Msaidizi wa Lissu adaiwa kujeruhiwa na mapanga na watu wasiojulikana

Wewe poyoyo chakufanya waambie mabosi wako huyu bwana akifika tumpe hata ukuu wa wilaya.

Otherwise hayo unayouliza majibu yake hata nikiandika maneno 2000 huna theoretical foundation ya kuweza kufanya evaluation nor analyse to assess the merit; I have learned that.

So don’t waste my time
You got time to be wasted as it seems you got nowhere to go except here at this forum where instead of sharing sensible contents, you are just populating the server with your nonsense
 
Msaidizi maalum wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu; ameshambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana jijini Dar es Salaam jana, 30 Oktoba 2023 majira ya saa 2 usiku. Hizi ni dalili za giza la kisiasa kuanza kutanda tena!

ukiambiwa CHADOMO ina vijana wapumbavu uanzie kwa huyu. Nyie mazombie mtangaze tu siku ya maziko ya hiyo SACCOS yenu
 
You got no time to be wasted as it seems you got nowhere to go except here at this forum where instead of sharing sensible contents, you are just populating the server with your nonsense
Wazungu wanamsemo ‘it’s only easy if you know it’.

Kama huko serious kutafuta ndugu wa maiti unaweza pata DNA zao, tangaza watu wanaotafuta ndugu zao.

Watakaojitokeza find a match, wape maiti yao, watakwambia huyo mtu kama alikuwa na shughuli na siasa au la.

Serikali aiwezi enda jiulia tu, kama ni mtu ambae hana habari na siasa; una rudi tena maiti imetokaje mochwari wana record keeping system au la.

To cut the story short, wote wanaosema Magufuli alikuwa muuaji ulaya hawachomoki, kuna kitu wanajua ambao sisi wengine hatujui.

Narudia tena usalama wa taifa nchi za wenzetu (unaitwa intelligence services for a reason), ni mchezo wa watu wenye akili.

Sio mafala wasumbufu kama wewe.

This is why kuna wambea (field spies, anyone can do that), and analyst (you need a good IQ for this role).

Mtu akiamua kuwawashia hao hakina Zitto Walete ushahidi wa mauaji ya Magufuli awachomoki.
 
Sawa mkuu, basi inatosha, tusonge mbele ...

Usinitishe,hizi siyo zama giza tena.
Nani akutishe wewe poyoyo, nakueleza tu.

Tanzania kwa hizo accusations zao hao watu sio issue, mjomba nchi za wenzetu wote hao Maria Sarungi, Fatma Karume, Zitto na mapoyoyo yote sasa hivi yapo polisi kusaidia kutatua swala la maiti za coco-beach.

Mambo mengine ni rahisi kuropoka Tanzania tu, kwengine people are gonna get to bottom of the matter.

Na mwisho wao usingekuwa mzuri nje ya mipaka ya Tanzania, kwa jinsi polisi walivyo wakali kwenye kutafuta ukweli.
 
Msaidizi maalum wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu; ameshambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana jijini Dar es Salaam jana, 30 Oktoba 2023 majira ya saa 2 usiku. Hizi ni dalili za giza la kisiasa kuanza kutanda tena!

Maigizo ya kishamba sana hayo. Hizo Alama ni za kukatwa mapanga!! Acheni maifizo ya kizani hayo
 
Msaidizi maalum wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu; ameshambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana jijini Dar es Salaam jana, 30 Oktoba 2023 majira ya saa 2 usiku. Hizi ni dalili za giza la kisiasa kuanza kutanda tena!

Huyu TL kisharudi na mbinu zake za kishamba, Chadema mtakua.lini?
 
Back
Top Bottom