cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Mmechafuka tena? Co- incidence?
Naaaaaaah
Game zao hawana jipya hao chadrama.. 0 tu zimewajaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmechafuka tena? Co- incidence?
Uchaguzi unakaribia ccm wameanza kuonyesha sura Yao halisi.Msaidizi maalum wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu; ameshambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana jijini Dar es Salaam jana, 30 Oktoba 2023 majira ya saa 2 usiku. Hizi ni dalili za giza la kisiasa kuanza kutanda tena!
Akili zako ndogo sana ....maadui wa JPM NA UZALENDO ndiyo walio kuwa wanafanya hayo ili kumchafua Jpm ...na kwa sasa kuna mpasuko mbaya baina ya hao waliokuwa maadui wa ( uzalendo na jpm )kitendo cha samia kumuinua makonda sababu ni huo mpasuko hivyo samia anajaribu kupambana na msoga gang kupunguza nguvu yao maana samia anayo team yake ambayo ni watz feki wa kiarabu na wazanzibar .
Sema mkuu 'kitonsa' tunasikiliza.Huyu mama alikuwa anataka kuwarubuni chadema waache kuongea ukweli na maovu yake kwa kisingizio Cha maridhiano, kwenye dp world chadema wa wameweka uzalendo mbele
Na hao waliomrudisha wanajua kazi anaiweza!Naona Makonda amerudishwa kwenye uongozi ili ayasimamie mambo haya ambayo amekuwa na uzoefu nayo.
Alisema atatafuta ushauri anapaswa kuwa muenezi wa aina gani, ama afanye siasa za kihuni ama za kistaarabu. Nafikiria hilo mdilo jibu alilopewa na wahafidhina ndani ya chama chake.Msaidizi maalum wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu; ameshambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana jijini Dar es Salaam jana, 30 Oktoba 2023 majira ya saa 2 usiku. Hizi ni dalili za giza la kisiasa kuanza kutanda tena!
Majukumu ya Mwenezi mpyaMsaidizi maalum wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu; ameshambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana jijini Dar es Salaam jana, 30 Oktoba 2023 majira ya saa 2 usiku. Hizi ni dalili za giza la kisiasa kuanza kutanda tena!
Kwani kuna ugumu wa kwenda kuchukua maiti mochwari ambao ndugu zao hawajatokea na kuzitupa baharini.Bashite ameanza mishe zake. Tutegemee hayo kutokea. Alisema atakwenda bungeni aulize kuwa jee aanze kihuni au kistaarab,nafikiri wote tumeona povu la Betina juzi.View attachment 2799643View attachment 2799644
Huyo makonda hawezi kujibu hoja anategemea usaidizi ndio tatizoChadema tena wanatendana kama Ile ya risasi..
Hii ni wao kwa wao.. walivyo na akilwi za ndani ya futi sita.. walipo kwa miaka mingi.. wanachukiana Sana hadi akili za mipango hawana wanarudia ya kumvizia kiboko wa Siasa nchini..
Hawampati ng'oooooo
View: https://twitter.com/EmmausAskofu/status/1719409607234199998
How predictable, unajua wazi ni wapuuzi gani watakao husika ku promote hii cinema kuichafua serikali.
Usalama wa taifa ni mchezo wa watu wenye akili kweli (ndio maana unaitwa intelligence).
Tofautisha wambea (anyone can do it) wanaopekela habari za kuokota na security analysts wanaotafsiri hizo habari (you have be clever) ku interpret information unazopewa zina maana gani and their implications.
Hiyo nchi kwa viongozi waliopo hapo; bado sana, its a pity.
Tanzania ina waelevu wengi, ila kutokana mfumo uliopo wanahitaji kupewa mtu sahihi wa kuisogeza nchi; na hao ndio watu waliokuwa nyuma ya Magufuli.
Inasikitisha kuona viazi eti wenye michezo ambayo predictable wanaisumbua nchi.
Watu wenyewe wanao jaribu kuisumbua serikali uwezo wao mdogo mno; trick zao na kuwanasa ni rahisi sana.
Shitty countries as ‘Donald Trump’ would put it.
Hebu tafuta kwanza mwalimu wa kiswahili akusaidie kuweka taarifa yako vizuri.Huyu mama alikuwa anataka kuwarubuni chadema waache kuongea ukweli na maovu yake kwa kisingizio Cha maridhiano, kwenye dp world chadema wa wameweka uzalendo mbele
Baada ya kuona chadema hawanunuliki kindezi Kama act ,kuludi factory settings ya ccm, siasa za kimagufuri ndio maana MAKONDA kuludishwa
Tutegemee mengi ,alianza kumnyima kibali Cha kupaa mboye ,leo mlinzi wa lissu, kesho hatujui ,
Ccm imechokwa na wananchi ,wao wenyewe wanajua hilo, chadema wakipiga filimbi tu watu wanajaa, ccm mkutano mmoja lazima uandaliwe mwezi mmoja nyuma ndio wajaze
Kwa hiyo chaguo la mwisho kwa ccm Ni siasa za KIBABE
Watu kama nyie mnahitaji mtu wa kuongoza hiyo nchi kuwaelewesha kwa vitendo kama jemedari Magufuli (R.I.P).Sijaelewa hoja
Apatikane Mara Ngapi...Chadema tena wanatendana kama Ile ya risasi..
Hii ni wao kwa wao.. walivyo na akilwi za ndani ya futi sita.. walipo kwa miaka mingi.. wanachukiana Sana hadi akili za mipango hawana wanarudia ya kumvizia kiboko wa Siasa nchini..
Hawampati ng'oooooo