Msaidizi wa Lissu apatikana baada ya kudaiwa kutekwa akiwa na pingu mkononi pamoja na majeraha

Msaidizi wa Lissu apatikana baada ya kudaiwa kutekwa akiwa na pingu mkononi pamoja na majeraha

Hoja zote ulizotoa ni invalid, hakuna mwenye maelezo sahihi kwanini aliumizwa, ikiwa je alikaidi kukamatwa na hii inathibitishwa kwa kufungwa pingu!

Pili, labda mara kadhaa ameitwa na hakutii wito au makosa anayoyafanya ni jinai na jinai kwa sheria zetu zinawaruhusu Polisi kufanya ukamataji ulio sahihi kutokana na taarifa walizonazo

Amejitokeza baada ya kuona hakuna njia yeyote anaweza kutoroka labda ajinyonge

Scenario zipo nyingi tuwaache Polisi wafanye kazi yao watatoa majibu sahihi
Kweli unaamini Polisi watatoa majibu sahihi? Umejuaje amejitokeza kwa sababu hakuona njia yeyote ya kuweza kutoroka? Mbona polisi hawajamfungulia mashtaka mahakamani au kumkamata mkama ni mtuhumumiwa? Unajitoa ufahamu!
 
Hatimaye 'wasiojulikana,' sasa wamejulikana, sijui kesho kama wataendelea kutumia msamiati wa 'wasiojukikana', pole sana Djunbe, lakini hongera kwa ujasiri wako ambao umewaweka hadharani watekaji na wauwaji walioj8ficja kwa jina la 'wasiojulikana'.
Wasiojulikana = polisi.

Vv
 
Chadema niliwaonyeni mkashupaza shingo ..mkashikamana na raia feki na mafisadi kumpinga jpm
Na waliingia kwenue mfumo wa wanafiki mazima mazima, wakamuona Jpm mjinga. Toka enzi hizo za jpm na enzi za nani awe rais wa kupitia ukawa 2015, mimi nilipoteza imani nao chadema.

Ni wepesi sana kuingia kwenye mitego ambayo hata mtu ambae sio great thinker anaiona mapema sana.
 
Kutekwa na watu wenu na watu wa nje ni sawa ila angalia isije ukawa watu wa chama chao.

Jingine kwenye hali ya sasa mtu aepuke mambo ya vyama watu wamevurugwa
 
Back
Top Bottom