Chadema wanamiliki pingu?😂😂😂Tamthilia: chagadema
Season. :1
Episode. 26
Unadhani pingu ni exclusive kwa polisi na magereza tu,uko mbali sana na uhalisiaChadema wanamiliki pingu?😂😂😂
Miliki wewe na mamako huko lumumbaUnadhani pingu ni exclusive kwa polisi na magereza tu,uko mbali sana na uhalisia
wewe unazo pingu?Unadhani pingu ni exclusive kwa polisi na magereza tu,uko mbali sana na uhalisia
UumbwaaTamthilia: chagadema
Season. :1
Episode. 26
Sizihitaji?..we shanga unazo?wewe unazo pingu?
Tamthilia: chagadema
Season. :1
Episode. 26
Anaweza kufunguliwa shitaka jingine la kukimbia akiwa chini ya ulinzi
Watu wanatekwa wanauawa. Halafu kuna wapumbavu wachache mnaona kama nyie mko salama na familia zenu ksbb mko ndani ya hizo mboga mboga?Tamthilia: chagadema
Season. :1
Episode. 26
Tulienda shule kuongeza umri weweTamthilia: chagadema
Season. :1
Episode. 26
Alikamatwa na akina nani hao waliomuweka chini ya ulinzi?Anaweza kufunguliwa shitaka jingine la kukimbia akiwa chini ya ulinzi
Kisheria (chini ya Sheria ya Kanuni ya Adhabu Sura ya 16) mtuhumiwa anayejaribu au kutoroka chini ya ulinzi anatenda kosa jipya linalojitegemea ambalo adhabu yake ni kifungo gerezani mbali na lile kosa la msingi lililosababisha akamatwe.Kama ni mahakamani, Haiwezekani mkuu, Kuna taratibu za kumkamata mtu.
Kuna taratibu za kumkamata mtu. Je zilifuatwa?Kisheria (chini ya Sheria ya Kanuni ya Adhabu Sura ya 16) mtuhumiwa anayejaribu au kutoroka chini ya ulinzi anatenda kosa jipya linalojitegemea ambalo adhabu yake ni kifungo gerezani mbali na lile kosa la msingi lililosababisha akamatwe.
Kitendo hiki kinaondoa haki ya mtuhumiwa dhamana kwa urahisi na kinaongeza uzito wa kesi yake mahakamani.
Haiwezekani ukamatwe kwa mujibu wa sheria na vyombo vya ulinzi na usalama alafu kwa makusudi uruke kwenye gari na kukimbia.
Kwamba mtekwaji alisaidiwa na bodaboda baada ya kulizonga gari,watekaji wakatoka na bunduki kupambana wakazidiwa,dereva akaacha gari,mtekwaji akatoroka,yote haya hakuna video wala picha?Tulienda shule kuongeza umri wewe
Tupeni walau still picture ya bodaboda wakipambana na watekajiSema mwanetu unabidii sana kuliko hata msigwa 😁