Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Ww umeuliwa liniHatujaanza leo kuuawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww umeuliwa liniHatujaanza leo kuuawa
Nishatiliwa sumu mara kadhaa na nimelogwa mno , bila kuwa jasusi ningekwisha kitambo sanaWw umeuliwa lini
Tena mtajiuwa sana tu🙂Hatujaanza leo kuuawa
Pole sana mkuuNishatiliwa sumu mara kadhaa na nimelogwa mno , bila kuwa jasusi ningekwisha kitambo sana
Hata hivyo nimewashinda vibaya sana !Pole sana mkuu
Wewe wasemaAkiingia kichwa kichwa amekwisha, zama za mwamvuli wake zimepita....ref..Sabaya
Makonda ni gaidiDAB amerudi upya?
Msaidizi maalum wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu; ameshambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana jijini Dar es Salaam jana, 30 Oktoba 2023 majira ya saa 2 usiku. Hizi ni dalili za giza la kisiasa kuanza kutanda tena!
Bashite strikes againWewe kama sio CDM basi ni wale CCM wenye chuki na mtu fulani hivi sasa mnaanza kumchafua kwa kutengeneza matukio ambayo hausiani nayo. Mbona mnaangaika sana?.
mapanga bisibisi sioMsaidizi maalum wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu; ameshambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana jijini Dar es Salaam jana, 30 Oktoba 2023 majira ya saa 2 usiku. Hizi ni dalili za giza la kisiasa kuanza kutanda tena!
Safari hii hatutakubali ujinga , Liwalo na liweNgoja tuone
Wanatumikishwa kijinga sanaHakuna kitu sikipendi Kama hawa Polisi wa CCM.
Ukiwa Kajunjumele au Mwanjelwa?Safari hii hatutakubali ujinga , Liwalo na liwe