mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Duh 🙄!Project yake ya Kwanza hiyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh 🙄!Project yake ya Kwanza hiyo.
Chadema mapanga wanakipigaga wenyewe ili wazue taharuki. InA mana mapanga yote aliyopigwa yamemkosa kosa?. Hakuna hata moja lililomchimba kweliNa wanaweza kufanya wengine asakiziwe yeye
Itakuwa kala mabapa.Chadema mapanga wanakipigaga wenyewe ili wazue taharuki. InA mana mapanga yote aliyopigwa yamemkosa kosa?. Hakuna hata moja lililomchimba kweli
Ningetegemea hoja gani kwa mtu anajiita MIDABWADA?Chadema mapanga wanakipigaga wenyewe ili wazue taharuki. InA mana mapanga yote aliyopigwa yamemkosa kosa?. Hakuna hata moja lililomchimba kweli
You got time to be wasted as it seems you got nowhere to go except here at this forum where instead of sharing sensible contents, you are just populating the server with your nonsenseWewe poyoyo chakufanya waambie mabosi wako huyu bwana akifika tumpe hata ukuu wa wilaya.
Otherwise hayo unayouliza majibu yake hata nikiandika maneno 2000 huna theoretical foundation ya kuweza kufanya evaluation nor analyse to assess the merit; I have learned that.
So don’t waste my time
Experience inambebaNaona Makonda amerudishwa kwenye uongozi ili ayasimamie mambo haya ambayo amekuwa na uzoefu nayo.
ukiambiwa CHADOMO ina vijana wapumbavu uanzie kwa huyu. Nyie mazombie mtangaze tu siku ya maziko ya hiyo SACCOS yenuMsaidizi maalum wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu; ameshambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana jijini Dar es Salaam jana, 30 Oktoba 2023 majira ya saa 2 usiku. Hizi ni dalili za giza la kisiasa kuanza kutanda tena!
ni ibilisi huyo anadhani hajulikaniKumbe hajaacha
Usinitishe,hizi siyo zama giza tena.Ulaya hao watu hawachomoki trust me, wenyewe wanaita ‘persons of interests’. We si unajua wanaanza na wewe.
Wazungu wanamsemo ‘it’s only easy if you know it’.You got no time to be wasted as it seems you got nowhere to go except here at this forum where instead of sharing sensible contents, you are just populating the server with your nonsense
huyo mshenzi atachafua taswira ya chama wakubwa zake wamdhibiti haraka sana aache huo mtindo wake wa giza, ni mchawi mkubwa yule mtu wa gizaniDAD amerudi upya?
Wazungu wanamsemo ‘it’s only easy if you know it’.
Kama huko serious kutafuta ndugu wa maiti unaweza pata DNA zao, tangaza watu wanaotafuta ndugu zao.
Watakaojitokeza find a match, wape maiti yao, watakwambia huyo mtu kama alikuwa na shughuli na siasa au la.
Serikali aiwezi enda jiulia tu, kama ni mtu ambae hana habari na siasa; una rudi tena maiti imetokaje mochwari wana record keeping system au la.
To cut the story short, wote wanaosema Magufuli alikuwa muuaji ulaya hawachomoki, kuna kitu wanajua ambao sisi wengine hatujui.
Narudia tena usalama wa taifa nchi za wenzetu (unaitwa intelligence services for a reason), ni mchezo wa watu wenye akili.
Sio mafala wasumbufu kama wewe.
This is why kuna wambea (field spies, anyone can do that), and analyst (you need a good IQ for this role).
Mtu akiamua kuwawashia hao hakina Zitto Walete ushahidi wa mauaji ya Magufuli awachomoki.
Nani akutishe wewe poyoyo, nakueleza tu.Usinitishe,hizi siyo zama giza tena.
Aachwe avurunde upinzani uwe smart kuyatumia makosa yake kisiasahuyo mshenzi atachafua taswira ya chama wakubwa zake wamdhibiti haraka sana aache huo mtindo wake wa giza, ni mchawi mkubwa yule mtu wa gizani
Maigizo ya kishamba sana hayo. Hizo Alama ni za kukatwa mapanga!! Acheni maifizo ya kizani hayoMsaidizi maalum wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu; ameshambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana jijini Dar es Salaam jana, 30 Oktoba 2023 majira ya saa 2 usiku. Hizi ni dalili za giza la kisiasa kuanza kutanda tena!
Huyu TL kisharudi na mbinu zake za kishamba, Chadema mtakua.lini?Msaidizi maalum wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu; ameshambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana jijini Dar es Salaam jana, 30 Oktoba 2023 majira ya saa 2 usiku. Hizi ni dalili za giza la kisiasa kuanza kutanda tena!
Project yake ya Kwanza hiyo.
DAD amerudi upya?
Hakuna kitu kibaya Kama kumchukia binadamu mwenzio kwa kuhisi mwenye hofu ya Mungu hawezi kuwaza kitu Kama hicho, povu ruhusa nishawazoeaKumbe hajaacha
Watu wapumbavu ni kweli hawataisha mpk mwisho wa dunia,Akiingia kichwa kichwa amekwisha, zama za mwamvuli wake zimepita....ref..Sabaya