Uchaguzi 2020 Msajili amwandikia barua Maalim Seif akimtaka ajieleze kwanini kapanda jukwaa moja na Tundu Lissu kule Kilimanjaro!

Uchaguzi 2020 Msajili amwandikia barua Maalim Seif akimtaka ajieleze kwanini kapanda jukwaa moja na Tundu Lissu kule Kilimanjaro!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Msajili wa vyama vya siasa amemtaka mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif ajieleze kwanini alisafiri hadi Kilimanjaro na kupanda jukwaa moja na Tundu Lissu wa CHADEMA kumpigia kampeni.

Kiongozi wa chama Zitto Kabwe amesema wanatarajia na mwenyekiti wa TLP mzee Mrema atajieleza pia.

Maendeleo hayana vyama!
IMG-20201022-WA0018.jpg

======

Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa imekiandikia barua Chama cha ACT Wazalendo ikikitaka kijieleze kwa nini kisichukuliwe hatua baada ya Mwenyekiti wake, Maalim Seif Sharif Hamad kupanda jukwaa la mgombea urais wa Chadema, Tundu Lissu katika mkutano uliofanyika Moshi mjini Oktoba 19, 2020.

Akizungumza na Mwananchi Digital Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza alikiri ofisi hiyo kuipatia ACT barua hiyo

Akizungumza leo Alhamisi Oktoba 22, 2020 na Mwananchi, Naibu Katibu mkuu wa ACT Wazalendo, Joran Bashange amekiri kupokea barua hiyo na amesema wanaijibu.

“Ni kweli tumepokea barua, kosa letu ni mgombea urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad kusimama jukwaa la mgombea mwingine,” amesema Bashange.

Pia, amesema barua hiyo inahoji ni kwa nini mikutano ya ACT Wazalendo inahudhuriwa na viongozi wa vyama vingine na wa dini wanaowaunga mkono.

“Sheria ya vyama vya siasa iko wazi inasema, mtu anapovunja sheria anahukumiwa, yaani ahukumiwe na mahakama, sasa yeye anatafsiri anataka atupe adhabu, adhabu gani? aende mahakamani,” amesema Bashange.

Chanzo: Mwananchi
 
Msajili wa vyama vya siasa amemtaka mwenyekiti wa ACT wazalendo maalim Seif ajieleze kwanini alisafiri hadi Kilimanjaro na kupanda jukwaa moja na Tundu Lisu wa Chadema kumpigia kampeni.

Kiongozi wa chama Zitto Kabwe amesema wanatarajia na mwenyekiti wa TLP mzee Mrema atajieleza pia.

Maendeleo hayana vyama!
Bwana Sisty Nyahoza na boss wake still alive?

Waambie 6/11/2020 tunawatumbua maana ni washenzi hao
 
Msajili wa vyama vya siasa amemtaka mwenyekiti wa ACT wazalendo maalim Seif ajieleze kwanini alisafiri hadi Kilimanjaro na kupanda jukwaa moja na Tundu Lisu wa Chadema kumpigia kampeni.

Kiongozi wa chama Zitto Kabwe amesema wanatarajia na mwenyekiti wa TLP mzee Mrema atajieleza pia.

Maendeleo hayana vyama!
Aanze na Mrema
 
Ukisikia watu weusi tunaitwa manyani unaweza kuchukia lakini ndio ukweli wenyewe. Msajiili anamuandikia mtanzania ajieleze kwanini mtanzania apande jukwaa moja na mtanzania mwenzake, kisha yuko kimya huku watu wa nje wakiwa wamepanda kwenye jukwaa na Rais kumuombea kura ndani ya nchi hii. Mfano Museveni, Ndayishimie na Chikwera
 
Msajili wa vyama vya siasa amemtaka mwenyekiti wa ACT wazalendo maalim Seif ajieleze kwanini alisafiri hadi Kilimanjaro na kupanda jukwaa moja na Tundu Lisu wa Chadema kumpigia kampeni.

Kiongozi wa chama Zitto Kabwe amesema wanatarajia na mwenyekiti wa TLP mzee Mrema atajieleza pia.

Maendeleo hayana vyama!
Mrema hana mgombea urais
 
CCM Mpya na makuwadi wake msajili, tume, makada waliojivisha majoho ya 'wasimamizi huru wa uchaguzi' n.k kamwe hawapendi kisicho haramu, kwao haramu huifanyia sherehe kubwa na kuifuraia.

Chama hiki kongwe kilichojifanya kipya-kongwe chini ya Magufuli,Bashiru Ally na Polepole ni ngumu kushinda uchaguzi ulio Huru na wa Haki.
 
Msajili wa vyama vya siasa amemtaka mwenyekiti wa ACT wazalendo maalim Seif ajieleze kwanini alisafiri hadi Kilimanjaro na kupanda jukwaa moja na Tundu Lisu wa Chadema kumpigia kampeni.

Kiongozi wa chama Zitto Kabwe amesema wanatarajia na mwenyekiti wa TLP mzee Mrema atajieleza pia.

Maendeleo hayana vyama!
Yeye kawajibu kwa nini mrema kavalishwa kofia ya CCM na JPM kwenye mkutano wa Kampeni?
 
Attachments

  • Ek2fJUYWAAAbLV9.jpg
    Ek2fJUYWAAAbLV9.jpg
    13.1 KB · Views: 3
Ukisikia watu weusi tunaitwa manyani unaweza kuchukia lakini ndio ukweli wenyewe. Makatili anamuandikia mtanzania ajieleze kwanini mtanzania apande jukwaa moja na mtanzania mwenzake, kisha yuko kimya huku watu wa nje wakiwa wamepanda kwenye jukwaani na rais kumuombea kura ndani ya nchi hii. Mfano Museveni, Ndayishimie na Chikwera
Upo sahihi mkuu, tuna katiba ya kijinga sana ya kumwabudu mtu mmoja
 
Back
Top Bottom