ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
😢😢 mimi naogopa kuona damu
Hii picha itanitesa
Hii picha itanitesa
Huu mchezo wa kuunganisha uzi umeanza tena?Niliandika jana kwamba walipanga kumuua Uzi ukaunganishwa
Acha ujinga wako.Wakati wa kulipa kisasi ni sasa.Piga polisi, familia za polisi, wazanzibari walioko huku bara, maana huu sasa ni ujinga bila kupeleka msiba upande wa pili wapinzani hasa Chadema wote wako hatarini.
Duuh! Hii nchi jamani sasa imekuwa too much, hawa CCM na serikali yao ni wa kuondoa hapo walipo mara moja la sivyo watatufikisha pabaya sana.Picha zikionyesha Msaidizi wa TUNDU LISSU akiwa ameumizwa vibaya na watekaji usiku wa kuamkia leo.
David Djumbe alitekwa siku ya Jana Maeneo ya Bunju akiwa na rafiki yake wakati wa kutekwa alipiga kelele sana bodaboda wakafukuzia GARI kwa nyuma
Walipofika umbali wa kilometa kama 3 watekaji walipoona bodaboda bado wanafuatilia GARI, watekaji walishuka na kuanza kupiga RISASI wakati huo Djumbe wakiwa wamemuacha ndani ya GARI.
Ndio David Djumbe akapata upenyo na kukimbia akiwa na Pingu mkononi na amelowa damu kama anavyoonekana.
Mungu ametenda watekaji wanazidi kuuumbuka.
View attachment 3592164
View attachment 3592165View attachment 3592166View attachment 3592167View attachment 3592168
Pingu mara nyingi hutambuliwa kama kifaa cha kiusalama/chombo cha kudhibiti mtu, na katika mazingira mengi ya kisheria huangukia kwenye kundi la vifaa vinavyotumiwa na vyombo vya dola au ulinzi.Picha zikionyesha Msaidizi wa TUNDU LISSU akiwa ameumizwa vibaya na watekaji usiku wa kuamkia leo.
David Djumbe alitekwa siku ya Jana Maeneo ya Bunju akiwa na rafiki yake wakati wa kutekwa alipiga kelele sana bodaboda wakafukuzia GARI kwa nyuma
Walipofika umbali wa kilometa kama 3 watekaji walipoona bodaboda bado wanafuatilia GARI, watekaji walishuka na kuanza kupiga RISASI wakati huo Djumbe wakiwa wamemuacha ndani ya GARI.
Ndio David Djumbe akapata upenyo na kukimbia akiwa na Pingu mkononi na amelowa damu kama anavyoonekana.
Mungu ametenda watekaji wanazidi kuuumbuka.
View attachment 3592164
View attachment 3592165View attachment 3592166View attachment 3592167View attachment 3592168
Sio sahihi.Hii ni sahihi,chuki ni muhimu kupandikizwa
Huyo anamihemko..Acha ujinga wako.
Wazanzibari wamefanya nini?
Hizi chuki kwa Wazanzibari zitakugharimu.
Take care.
Hawa wase.nge inainekana lengo lao lilikuwa ni kumuua huyu msaidizi wa Lissu na wakimaliza wende kumpa Lissu sumu gerezani ili naye wamuue. Mungu awalaani wauaji wote owa jina la Yesu. Amina.Picha zikionyesha Msaidizi wa TUNDU LISSU akiwa ameumizwa vibaya na watekaji usiku wa kuamkia leo.
David Djumbe alitekwa siku ya Jana Maeneo ya Bunju akiwa na rafiki yake wakati wa kutekwa alipiga kelele sana bodaboda wakafukuzia GARI kwa nyuma
Walipofika umbali wa kilometa kama 3 watekaji walipoona bodaboda bado wanafuatilia GARI, watekaji walishuka na kuanza kupiga RISASI wakati huo Djumbe wakiwa wamemuacha ndani ya GARI.
Ndio David Djumbe akapata upenyo na kukimbia akiwa na Pingu mkononi na amelowa damu kama anavyoonekana.
Mungu ametenda watekaji wanazidi kuuumbuka.
View attachment 3592164
View attachment 3592165View attachment 3592166View attachment 3592167View attachment 3592168
Umbwa.Kila mtu atakufa hakuna formula ila unaposhindana na mwenzio ana moto wewe una nyasi sijui unategemea nini 😆😆
Mbowe na Mnyika hawana hizi lugha wangewasaidia ila nyie wanaharakati kazi mnayo huko kazini kwenu.
Amini mkuu.. ata mimi niliwahi kuwaza hivi .Huyu mama huyuuu, aisee ningekuwa na drone dah
Mshaurini Samia wenu anatupeleka pabaya, kwanini hakujifunza October 29, ni chura kizziwi kwelikweli hutu mtu.Mnamuonea bure Samia.
Makamu wa Rais, Waziri mkuu na mstaafu mwenye nguvu aliyebaki katokea wapi
Haya watu wazito wa Usalama, Jeshi na polisi. Asilimia kubwa ni Wazanzibari?..
Bunge na mahakama kuna wabara wangapi
Kusema Mzanzibari anaetokea nchi ndogo yenye population inayoingia mara tatu kwa Dar. Anawafanya atakavyo ni sawa na kusema hata mkoloni akirudi na kuwapa pesa nzuri viongozi wa Tanganyika, bhasi watawauza
Msimlaumu Samia, laumuni watanganyika wenzenu
Wazo baya hili. Siku akija kiongozi msukuma wasukuma wote waadhibiwe kwa anachofanya akiwa kiongozi? Hii unatengeneza chaos ambayo hata raisi akibadilika yenyewe itabaki.Wakati wa kulipa kisasi ni sasa.Piga polisi, familia za polisi, wazanzibari walioko huku bara, maana huu sasa ni ujinga bila kupeleka msiba upande wa pili wapinzani hasa Chadema wote wako hatarini.
Umesema ukweli kabisa.Mnamuonea bure Samia.
Makamu wa Rais, Waziri mkuu na mstaafu mwenye nguvu aliyebaki katokea wapi
Haya watu wazito wa Usalama, Jeshi na polisi. Asilimia kubwa ni Wazanzibari?..
Bunge na mahakama kuna wabara wangapi
Kusema Mzanzibari anaetokea nchi ndogo yenye population inayoingia mara tatu kwa Dar. Anawafanya atakavyo ni sawa na kusema hata mkoloni akirudi na kuwapa pesa nzuri viongozi wa Tanganyika, bhasi watawauza
Msimlaumu Samia, laumuni watanganyika wenzenu
Gentleman,Lengo ilikuwa wamuue nadhani!
Subiria propaganda zao sasa! Watampa kesi ya kujiteka na kuleta taaruki! Na misukule wa CCM wote kina Tlaatlaah GENTAMYCINE watamezwa msemo wa kwamba kajiteka kuleta taaruki