake ambayo ni watz feki wa kiarabu na wazanzibar .
Msaidizi maalum wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu; ameshambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana jijini Dar es Salaam jana, 30 Oktoba 2023 majira ya saa 2 usiku. Hizi ni dalili za giza la kisiasa kuanza kutanda tena!
Soma hapa GlennNdiyo mjue kuwa waliokuwa wanafanya hayo siyo JPM ni team msoga na rostam azizi ki...kwa sasa wamegawanyika wao kwa wao hivyo trick kama hizo zitatokea sana ili kuchafuana ...niliwaambia watu humu kuwa kifo cha ben saa 8 nyuma yake wapo chadema na msoga + rostam hao ndiyo wahusika lengo lilikuwa ni kupiga vita dhidi ya MZALENDO JPM NA UZALENDO ndiyo maana uwezi kumsikia mbowe kwa sasa akiongelea kifo cha ben kutoka moyoni, wala sa100 na team msoga ambao ni maadui wakubwa wa uzalendo na mzalendo jpm ...licha ya wao kumchukia JPM ila wameshindwa kutaka kuchunguza jambo ilo ambalo maadui wa uzalendo wanamuusisha jpm.
Kwakutumia akili ndogo tu unajiuliza kwanini sa100 anamchukia jpm ila ajachunguza kifo hicho ili kumwanika jpm alivyo mwovu ?
Sidhani kama ameanza kazi, japo jumna bovu litamdondokeaTulisema yule jamaa akirudi hali itakuwa mbaya.
Haya sasa.
Hii ndio ilikuwa hofu ya wananchi tangu hapo
Karibu tena🍹Chadema tena wanatendana kama Ile ya risasi..
Hii ni wao kwa wao.. walivyo na akilwi za ndani ya futi sita.. walipo kwa miaka mingi.. wanachukiana Sana hadi akili za mipango hawana wanarudia ya kumvizia kiboko wa Siasa nchini..
Hawampati ng'oooooo
Ni Muhimu serikali huhakikisha hayajirudii haya mambo kwani Lolote likitokea lawama ni kwao.Sidhani kama ameanza kazi, japo jumna bovu litamdondokea
Mmechafuka tena? Co- incidence?Chadema tena wanatendana kama Ile ya risasi..
Hii ni wao kwa wao.. walivyo na akilwi za ndani ya futi sita.. walipo kwa miaka mingi.. wanachukiana Sana hadi akili za mipango hawana wanarudia ya kumvizia kiboko wa Siasa nchini..
Hawampati ng'oooooo
Makonda ana maadui wengi sana ndani ya ccm na nje ya ccm.Ni Muhimu serikali huhakikisha hayajirudii haya mambo kwani Lolote likitokea lawama ni kwao.
Haya mambo yako ndnai ya uwezo wa serikali.
Ukute maaduni wake wanafanya haya ili asakiziwe yeye.
Baba yako aliuza ng'ombe kukusomesha kumbe kauza ng'ombe kusomesha ng'ombe ...kijambio cha sisiem weweUsinipotezee muda kkima wewe