Msaidizi wa Lissu apatikana baada ya kudaiwa kutekwa akiwa na pingu mkononi pamoja na majeraha

Msaidizi wa Lissu apatikana baada ya kudaiwa kutekwa akiwa na pingu mkononi pamoja na majeraha

Picha zikionyesha Msaidizi wa TUNDU LISSU akiwa ameumizwa vibaya na watekaji usiku wa kuamkia leo.

David Djumbe alitekwa siku ya Jana Maeneo ya Bunju akiwa na rafiki yake wakati wa kutekwa alipiga kelele sana bodaboda wakafukuzia GARI kwa nyuma

Walipofika umbali wa kilometa kama 3 watekaji walipoona bodaboda bado wanafuatilia GARI, watekaji walishuka na kuanza kupiga RISASI wakati huo Djumbe wakiwa wamemuacha ndani ya GARI.

Ndio David Djumbe akapata upenyo na kukimbia akiwa na Pingu mkononi na amelowa damu kama anavyoonekana.

Mungu ametenda watekaji wanazidi kuuumbuka.


View attachment 3592164

View attachment 3592165View attachment 3592166View attachment 3592167View attachment 3592168
Sikuwai kujua ipo siku tutafikiwa na kuwa taifa la aina hii...nimeogopa sana sanaa.

Kukimbia na pingu sio mchezooo inabidi uwe ngangarii sana pia angeweza kupigwa risasi..

😢😢
 
Mlolongo wa hili tukio...

- Taarifa kusambaa za msaidizi wa Lissu ametekwa.

-Bodaboda wakafuatilia gari ya watekaji wakaona ikiingia nyumba za usalama wa taifa, Mbweni.

- Chadema kutaka kufanya press conference, polisi wanawazuia kwa kuzingira ofisi zao Mikoche
20260521_045828.jpg
20260521_045828.jpg
ni.

- Picha zinazomuonesha msaidizi wa Lissu akiwa amepigwa na kuumizwa vibaya, huku akiwa na pingu mikononi.

Naamini wote tumeshajua watekaji ni wakina nani. Watekaji bado wana kiu na damu zetu.
Na kakutwa na pingu, na wote tunafahamu wanaomiliki pingu ni akina nani.

Sativa naye alifanyiwa hivi hivi akanusurika naye mwisho alikua na majeraha ya pingu kumbana mikono.
 
Picha zikionyesha Msaidizi wa TUNDU LISSU akiwa ameumizwa vibaya na watekaji usiku wa kuamkia leo.

David Djumbe alitekwa siku ya Jana Maeneo ya Bunju akiwa na rafiki yake wakati wa kutekwa alipiga kelele sana bodaboda wakafukuzia GARI kwa nyuma

Walipofika umbali wa kilometa kama 3 watekaji walipoona bodaboda bado wanafuatilia GARI, watekaji walishuka na kuanza kupiga RISASI wakati huo Djumbe wakiwa wamemuacha ndani ya GARI.

Ndio David Djumbe akapata upenyo na kukimbia akiwa na Pingu mkononi na amelowa damu kama anavyoonekana.

Mungu ametenda watekaji wanazidi kuuumbuka.


View attachment 3592164

View attachment 3592165View attachment 3592166View attachment 3592167View attachment 3592168
Mambo ya ******* sana haya kufanywa na watu wazima wenye akili za kitoto. Hongereni sana bodaboda kwa kuwaumbua hao mbwa.
 
Unaweza kuta nchi iko chini ya jini mnywa damu. Vetting ni muhimu sana kwa viongozi kuanzia ngazi ya ujumbe wa serikali ya mtaa.

Uzalendo, utu, haki za binadamu, kuheshimiana, uvumilivu wa kisiasa, uwajibikaji kwa viongozi, ujenzi wa nchi kwa usawa, kukubali kukosolewa iwe msingi wa taifa letu.

Ni wakati mwafaka sasa vyombo vya ulinzi na usalama kusimamia nchi siyo kila kiongozi anayekuja anajiundia kakikosi kake nje ya utaratibu rasmi. Ulinzi atapangiwa na vyombo vya ulinzi vya ndani. Wakuu wa vyombo hivi waondolewe hofu ya kutumbuliwa au kunyang'anywa madaraka yao bila idhini ya bunge, uchunguzi wa kiusalama unaohusisha vyombo vya ulinzi na usalama.

TANZANIA YA WATANZANIA WOTE, TUSIUANE KISA MADARAKA YENYE KUPITA. YUKO MAGUFULI?
 
Polisi wetu acheni ujinga huu kabisa, mtu tishio kama huyo anawatorokaje?


Kamchukueni mumtapishe anachojua/fahamu kuhusu October 29, labda ni mmoja wa kiunganishi cha maharamia

Isaidieni tume ya kijinai kukamilisha kazi yake kwa watu muhimu kama hao!
Usiishie kusema tu mtu tishio kama huyo, tuwekee na matishio yake ili nasi tuchangie. Utakuwa unamfahamu sana hadi unaielekeza tume kumtafuta.
Au nawe ni kati ya waliomteka? Usijifiche kaa barazani utueleze kwa kitu jinsi unavyomfahamu.
 
Kuna mwenye shaka tena kuwa tuna Serikali ya kigaidi?
xNi vema tukaomba jumuiya kimataifa iitangaze Tanzania kama nchi inayoongozwa na Serikali ya kogaidi, ili Dunia nzima isaidie katika kupambana na Serikali hatari kwa usalama wa wanadamu.
 
Jeshi la Polisi Oysterbay limemfungua pingu David Jumbe, ambazo zilikuwa zimembana kisiasi cha kusababisha mikono kuvimba.

Djumbe alitekwa usiku wa kuamkia leo akafanikiwa kuwakimbia watekaji.

Maumivu haya Mpaka lini, sasa Djumbe apelekewe hospitalini.
Imeandikwa na Twaha Mwaipaya
1779358778339.jpg
1779358775743.jpg
1779358772120.jpg
 
Usiishie kusema tu mtu tishio kama huyo, tuwekee na matishio yake ili nasi tuchangie. Utakuwa unamfahamu sana hadi unaielekeza tume kumtafuta.
Au nawe ni kati ya waliomteka? Usijifiche kaa barazani utueleze kwa kitu jinsi unavyomfahamu.
Hukusikia Polisi walichosema?

Kama sio mtu hatari unakimbiaje na pingu?
 
Back
Top Bottom