gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Atekwe,boda wafukuzie gari,watekaji watoke na bunduki kupambana na boda,wazidiwe,walimuacha peke yake kwenye gari,atoroke,apande boda hadi nyumbani, hakuna hata still picture?Watu wanatekwa wanauawa. Halafu kuna wapumbavu wachache mnaona kama nyie mko salama na familia zenu ksbb mko ndani ya hizo mboga mboga?
Akili matope. Kwani akina mzee Kibao walivyoshushwa kwenye bus la public,angepambana na kurudi nyie mboga mboga mngesema amejiteka. Unaelewa moment za kutekwa wewe?Atekwe,boda wafukuzie gari,watekaji watoke na bunduki kupambana na boda,wazidiwe,walimuacha peke yake kwenye gari,atoroke,apande boda hadi nyumbani, hakuna hata still picture?
Jibu maswali niliyoulizaAkili matope. Kwani akina mzee Kibao walivyoshushwa kwenye bus la public,angepambana na kurudi nyie mboga mboga mngesema amejiteka. Unaelewa moment za kutekwa wewe?
Kazi kweli kweliNasikia kwamba Msaidizi wa Lissu aliyedaiwa kukamatwa akiwa nyumbani kwake maeneo ya Bunju amerejea akiwa na pingu.
Je, nani walikuwa wamemkamata ? Amefikaje nyumbani akiwa na Pingu?
Pia soma:David Djumbe (Msaidizi wa Lissu) adaiwa kutekwa
Siasa ni kutafutana
ndio njoo uzishikeshike mremboSizihitaji?..we shanga unazo?