loose Nut
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 2,887
- 6,657
Dogo my take wewe ni uumbwaa.Endelea kushindani umbwa atajulikana
Dogo my take wewe ni uumbwaa.Endelea kushindani umbwa atajulikana
Huna hojaDogo my take wewe ni uumbwaa.
Huna hojaHawa ni .bwa na sio mbwa tuelewane.
Kama alikuwa anashindana na aliyeshika moto yeye kashika mabua Shauri yake kwani hajui consequences?Huna Akili !! Ndugu Yako akiuwawa au kutekwa kama hivyo utatoa comment kama hii !?
AI ya Nokho!Ni halisia au AI?..
😥 dah watu wabaya
Kushindana kwake na kupiga kelele kulisaidia bada boda kukusanyika na kuunga msafara, jambo lililo muokoa. Angekuwa mpole angesha uawa kitamboKama alikuwa anashindana na aliyeshika moto yeye kashika mabua Shauri yake kwani hajui consequences?
Usishindane na mwenye Nguvu maana huwezi shinda Iko hivyo hata kwenye maisha ya kawaida ya mtaani utaumia.
Chawa jinga hili usipokua hai utaweza kulima hayo mahindi?Sinaga huruma na mwanasiasa uaneni tuu mvua itaendelea kunyeshea mahindi yangu
Kati ya anayechukiaHizi ndio Lugha zinazowaponza.Hata kama humpendi Samia hutakiwi kuleta na kuchochea chuki.
Yale yale nimekwambia Tanzania haiwezi kushindana na Marekani ukasema eti we are sovereign state my foot.Kila mtu atakufa hakuna formula ila unaposhindana na mwenzio ana moto wewe una nyasi sijui unategemea nini 😆😆
Kwa hiyo wewe unampenda, wewe sio mtanganyika, wewe ni mzenji ndio maana unaona hay yote ni sawa tu kwako.Hizi ndio Lugha zinazowaponza.Hata kama humpendi Samia hutakiwi kuleta na kuchochea chuki.
Kwani kumpenda mtu unaangalia kabila? Mfano nikupende wewe Ili umisaidie nini? Kama unawapenda watu wa kabila lako mbona huwapinpesa,hawajui.kula kwako au hujawapa kazi? Achilia mbali ndugu wako wa damu.Kwa hiyo wewe unampenda, wewe sio mtanganyika, wewe ni mzenji ndio maana unaona hay yote ni sawa tu kwako.
Sawa usidhani hayatakufikia. Siku ile mwili wa kaka yako ama baba yako umeokotwa hauna marinda ndo utajuwa sina hoja.Huna hoja
Tanzania haiamrishwi.Kati ya anayechukia
Yale yale nimekwambia Tanzania haiwezi kushindana na Marekani ukasema eti we are sovereign state my foot.
Umefungua video ukayasikiliza maelezo yake?Asa mbona mwamba yupo na kikoi, alikuwa kavaaje kabla ya kutekwa🤔
Ndugu zangu hawako kwenye siasa kwanza tulishaonywa Toka tukiwa wadogo.Sawa usidhani hayatakufikia. Siku ile mwili wa kaka yako ama baba yako umeokotwa hauna marinda ndo utajuwa sina hoja.
Nyau ww!
Unadhani hawa watu kwa namna mambo wanavyoyafanya, hawajali chochote hata mkijua zilikotoka.Pingu mara nyingi hutambuliwa kama kifaa cha kiusalama/chombo cha kudhibiti mtu, na katika mazingira mengi ya kisheria huangukia kwenye kundi la vifaa vinavyotumiwa na vyombo vya dola au ulinzi.
Utambulisho wa pingu unaweza kuwa kwa njia hizi:
Namba ya serial/registration iliyochongwa kwenye pingu
Jina au logo ya mtengenezaji
Model/type number
Alama ya taasisi inayomiliki (mfano polisi, gereza, kampuni ya ulinzi)
Pingu za taasisi huandikishwa kwenye kumbukumbu za mali (asset records)
Mara nyingi hupewa askari au mtumiaji maalum kwa kazi maalum.
Umiliki unaweza kuthibitishwa kupitia serial number, receipt, procurement records, au assignment logs
pingu yenu mkaichukue.....
Haya majitu majinga,tunayoyamudu yashufhulikiwe tuSawa usidhani hayatakufikia. Siku ile mwili wa kaka yako ama baba yako umeokotwa hauna marinda ndo utajuwa sina hoja.
Nyau ww!
Wewe ni mjinga,nawew utafikiwa tuNdugu zangu hawako kwenye siasa kwanza tulishaonywa Toka tukiwa wadogo.
Lakini akiingia kwenye siasa ajue Kuna hatari zake.
Na zilizo futwa unasemaje kuhusu izo?Mbona hii haijafutwa mkuu? Tuliza mzuka tujadiliane kwa utaratibu.