Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Uwe na aibu hata kidogo.Hatimaye demokrasia imezingatiwa na kufuatwa ,msajili anganzia pande za ufipa Kuna mtu hang'oki
Mbatia ameikosea wapi serikali ya Samia?
Lini walimtoa king'ang'anizi wa uenyekiti Mbowe wakakataliwa? Inatenda haki sana tuKwa vyama vingine Ofisi ya msajili wa Vyama vya siasa inatekelezwa mara moja isipokuwa tu CHADEMA ndiyo hawaruhusiwi kuhudumiwa wala kusikilizwa maamuzi yao.
Mbatia tulimuonya kwamba Kushirikiana na shetani kutamgharimu , siku zote SHETANI HANA RAFIKI , walimtumia wakati wa Uchaguzi sasa wanambwagaOfisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, leo Mei 25 imebariki Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia na Sekretarieti yake yote kusimamishwa na kuwataka kutojihusisha na siasa ndani ya chama hicho hadi uamuzi huo utakapoamuliwa vinginevyo...
Mbowe amekubali kunusuru chama chake lakini Mbatia amekaidi sasa hichi kinachotokea ndio malipo yake.Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, leo Mei 25 imebariki Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia na Sekretarieti yake yote kusimamishwa na kuwataka kutojihusisha na siasa ndani ya chama hicho hadi uamuzi huo utakapoamuliwa vinginevyo.
-
Mnamo Mei 21, Halmashauri Kuu ya Chama cha NCCR-Mageuzi ilimsimamisha Mbatia na makamu Mwenyekiti Bara, Angelina Mtahiwa kutojihusisha na shughuli zozote za chama hadi mkutano mkuu utakapoitishwa ili wajieleze kuhusiana na tuhuma zinazowakabili.
je wakiungana?Mbowe amekubali kunusuru chama chake lakini Mbatia amekaidi sasa hichi kinachotokea ndio malipo yake.,
Tunahitaji upinzani wenye nguvu zaidi Tanzania na usiotetereka kwa vyovyote vile., bado tuna struggle,
Tutamkumbuka na kumuenzi Jemedari Maalim Seif Sharif Hamad
Ofisi ya msajili ilihusika katika haya mapinduzi na huyo Nyahoza alikuwepo kwenye mapinduzi hayo na ndo alibariki hiyo akidi kuwa imetimia. Haya mambo ya ofisi ya msajili kuwa mpanga safu kwa vyama badala ya kuwa mlezi sijui yanatupeleka wapi kiukweli na sijui wanafanya hivyo kwa manufaa ya nani?Ila Mbatia hana namna pale ,maana wanaposema akidi haijatosha si kweli,ile nyomi ilikuwa kubwab,inawezekana watu walishajiorganize chini kwa chini ikabaki kumdondosha tu.
Ifike mahala nchi iwe na vyama viwili tu. Mi ningekuwa msajiri ningefula act, nccr, chauma, umoja pary nk na kubaki na chadema na ccm tu.Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, leo Mei 25 imebariki Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia na Sekretarieti yake yote kusimamishwa na kuwataka kutojihusisha na siasa ndani ya chama hicho hadi uamuzi huo utakapoamuliwa vinginevyo...
Ufipa inawauma CCM kama wamefiwa na mama yao.Hatimaye demokrasia imezingatiwa na kufuatwa, msajili anganzia pande za ufipa Kuna mtu hang'oki