Msajili abatilisha Uenyekiti wa Lipumba CUF, ni baada ya kupinga ushindi wa Samia

Msajili abatilisha Uenyekiti wa Lipumba CUF, ni baada ya kupinga ushindi wa Samia

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Lipumba alichaguliwa mwaka 2024 kuendelea kuwa Mkiti wa CUF.

Chadema wanaposema tuungane kufanya reforms na kupata katiba mpya kabla ya uchaguzi huwa mnawabeza.

Kwa huyu mama kila mtu atafikiwa kwa wakati wake.

HBGnAzQaEAA0Ucb.jpeg

Kilichosababisha....

IMG_20260214_115939.jpg
 
Huyu msajili anafanya mambo mengi kihuni tuu ili kuifurahisha CCM yake. Ingefaa naye ashughulikiwe kihuni pia na ataacha uduanzi wake kwani yeye, wazazi wake au Familia yake sidhani kila mahali wanalindwa na polisi au jeshi.
Siku akisikia mama au baba yake Kala mkong'oto na mitama na kupewa salamu amsalimie mheshimiwa mtoto wake Jaji kwani anaonea watu kwa kutumia madaraka ataelewa!
Au mke kafuatwa saloon na kusimangwa na wadada kuwa mumeo mpumbavu sana siku yaja tutakupa kichapo na kukujaza pilipili kwenye kitumbua chako!
Nina hakika ataacha ushenzi wake au hata kuacha kazi.
Uhuni ndiyo njia pekee ya kumkabili muhuni.
 
Huyo msajili anamfanyizia Lipumba maana hiyo ofisi ndio ilitumika na ccm kumpa Lipumba uenyekiti wa CUF. Lipumba asije kujiliza kaonewa maana alitumika kuharibu sana upinzani ndani ya nchi hii. Mwenzake Zito yuko kimya maana anajijua yeye ni project.
 
Zitto hawezi kuzungumza wakati huu.
 
Cuf imefikiwa tena.
Acha tu wafikiwe maana hakuna namna.

Walinidissapoint sana kwenye uchaguzi mkuu mwaka jana!

Badala ya wapinzani wote kusapotiana na kuwa na mwelekeo mmoja, wao wakakubaliana na uchaguzi wa hadaa!

Hata hivyo Polepole ashatusanua kuwa hao, Chaubwabwa pamoja na 'wazalendo' ni Ccm'B.

Walichofanyiwa ni sawa na baba kuchapa mwanaye haulizwi.
 
Back
Top Bottom