Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Alikuwa mteja wangu wa ndumu wakati ule akiwa Msajili hapo High Court Dar es Salaam, nilikuwa na mletea njemu ya huku Usukumani hiyo hata ya chuga na Njombe haioni ndani.Kwani mliwahi kukutana mahalo?
Mkuu hili ni tawi la CCM. Nabila kuiondoa CCM hakuna kitakachobadilika. Hata huyo Mtungi wa kinyesi anafuata maelekezo tu.Hii ofisi inabidi ifutwe.
Ingekuwa chama kama CHADEMA au hata ACT kimepitisha mgombea urais kimagumashi kama walivyofanya ccm mwaka jana msajili asingekubali. Zaidi ya kuonea vyama vya upinzani hii ofisi haina kazi inafanya
360° = 0°360°
Itakua wewe mkiristo mavi
Mkuu hapo kwenye ganja umeharibu!Hivi huyu Mutungi hajaacha kuvuta bangi tu hadi uzeeni?
Basi sawa ndiyo mana mambo yanaendeshwa mseke mnege hapu mtungini!Alikuwa mteja wangu wa ndumu wakati ule akiwa Msajili hapo High Court Dar es Salaam, nilikuwa na mletea njemu ya huku Usukumani hiyo hata ya chuga na Njombe haioni ndani.
Wakati wa maalim Seif, Lipumba aligawana ruzuku ya CUF n.a. MutungiKatika angle gani?
Nikumbusheni Jambo alikuwepo John Tendwa halafu Mutungi,vipolindi vyao vilikuwaje pamoja na akina Kailima na Syti Nyahyoza,Katuga na wote waliochangia kulivuruga taifa letu hii ni kwa kumbukumbu hata kwa ajili ya vizazi vijavyoWatatu wa maalim Serif, Lipumba aligawana ruzuku ya CUF n.a. Mutungi
Jembe la CCM hiloHuyu Lipumbavu bado tu analazimisha uwenyekiti??
Acha wamnyooshe!Wakati wa maalim Seif, Lipumba aligawana ruzuku ya CUF n.a. Mutungi