Msajili abariki Mbatia na Wenzake kusimamishwa NCCR Mageuzi

Ila Mbatia hana namna pale maana wanaposema akidi haijatosha si kweli, ile nyomi ilikuwa kubwa, inawezekana watu walishajiorganize chini kwa chini ikabaki kumdondosha tu.
akidi ilitosha na msajili alijiridhisha kuwa imetosha.shida ya vyama hivi ni kwamba viongozi wao hawataki kuondolewa katika nyazifa zao hata kama wamekosea.ni viongozi wa aina ya ngwazi dr hasting kamuzu banda(president wa muyaya).
 
Watanzania eleweni bila katiba mpya haya mambo yatakuwa yanajirudia rudia kila kukicha, leo ni NCCR kesho ni CDM kwamba ni magaidi - Dawa ni moja tu - Katiba Mpya.
 
Mbatia tulimuonya kwamba Kushirikiana na shetani kutamgharimu , siku zote SHETANI HANA RAFIKI , walimtumia wakati wa Uchaguzi sasa wanambwaga
CCM wako active sana sana kuingilia mambo yasiyowahusu ilimradi kuna tishio dhidi yao linaonekana, lakini ingekuwa nyoka hana sumu hawana habari naye
 
Swali Kwa wadau:
Hivi NYAHOZA na MUTUNGI nani ana roho mbaya zaidi?
 
Mbatia si ameitwa na chama chake kujibu tuhuma zinazomkabili? Yeye aende akapambane na wana saccos wenzie!
This crisis is healthy because it will demystify the notion that some of these political parties are owned by individuals!
 
Msajili wa vyama vya siasa nchini nae ni mtumishi wa umma?
 
Subiri tumalize ya diwani na Rwakatare kwanza.
 
akidi ilitosha na msajili alijiridhisha kuwa imetosha.shida ya vyama hivi ni kwamba viongozi wao hawataki kuondolewa katika nyazifa zao hata kama wamekosea.ni viongozi wa aina ya ngwazi dr hasting kamuzu banda(president wa muyaya).
mkuu ule mkutano wote ccm hawawezi kuuhonga ,maana ukisikiliza hoja za majamaa zina mashiko na wengi waliohojiwa wanalalamika samething kwamba ukipishana mawazo na Mbatia anakutimua,ana matusi ,madharau,haheshimu viongozi wenzake
 
Namshauri kama walivyofanya wale covid 19, awahi mahakamani kupinga uamuzi na aendelee kubakia madarakani mpaka mahakama itakapotoa hukumu.
Hapo mahakama itatoa hukumu Ijumaa hii
 
Mbatia ameikosea wapi serikali ya Samia?

Mbatia alifanya dili na Jiwe 2020 ili ahujumu Upinzani akakomba shs.mill. 500 ambazo alikula peke yake; akajenga Nyumba Mbezi beach!! Katika dili lile Jiwe alikuwa amemuahidi kuwa angeteuliwa kuwa mbunge katika vile viti vya Rais!! Sasa baada ya Jiwe kufariki Mbatia alikwenda kudai achaguliwe kuwa mbunge kama dili lake na Jiwe lilivyokuwa ; lakini Samia hakuhusishwa hivyo asingeweza kumteua kwani hakujua terms za amakubaliano yao!! Hapo ndio uhasama wa Mbatia na Serikali hii ulipoanza!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…