Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe aliwakosea nini ?Lini walimtoa king'ang'anizi wa uenyekiti Mbowe wakakataliwa? Inatenda haki sana tu
kang'ang'ania uenyekiti kila anayetaka kugombea anapotea kwanini?Mbowe aliwakosea nini ?
Kumbe Hoja ni kumwondoa MTU Basi kwa Chadema kuna Mtu alitaka IFE Matokeo yake AKAFA YEYEHatimaye demokrasia imezingatiwa na kufuatwa, msajili anganzia pande za ufipa Kuna mtu hang'oki
akidi ilitosha na msajili alijiridhisha kuwa imetosha.shida ya vyama hivi ni kwamba viongozi wao hawataki kuondolewa katika nyazifa zao hata kama wamekosea.ni viongozi wa aina ya ngwazi dr hasting kamuzu banda(president wa muyaya).Ila Mbatia hana namna pale maana wanaposema akidi haijatosha si kweli, ile nyomi ilikuwa kubwa, inawezekana watu walishajiorganize chini kwa chini ikabaki kumdondosha tu.
mbaya zaidi ni openly.Msajili anatumika na CCM vizuri sn
Kule CHADEMA kashindwambaya zaidi ni openly.
kule alijipenyeza penyeza wakampa za uso.Kule CHADEMA kashindwa
CCM wako active sana sana kuingilia mambo yasiyowahusu ilimradi kuna tishio dhidi yao linaonekana, lakini ingekuwa nyoka hana sumu hawana habari nayeMbatia tulimuonya kwamba Kushirikiana na shetani kutamgharimu , siku zote SHETANI HANA RAFIKI , walimtumia wakati wa Uchaguzi sasa wanambwaga
Mbatia si ameitwa na chama chake kujibu tuhuma zinazomkabili? Yeye aende akapambane na wana saccos wenzie!Msajili anarudia yale yale aliomfanyia Maalim Seif na CUF yake na huwa anafanya haya kwa maelekezo ya Wakubwa.
Kosa la Mbatia ni kukataa kufika mbele ya ile task force ya Rais akiungana na Chadema
Kwa nguvu alizo nazo sitashangaa akimtambua Halima Mdee kuwa mwenyekiti wa CHADEMA na kuagiza ruzuku zote walizo zisusia kina Mbowe apewe
vp wa CAF na ACT pia kuna lichama lipo tangu ukoloniHatimaye demokrasia imezingatiwa na kufuatwa, msajili anganzia pande za ufipa Kuna mtu hang'oki
Alikataa kumuunga mkonoMbatia ameikosea wapi serikali ya Samia?
Subiri tumalize ya diwani na Rwakatare kwanza.
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, leo Mei 25 imebariki Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia na Sekretarieti yake yote kusimamishwa na kuwataka kutojihusisha na siasa ndani ya chama hicho hadi uamuzi huo utakapoamuliwa vinginevyo.
Mnamo Mei 21, Halmashauri Kuu ya Chama cha NCCR-Mageuzi ilimsimamisha Mbatia na makamu Mwenyekiti Bara, Angelina Mtahiwa kutojihusisha na shughuli zozote za chama hadi mkutano mkuu utakapoitishwa ili wajieleze kuhusiana na tuhuma zinazowakabili.
Pia soma:
- NCCR Mageuzi yamsimamisha James Mbatia kufanya shughuli za Chama
mkuu ule mkutano wote ccm hawawezi kuuhonga ,maana ukisikiliza hoja za majamaa zina mashiko na wengi waliohojiwa wanalalamika samething kwamba ukipishana mawazo na Mbatia anakutimua,ana matusi ,madharau,haheshimu viongozi wenzakeakidi ilitosha na msajili alijiridhisha kuwa imetosha.shida ya vyama hivi ni kwamba viongozi wao hawataki kuondolewa katika nyazifa zao hata kama wamekosea.ni viongozi wa aina ya ngwazi dr hasting kamuzu banda(president wa muyaya).
Hapo mahakama itatoa hukumu Ijumaa hiiNamshauri kama walivyofanya wale covid 19, awahi mahakamani kupinga uamuzi na aendelee kubakia madarakani mpaka mahakama itakapotoa hukumu.
Mbatia ameikosea wapi serikali ya Samia?