Msajili asaidiwe asiinajisi Ofisi ya Umma. CCM + TLP, CHADEMA + ACT hawajavunja Sheria

TLP walisema mapema kabla ya muda kuisha wa kuungana, meaning sheria ya NEC imetoa muda wa vyama kuungana, ukipita hakuna ruhusa kuungana, ACT & CHADEMA chunguzeni hiyo sheria mpya, kwa makini, la sivyo mtaingia ktk mgogoro mkubwa na NEC.. Ilitakiwa ACT na CDM waungane mapema na wapeleke mgombea mmoja wa Rais pale NEC, nadhani wamechelewa, ingetakiwa miezi 3 kabla ya uchaguzi

Uchaguzi 2020 - Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa: Vyama vya Siasa vinavyotaka kushirikiana Uchaguzi Mkuu vimeshachelewa kwa mujibu wa Sheria
Nani kasema ACT na CHADEMA wameungana?
 
Umenena vizuri sana!

Wanatakiwa wakumbushwe sheria inasemaje kuhusu kuungana kwa vyama wakati wa uchaguzi. Sio,kwamba hawajui ni ukaidi tu wa sheria ili NEC ionekana inakipendelea chama Cha Mapinduzi...
Watu kama wewe ndio ccm inanufaika nao. Chadema na ACT wamesema lini na wapi kuwa wanaungana? Kwahiyo unadhani mtu kama wewe ni muelewa wa sheria za uchaguzi kuliko wanasheria wa hivyo vyama?
 
Labda huyu msajili atuambie Chama cha TLP kinachomnadi mgombea wa ccm ndugu Magufuli sio chama cha SIASA.

Kwa tafsiri ndogo ya kifungu cha 11A cha sheria ya vyama vya siasa Sura 258 iliyonukuliwa na msajiri hapo, ni kwamba sheria inahusu KUUNGANA KWA VYAMA yaani kwa kizungu wanaita merging/mergermation au Coalition..
Kila nyanja wanakwama. Hivi hawnaa aibu hawa CCM tumboni??
 
TLP walisema mapema kabla ya muda kuisha wa kuungana, meaning sheria ya NEC imetoa muda wa vyama kuungana, ukipita hakuna ruhusa kuungana, ACT & CHADEMA chunguzeni hiyo sheria mpya, kwa makini, la sivyo mtaingia ktk mgogoro mkubwa na NEC.. Ilitakiwa ACT na CDM waungane mapema na wapeleke mgombea mmoja wa Rais pale NEC, nadhani wamechelewa, ingetakiwa miezi 3 kabla ya uchaguzi

Uchaguzi 2020 - Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa: Vyama vya Siasa vinavyotaka kushirikiana Uchaguzi Mkuu vimeshachelewa kwa mujibu wa Sheria
Daaa!!! Eti waungane sheria za vyama vya siasa unaijua vizuri wewe?? Kwa Tz, walichofanya ACT na CDM, kwa sasa ndio njia pekee tu, hakuna njia nyingine. Endorsement inaruhusiwa, kwani sio muungano.
 
Umenena vizuri sana!

Wanatakiwa wakumbushwe sheria inasemaje kuhusu kuungana kwa vyama wakati wa uchaguzi. Sio,kwamba hawajui ni ukaidi tu wa sheria ili NEC ionekana inakipendelea chama Cha Mapinduzi...
Najua umeamua kutoelewa ila ukweli ni kwamba hakuna sheria inayokataza "endorsement" aka kumkubali mgombea mwingine. Ni sawa na kusema kwamba kura yangu nampa mgombea mwenzangu. Hilo sio kosa. Tume inajaribu kuonekana kwamba inamsaidia raisi na hicho ndicho kinachofanywa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama.

Ni udogoudogo wa akili, mawazo na maendeleo katika kukinda haki za watu. Watu wasipopewa haki huidai na kuipata kwa njia ambazo wenye akili waliziona na kuziepusha kupitia demokrasia.
 
Yericko Nyerere ndugu yake Steven Nyerere, umeshamalizana na Zitto Kabwe? Maana ulikua unamuita Msaliti leo naona amekua dawa ya kuwasaidieni. Tanzania ni Taifa kubwa lilojaa na wanasiasa wanafiki Yericko akiwa mmoja wapo.

Mungu mbariki na kurehemu Ruge Mutahaba aliyetukumbusha kuwepo na mitandao ya kisasa tuwe tunabakiza na maneno ya akiba..
 
TLP walisema mapema kabla ya muda kuisha wa kuungana, meaning sheria ya NEC imetoa muda wa vyama kuungana, ukipita hakuna ruhusa kuungana, ACT & CHADEMA chunguzeni hiyo sheria mpya, kwa makini, la sivyo mtaingia ktk mgogoro mkubwa na NEC.. Ilitakiwa ACT na CDM waungane mapema na wapeleke mgombea mmoja wa Rais pale NEC, nadhani wamechelewa, ingetakiwa miezi 3 kabla ya uchaguzi

Uchaguzi 2020 - Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa: Vyama vya Siasa vinavyotaka kushirikiana Uchaguzi Mkuu vimeshachelewa kwa mujibu wa Sheria
Uwe unajaribu kujenga hoja kwa kutumia akili kidogo siyo mapenzi
 
TLP walisema mapema kabla ya muda kuisha wa kuungana, meaning sheria ya NEC imetoa muda wa vyama kuungana, ukipita hakuna ruhusa kuungana, ACT & CHADEMA chunguzeni hiyo sheria mpya, kwa makini, la sivyo mtaingia ktk mgogoro mkubwa na NEC.. Ilitakiwa ACT na CDM waungane mapema na wapeleke mgombea mmoja wa Rais pale NEC, nadhani wamechelewa, ingetakiwa miezi 3 kabla ya uchaguzi

Uchaguzi 2020 - Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa: Vyama vya Siasa vinavyotaka kushirikiana Uchaguzi Mkuu vimeshachelewa kwa mujibu wa Sheria
Hao NEC wenyew wasio jitambua,wanaongozwa kwa hisia za mgombea wa ccm. Acha tu uwe mgogoro, kwani watatufanya nn .
 
TLP walisema mapema kabla ya muda kuisha wa kuungana, meaning sheria ya NEC imetoa muda wa vyama kuungana, ukipita hakuna ruhusa kuungana, ACT & CHADEMA chunguzeni hiyo sheria mpya, kwa makini, la sivyo mtaingia ktk mgogoro mkubwa na NEC.. Ilitakiwa ACT na CDM waungane mapema na wapeleke mgombea mmoja wa Rais pale NEC, nadhani wamechelewa, ingetakiwa miezi 3 kabla ya uchaguzi

Uchaguzi 2020 - Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa: Vyama vya Siasa vinavyotaka kushirikiana Uchaguzi Mkuu vimeshachelewa kwa mujibu wa Sheria
Unajua maana ya kuungana.
 
Ni hujuma tu hivi kwanini uweke vikwazo watu kuungana?
 
Back
Top Bottom