WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Tena CCM.watakuwa majambazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena CCM.watakuwa majambazi
Yote hayo ni kwa sababu ya chama chakavu cha ccm.Nani akutishe wewe poyoyo, nakueleza tu.
Tanzania kwa hizo accusations zao hao watu sio issue, mjomba nchi za wenzetu wote hao Maria Sarungi, Fatma Karume, Zitto na mapoyoyo yote sasa hivi yapo polisi kusaidia kutatua swala la maiti za coco-beach.
Mambo mengine ni rahisi kuropoka Tanzania tu, kwengine people are gonna get to bottom of the matter.
Na mwisho wao usingekuwa mzuri nje ya mipaka ya Tanzania, kwa jinsi polisi walivyo wakali kwenye kutafuta ukweli.
Upitie soma vizuri kaa umakini halafu uje unipe feedback mkuu una majibu yote ya maswali ulouluzaHapana
Hayo mapanga au fito? Kama amekosea wenye hasira kali wanamsulubu tuMsaidizi maalum wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu; ameshambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana jijini Dar es Salaam jana, 30 Oktoba 2023 majira ya saa 2 usiku. Hizi ni dalili za giza la kisiasa kuanza kutanda tena!
Awamu ya tano ilitisha. Kulikuwa na uovu mwingi. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea mtu yule.Bashite ameanza mishe zake. Tutegemee hayo kutokea. Alisema atakwenda bungeni aulize kuwa jee aanze kihuni au kistaarab,nafikiri wote tumeona povu la Betina juzi.View attachment 2799643View attachment 2799644
Huyo makonda hawezi kujibu hoja anategemea usaidizi ndio tatizo
Uenezi alikuwa anaujua Nape Nnauye na kidogo Pole pole ingawa nae polepole alikuwa anategemea Rais amsaidie
Nape alijibu hoja kwa hoja wakati operation za chadema zinafanyika tena kwa hoja na kuchekesha
Mwigulu alikuwa backup kama naibu katibu mkuu bara lakini nae hoja zilimuelemea
Hii inawezekana...ukizingatia Hata Mashabiki wao Wanajigamba kuwa wasaliti wa nchi. Rejea maelezo ya Erythrocyte kujigamba kuwa alihujumu Tanzania waziwazi kwa kumpaka matope Dr Tulia(Spika) ili asichaguliwe kuwa Spika wa mabunge Duniani (IPU)!!!
Soma hapa :Malalamiko ya Tulia Ackson yafanyiwe kazi. Nchi imegawanyika na itaendelea kugawanyika
Hawashindwi hawa Chadema kufanyiana hujuma wao kwa wao ili wasingizie vyama vingine.
Poyoyo mamako bwege wewe unajifanya kujua sana wakati wewe kiazi mbatata tu. Kila kitu nchi za wenzetu nchi za wenzetu kwani wewe ndiye mtanzania wa kwanza kuishi nchi za ' wenzako',unaandika kwa mapana utafikiri dunia yote hii unaijua.Nani akutishe wewe poyoyo, nakueleza tu.
Tanzania kwa hizo accusations zao hao watu sio issue, mjomba nchi za wenzetu wote hao Maria Sarungi, Fatma Karume, Zitto na mapoyoyo yote sasa hivi yapo polisi kusaidia kutatua swala la maiti za coco-beach.
Mambo mengine ni rahisi kuropoka Tanzania tu, kwengine people are gonna get to bottom of the matter.
Na mwisho wao usingekuwa mzuri nje ya mipaka ya Tanzania, kwa jinsi polisi walivyo wakali kwenye kutafuta ukweli.
Kwa hali ilivyo na tetesi zinazozagaa kwa kasi sana juu ya kutofautiana kwa Mbowe na Lissu ni wazi kuwa maneno ya kuwa Lissu anataka kuanzisha chama chake ni ya kweli na si ya kuyabeza hata kidogo.Msaidizi maalum wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu; ameshambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana jijini Dar es Salaam jana, 30 Oktoba 2023 majira ya saa 2 usiku. Hizi ni dalili za giza la kisiasa kuanza kutanda tena!
Nape alikuwa anaweza matusi na sio uenezi?Huyo makonda hawezi kujibu hoja anategemea usaidizi ndio tatizo
Uenezi alikuwa anaujua Nape Nnauye na kidogo Pole pole ingawa nae polepole alikuwa anategemea Rais amsaidie
Nape alijibu hoja kwa hoja wakati operation za chadema zinafanyika tena kwa hoja na kuchekesha
Mwigulu alikuwa backup kama naibu katibu mkuu bara lakini nae hoja zilimuelemea
Cocochanel , mjukuu wa marehemu JiweChadema tena wanatendana kama Ile ya risasi..
Hii ni wao kwa wao.. walivyo na akilwi za ndani ya futi sita.. walipo kwa miaka mingi.. wanachukiana Sana hadi akili za mipango hawana wanarudia ya kumvizia kiboko wa Siasa nchini..
Hawampati ng'oooooo
Hatujaanza leo kuuawa