Msaidizi wa Lissu adaiwa kujeruhiwa na mapanga na watu wasiojulikana

Msaidizi maalum wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu; ameshambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana jijini Dar es Salaam jana, 30 Oktoba 2023 majira ya saa 2 usiku. Hizi ni dalili za giza la kisiasa kuanza kutanda tena!

Wewe kama sio CDM basi ni wale CCM wenye chuki na mtu fulani hivi sasa mnaanza kumchafua kwa kutengeneza matukio ambayo hausiani nayo. Mbona mnaangaika sana?.
 
Msaidizi maalum wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu; ameshambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana jijini Dar es Salaam jana, 30 Oktoba 2023 majira ya saa 2 usiku. Hizi ni dalili za giza la kisiasa kuanza kutanda tena!

mapanga bisibisi sio
 
Taarifa kamili hii hapa

Screenshot_2023-11-02-15-31-08-1.png
 
Back
Top Bottom