Msajili abariki Mbatia na Wenzake kusimamishwa NCCR Mageuzi

msajili anamamlaka ya kushabikia kiongozi aondolewe?
 
Bye bye NCCR!!!! Ndiyo umekufa kabisa kisiasa!!!! Duh! CCM bwana!!! Mnayaweza kabisa.
 
Sheria zingefuatwa kwa cc wepesi hivi, Basi wale wabunge haramu 19 Sasa hivi wasingekuwemo bungeni.
 
Namshauri kama walivyofanya wale covid 19, awahi mahakamani kupinga uamuzi na aendelee kubakia madarakani mpaka mahakama itakapotoa hukumu.
Kweli, naye aende mahakamani halafu aendelee kukaa ofisini ili tuone undumilakuwili wa serikali ya CCM.
 
Ccm haitakubali kuwe na vyama viwili maana wananchi wataungana kukipigia kura chama kingine na ccm itatoka madarakani...kwaio msajili/ccm haiwezi kucheza hio kamari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli ccm lazima watawale tu yani kaZi zenu kufarakanisha ili wananchi wajue kuna ugomvi kumbe mbinu zenu ili mshinde uchaguzi.
 
Kwa kifupi vyama vya upinzani vimeanzoshwa ma c cm ili kiendelee kuwa madarakani
 
Huyu atakua na mpango wake na msajili[emoji848] anaezakuwa anataka kuanzisha chama chake huyu kama stail ya enzi za jk kila ukikaribia uchaguzi kina chama kipya cha siasa
 
Wewe unalopoka bila kuelewa mpango kazi ulikuaje. Usijifanye kujua kila kitu.
Mboe ilikuwa amalizikie kwenye kesi yake ya mchongo, akina covid wangeludi kwa wajumbe kukubali yaishe. Mbatia alipoteleza tutajua kama alitegwa au la. Subira yaleta majibu.
 
Hatimae mama Tanzania afurushwa chamani, bado Mbowe.🌚
 
Namshauri kama walivyofanya wale covid 19, awahi mahakamani kupinga uamuzi na aendelee kubakia madarakani mpaka mahakama itakapotoa hukumu.
Ameshachelewa. Akienda mahakamni sasa, status quo itachukua mkondo wake na ataendelea kubaki nje ya chama.
 
Mbatia ameikosea wapi serikali ya Samia?
Alienda mahakamani kupinga utaratibu alioutumia Ndugai kujiuzulu, akadai Ndugai bado ni Spika, wakati mama alishaonesha bifu la kutisha tena hadharani!! Mama bila shaka alikuwa anamlia timing!!
 
Aisee .. Mwisho wa kutumika unapofika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…