King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Sister Nyamuoza anatumia madaraka vibaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
msajili anamamlaka ya kushabikia kiongozi aondolewe?
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, leo Mei 25 imebariki Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia na Sekretarieti yake yote kusimamishwa na kuwataka kutojihusisha na siasa ndani ya chama hicho hadi uamuzi huo utakapoamuliwa vinginevyo.
Mnamo Mei 21, Halmashauri Kuu ya Chama cha NCCR-Mageuzi ilimsimamisha Mbatia na makamu Mwenyekiti Bara, Angelina Mtahiwa kutojihusisha na shughuli zozote za chama hadi mkutano mkuu utakapoitishwa ili wajieleze kuhusiana na tuhuma zinazowakabili.
Pia soma:
- NCCR Mageuzi yamsimamisha James Mbatia kufanya shughuli za Chama
Bye bye NCCR!!!! Ndiyo umekufa kabisa kisiasa!!!! Duh! CCM bwana!!! Mnayaweza kabisa.
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, leo Mei 25 imebariki Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia na Sekretarieti yake yote kusimamishwa na kuwataka kutojihusisha na siasa ndani ya chama hicho hadi uamuzi huo utakapoamuliwa vinginevyo.
Mnamo Mei 21, Halmashauri Kuu ya Chama cha NCCR-Mageuzi ilimsimamisha Mbatia na makamu Mwenyekiti Bara, Angelina Mtahiwa kutojihusisha na shughuli zozote za chama hadi mkutano mkuu utakapoitishwa ili wajieleze kuhusiana na tuhuma zinazowakabili.
Pia soma:
- NCCR Mageuzi yamsimamisha James Mbatia kufanya shughuli za Chama
Hangoki mtu hapa nakwambiaHatimaye demokrasia imezingatiwa na kufuatwa, msajili anganzia pande za ufipa Kuna mtu hang'oki
Sheria zingefuatwa kwa cc wepesi hivi, Basi wale wabunge haramu 19 Sasa hivi wasingekuwemo bungeni.
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, leo Mei 25 imebariki Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia na Sekretarieti yake yote kusimamishwa na kuwataka kutojihusisha na siasa ndani ya chama hicho hadi uamuzi huo utakapoamuliwa vinginevyo.
Mnamo Mei 21, Halmashauri Kuu ya Chama cha NCCR-Mageuzi ilimsimamisha Mbatia na makamu Mwenyekiti Bara, Angelina Mtahiwa kutojihusisha na shughuli zozote za chama hadi mkutano mkuu utakapoitishwa ili wajieleze kuhusiana na tuhuma zinazowakabili.
Pia soma:
- NCCR Mageuzi yamsimamisha James Mbatia kufanya shughuli za Chama
Kweli, naye aende mahakamani halafu aendelee kukaa ofisini ili tuone undumilakuwili wa serikali ya CCM.Namshauri kama walivyofanya wale covid 19, awahi mahakamani kupinga uamuzi na aendelee kubakia madarakani mpaka mahakama itakapotoa hukumu.
Ccm haitakubali kuwe na vyama viwili maana wananchi wataungana kukipigia kura chama kingine na ccm itatoka madarakani...kwaio msajili/ccm haiwezi kucheza hio kamariIfike mahala nchi iwe na vyama viwili tu. Mi ningekuwa msajiri ningefula act, nccr, chauma, umoja pary nk na kubaki na chadema na ccm tu.
Kwa upande wa dini ningefuta madhebu yote ya ukristu nikabaki na katoliki na uislamu tu. Waliobaki watachagua wakajoin wapi. Vinginevyo ni kero na vurugu.
Huyu atakua na mpango wake na msajili[emoji848] anaezakuwa anataka kuanzisha chama chake huyu kama stail ya enzi za jk kila ukikaribia uchaguzi kina chama kipya cha siasa
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, leo Mei 25 imebariki Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia na Sekretarieti yake yote kusimamishwa na kuwataka kutojihusisha na siasa ndani ya chama hicho hadi uamuzi huo utakapoamuliwa vinginevyo.
Mnamo Mei 21, Halmashauri Kuu ya Chama cha NCCR-Mageuzi ilimsimamisha Mbatia na makamu Mwenyekiti Bara, Angelina Mtahiwa kutojihusisha na shughuli zozote za chama hadi mkutano mkuu utakapoitishwa ili wajieleze kuhusiana na tuhuma zinazowakabili.
Pia soma:
- NCCR Mageuzi yamsimamisha James Mbatia kufanya shughuli za Chama
Wewe unalopoka bila kuelewa mpango kazi ulikuaje. Usijifanye kujua kila kitu.Mbowe amekubali kunusuru chama chake lakini Mbatia amekaidi sasa hichi kinachotokea ndio malipo yake.
Tunahitaji upinzani wenye nguvu zaidi Tanzania na usiotetereka kwa vyovyote vile., bado tuna struggle,
Tutamkumbuka na kumuenzi Jemedari Maalim Seif Sharif Hamad
Ameshachelewa. Akienda mahakamni sasa, status quo itachukua mkondo wake na ataendelea kubaki nje ya chama.Namshauri kama walivyofanya wale covid 19, awahi mahakamani kupinga uamuzi na aendelee kubakia madarakani mpaka mahakama itakapotoa hukumu.
Alienda mahakamani kupinga utaratibu alioutumia Ndugai kujiuzulu, akadai Ndugai bado ni Spika, wakati mama alishaonesha bifu la kutisha tena hadharani!! Mama bila shaka alikuwa anamlia timing!!Mbatia ameikosea wapi serikali ya Samia?
Hayati Magufuli alibana democresia sasahiv democrasia ipo huru.Mbatia ameikosea wapi serikali ya Samia?
Aling'ang'ania uenyekiti ccm???kang'ang'ania uenyekiti kila anayetaka kugombea anapotea kwanini?
Aisee .. Mwisho wa kutumika unapofika