Msajili abariki Mbatia na Wenzake kusimamishwa NCCR Mageuzi

Msajili abariki Mbatia na Wenzake kusimamishwa NCCR Mageuzi

Lini walimtoa king'ang'anizi wa uenyekiti Mbowe wakakataliwa? Inatenda haki sana tu
Pengine bila kujua ni kuwa wanaccm ndio wanao mpandisha chati Mbowe bila kujua. Mbowe huo ung'ang'anizi wa uenyekiti ameufanya lini? Tunaona kwa uwazi jinsi wana Chadema wanavyo kuja juu wakisikia walio nje wakitaka Mbowe aachie ngazi hivyo kutambua anaogopwa na ccm.
 
Aombe ladhi kwanza ndio aje chadema, kuna kipindi alikuwa kigeugeu maslahi. Akifanya hivyo ubunge wa vunjo utatudi mikononi mwake
Mbatia kama zito tu ndumilakuwili sana chadema wasirogwe wakampokea! Mbowe atatoka madarakan
 
Back
Top Bottom