Pengine bila kujua ni kuwa wanaccm ndio wanao mpandisha chati Mbowe bila kujua. Mbowe huo ung'ang'anizi wa uenyekiti ameufanya lini? Tunaona kwa uwazi jinsi wana Chadema wanavyo kuja juu wakisikia walio nje wakitaka Mbowe aachie ngazi hivyo kutambua anaogopwa na ccm.
I nashangaa watu hawajifunzi juu ya CCM, ona yaliyo mpata Ado juzi uchaguzi wa EALC na ndoa ya CCM na ACT!
Wabunge haohao wa CCM wakapewa order kuichagua CUF na kuiacha ACT wakati walikubaliana sirini watabebwa