Msaidizi wa Lissu aliyedaiwa kukamatwa amerejea akiwa na pingu; nini kilimtokea?

Kama ni mahakamani, Haiwezekani mkuu, Kuna taratibu za kumkamata mtu.
Kisheria (chini ya Sheria ya Kanuni ya Adhabu Sura ya 16) mtuhumiwa anayejaribu au kutoroka chini ya ulinzi anatenda kosa jipya linalojitegemea ambalo adhabu yake ni kifungo gerezani mbali na lile kosa la msingi lililosababisha akamatwe.

Kitendo hiki kinaondoa haki ya mtuhumiwa dhamana kwa urahisi na kinaongeza uzito wa kesi yake mahakamani.

Haiwezekani ukamatwe kwa mujibu wa sheria na vyombo vya ulinzi na usalama alafu kwa makusudi uruke kwenye gari na kukimbia.
 
Kuna taratibu za kumkamata mtu. Je zilifuatwa?
 
Tulienda shule kuongeza umri wewe
Kwamba mtekwaji alisaidiwa na bodaboda baada ya kulizonga gari,watekaji wakatoka na bunduki kupambana wakazidiwa,dereva akaacha gari,mtekwaji akatoroka,yote haya hakuna video wala picha?
 
Back
Top Bottom