Msaidizi wa Lissu apatikana baada ya kudaiwa kutekwa akiwa na pingu mkononi pamoja na majeraha

Picha zikionyesha Msaidizi wa TUNDU LISSU akiwa ameumizwa vibaya na watekaji usiku wa kuamkia leo.

David Djumbe alitekwa siku ya Jana Maeneo ya Bunju akiwa na rafiki yake wakati wa kutekwa alipiga kelele sana bodaboda wakafukuzia GARI kwa nyuma

Walipofika umbali wa kilometa kama 3 watekaji walipoona bodaboda bado wanafuatilia GARI, watekaji walishuka na kuanza kupiga RISASI wakati huo Djumbe wakiwa wamemuacha ndani ya GARI.

Ndio David Djumbe akapata upenyo na kukimbia akiwa na Pingu mkononi na amelowa damu kama anavyoonekana.

Mungu ametenda watekaji wanazidi kuuumbuka.

View attachment 3592164

View attachment 3592165View attachment 3592166View attachment 3592167View attachment 3592168
Wakati wa kulipa kisasi ni sasa.Piga polisi, familia za polisi, wazanzibari walioko huku bara, maana huu sasa ni ujinga bila kupeleka msiba upande wa pili wapinzani hasa Chadema wote wako hatarini.
 
Picha zikionyesha Msaidizi wa TUNDU LISSU akiwa ameumizwa vibaya na watekaji usiku wa kuamkia leo.

David Djumbe alitekwa siku ya Jana Maeneo ya Bunju akiwa na rafiki yake wakati wa kutekwa alipiga kelele sana bodaboda wakafukuzia GARI kwa nyuma

Walipofika umbali wa kilometa kama 3 watekaji walipoona bodaboda bado wanafuatilia GARI, watekaji walishuka na kuanza kupiga RISASI wakati huo Djumbe wakiwa wamemuacha ndani ya GARI.

Ndio David Djumbe akapata upenyo na kukimbia akiwa na Pingu mkononi na amelowa damu kama anavyoonekana.

Mungu ametenda watekaji wanazidi kuuumbuka.

View attachment 3592164

View attachment 3592165View attachment 3592166View attachment 3592167View attachment 3592168
Chadema niliwaonyeni mkashupaza shingo ..mkashikamana na raia feki na mafisadi kumpinga jpm
 
Hivi Samia anatutaka nini sisi Watanganyika? Au tuanze kuua wazanzibari huku mitaani?
Mnamuonea bure Samia.

Makamu wa Rais, Waziri mkuu na mstaafu mwenye nguvu aliyebaki katokea wapi

Haya watu wazito wa Usalama, Jeshi na polisi. Asilimia kubwa ni Wazanzibari?..

Bunge na mahakama kuna wabara wangapi

Kusema Mzanzibari anaetokea nchi ndogo yenye population inayoingia mara tatu kwa Dar. Anawafanya atakavyo ni sawa na kusema hata mkoloni akirudi na kuwapa pesa nzuri viongozi wa Tanganyika, bhasi watawauza

Msimlaumu Samia, laumuni watanganyika wenzenu
 
Kama sifa zoote za nchii anapewa Samia, kila kiongozi wa ngazi yoyote hawezi kumaliza bila kupeleka sifa kwa Samia hata zingine hastahili, vivyo hivyo hata kwa maovu yote yanayofanywa vyombo vya dola lazima lawama ziwe kwake, si kila siku anatamba tusisahau kuwa yeye ndiye amiri jeshi mkuu wa nchi hii.
 
Chonde chonde CCM na serkali yenu, haya mambo si mazuri... nawaombeni saana kwa jina la mwenye enzi, muumba Mbingu na nchi, vitu vyote, vinavyo oonekana na visio onekana, chonde chonde, achaneni na haya mambo. Hayana afya kwa taifa letu Tanzania.. nawaomba sana achaneni nayo... ukatiri wa namna hii si jambo la jema, mbinguni wala duniani...nawaombeni sana ndugu zangu, achaneni na mambo haya ya kuteka, kutesa, kusumbua binadamu wengine ( sote tume umbwa kwa sura na mfano wa Mungu)... Hizi surakama za huyu bwana Jumbe, Mungu hatazipenda... acheni tafadhari...
 
Back
Top Bottom