Msaidizi wa Lissu aliyedaiwa kukamatwa amerejea akiwa na pingu; nini kilimtokea?

Watu wanatekwa wanauawa. Halafu kuna wapumbavu wachache mnaona kama nyie mko salama na familia zenu ksbb mko ndani ya hizo mboga mboga?
Atekwe,boda wafukuzie gari,watekaji watoke na bunduki kupambana na boda,wazidiwe,walimuacha peke yake kwenye gari,atoroke,apande boda hadi nyumbani, hakuna hata still picture?
 
Akili matope. Kwani akina mzee Kibao walivyoshushwa kwenye bus la public,angepambana na kurudi nyie mboga mboga mngesema amejiteka. Unaelewa moment za kutekwa wewe?
 
Back
Top Bottom