ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Sawa 😆😆Wewe ni mjinga,nawew utafikiwa tu
Sawa 😆😆Wewe ni mjinga,nawew utafikiwa tu
Sio kobazi tu, Mimi CCM damu,ila sifurahii mauaji kwa binadamuMkuu wewe ni kobaz lakini naona huna ushabiki mandazi.
Kwa ufupi kabisa wewe ni matakoKwani kumpenda mtu unaangalia kabila? Mfano nikupende wewe Ili umisaidie nini? Kama unawapenda watu wa kabila lako mbona huwapinpesa,hawajui.kula kwako au hujawapa kazi? Achilia mbali ndugu wako wa damu.
Lugha kama hizi ndio zinawaponza.Kwa ufupi kabisa wewe ni matako
Ni bora kuponzwa ukiwa aggressive vs mashetani kama ninyi kuliko kuwakalia kimyaLugha kama hizi ndio zinawaponza.
Nikupende wewe au Lisu umisaidie nini?
Ugomvi wenu wa Kisiasa Mimi nahusikaje? Siwezi hata kukuhurumia maana Nina yangu ya kuyahurumia.Ni bora kuponzwa ukiwa aggressive vs mashetani kama ninyi kuliko kuwakalia kimya
Wewe ni mjinga kama hiyo jinsia yakoUgomvi wenu wa Kisiasa Mimi nahusikaje? Siwezi hata kukuhurumia maana Nina yangu ya kuyahurumia.
Nyumbu huna hojaWewe ni mjinga kama hiyo jinsia yako
Wewe ni wakike tena mzanzibar
Umesikia Maelezo yake? Mtu hatati kwa nini hawakumpeleka Mbweni Au Osterbay wakataka wampeleke kwa Bosi? Mtu hatari yupo mtaani hajajificha ndo atekwe badala ya kukamatwa?Hukusikia Polisi walichosema?
Kama sio mtu hatari unakimbiaje na pingu?
Nyumbu huna hoja
Nyumbu huna hoja
Huo uzanzibar wako ,jinsia yako inakufanya uwe na roho mbaya,thus why ukilala usiku unaweweseka,nakuambia hicho kinachokutesa siyo ndoto ni kweli na kitaenda kutokea huna namna ya kuepukaNyumbu huna hoja
Bye bye tanzanianooDah! Tunakoelekea ni kubaya sana kama taifa,
Ni huzuni kwa nchi iliyokuwa ikifahamika kama kisiwa cha amani kuwa taifa la watekaji na wauaji, hakika inahuzunisha sana
Ni nani anayechochea chuki kati ya serikali inayoteka watu na raia wanaolaani hayo matendo maovu ya serikali!?Hizi ndio Lugha zinazowaponza.Hata kama humpendi Samia hutakiwi kuleta na kuchochea chuki.
Chanzo ,weweukiitwa fala hapo mtaani utakenua meno? Kutekana sio dili ila unaowaita hivyo watakuacha salama? Mbona huruma mnaitaka ila kuacha yanayofikisha huko hamtaki.Ni nani anayechochea chuki kati ya serikali inayoteka watu na raia wanaolaani hayo matendo maovu ya serikali!?
Kwani msigwa ni nani ? Mbuzi tu yole mbumbumbuChanzo ,weweukiitwa fala hapo mtaani utakenua meno? Kutekana sio dili ila unaowaita hivyo watakuacha salama? Mbona huruma mnaitaka ila kuacha yanayofikisha huko hamtaki.
Msigwa alisema Vijana msitukane mitandaoni mtapatikana Sasa unabishana nao?
Come to think of it, watu walikuwa pushed to the limit wakaona only option ni ku retaliate. Serikal zilipoona hawawezi waka wa label magaidiUgaidi duniani wakati mwingine huwa una sababu halali kabisa
Yesu anarudi!Picha zikionyesha Msaidizi wa TUNDU LISSU akiwa ameumizwa vibaya na watekaji usiku wa kuamkia leo.
David Djumbe alitekwa siku ya Jana Maeneo ya Bunju akiwa na rafiki yake wakati wa kutekwa alipiga kelele sana bodaboda wakafukuzia GARI kwa nyuma
Walipofika umbali wa kilometa kama 3 watekaji walipoona bodaboda bado wanafuatilia GARI, watekaji walishuka na kuanza kupiga RISASI wakati huo Djumbe wakiwa wamemuacha ndani ya GARI.
Ndio David Djumbe akapata upenyo na kukimbia akiwa na Pingu mkononi na amelowa damu kama anavyoonekana.
Mungu ametenda watekaji wanazidi kuuumbuka.
View attachment 3592164
View attachment 3592165View attachment 3592166View attachment 3592167View attachment 3592168
Video akielezea tukio:
Huku ni kukosa hoja na dalili za ujinga na kufilisika.Huo uzanzibar wako ,jinsia yako inakufanya uwe na roho mbaya,thus why ukilala usiku unaweweseka,nakuambia hicho kinachokutesa siyo ndoto ni kweli na kitaenda kutokea huna namna ya kuepuka
Muite mbuzi ila yakikufika usitake nikuhurumie Sina huo ujingaKwani msigwa ni nani ? Mbuzi tu yole mbumbumbu