Msajili asaidiwe asiinajisi Ofisi ya Umma. CCM + TLP, CHADEMA + ACT hawajavunja Sheria

Msajili asaidiwe asiinajisi Ofisi ya Umma. CCM + TLP, CHADEMA + ACT hawajavunja Sheria

Labda huyu msajili atuambie Chama cha TLP kinachomnadi mgombea wa ccm ndugu Magufuli sio chama cha SIASA.

Kwa tafsiri ndogo ya kifungu cha 11A cha sheria ya vyama vya siasa Sura 258 iliyonukuliwa na msajiri hapo, ni kwamba sheria inahusu KUUNGANA KWA VYAMA yaani kwa kizungu wanaita merging/mergermation au Coalition...
Msajiri wa vyama vya siasa ijapokuwa ni jaji na muhudumu wa sheria, katika hili anahitaji msaada zaidi kuitafsiri sheria hii na kutafsiri matukio ya kisiasa kuliko kukariri na kuendesha ofisi kilumumbalumumba tu[emoji1534][emoji1548][emoji1536]
 
TLP walisema mapema kabla ya muda kuisha wa kuungana, meaning sheria ya NEC imetoa muda wa vyama kuungana, ukipita hakuna ruhusa kuungana, ACT & CHADEMA chunguzeni hiyo sheria mpya, kwa makini, la sivyo mtaingia ktk mgogoro mkubwa na NEC.. Ilitakiwa ACT na CDM waungane mapema na wapeleke mgombea mmoja wa Rais pale NEC, nadhani wamechelewa, ingetakiwa miezi 3 kabla ya uchaguzi

Uchaguzi 2020 - Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa: Vyama vya Siasa vinavyotaka kushirikiana Uchaguzi Mkuu vimeshachelewa kwa mujibu wa Sheria
Hakuna walipoungana hakuna makubaliano yoyote ya kuungana..hebu msome tena Yeriko
 
Umenena vizuri sana!
Wanatakiwa wakumbushwe sheria inasemaje kuhusu kuungana kwa vyama wakati wa uchaguzi.
Sio,kwamba hawajui ni ukaidi tu wa sheria ili NEC ionekana inakipendelea chama Cha Mapinduzi.
Ukweli ni kwamba kuungana kuwa na mgombea mmoja wamechelewa na wanatakiwa watafakari upya kile wanachokitaka kukifanya.
Kuungana, kushirikiana, hayo maneno yanafanana na yanaweza kutumika interchangeably?
 
Again Mutungi and NEC have decided to sit on their brains!!....... Wanaisaidia CCM wazi wazi kabisa.
 
Labda huyu msajili atuambie Chama cha TLP kinachomnadi mgombea wa ccm ndugu Magufuli sio chama cha SIASA.

Kwa tafsiri ndogo ya kifungu cha 11A cha sheria ya vyama vya siasa Sura 258 iliyonukuliwa na msajiri hapo, ni kwamba sheria inahusu KUUNGANA KWA VYAMA yaani kwa kizungu wanaita merging/mergermation au Coalition...
Hivi huyu msajili kweli ni professional? Yaani kwa level yake asijue kutafsiri sheria kweli?🤔 Au ndo wale wale wanaojipendeza ili waweze kuishi maana vinginevyo hawez kusimama kwa miguu yake professionally akawa na ajira ya kuaminika.

Aibu sana 🤔🤔

Anashindwa kutofautisha kati ya COOPERATION na COALITION kweli? Sheria inaongelea Coalition (Muungano) na si cooperation (Ushirikiano) ambao wanao CCM na TLP.

Kama alikuwa amepanga akibebe chama chake kupitia hili AMECHEMKA
 
Labda huyu msajili atuambie Chama cha TLP kinachomnadi mgombea wa ccm ndugu Magufuli sio chama cha SIASA.

Kwa tafsiri ndogo ya kifungu cha 11A cha sheria ya vyama vya siasa Sura 258 iliyonukuliwa na msajiri hapo, ni kwamba sheria inahusu KUUNGANA KWA VYAMA yaani kwa kizungu wanaita merging/mergermation au Coalition...

Tatizo unasoma sheria ukiwa na mindset potofu. Kuunga mkono ukiwa siyo magombea ni tofauti kabisa na wewe kuiomba tume ikuteua kuwa mgombea wa madaraka fulani, halafu ukishauruhusiwa kugomea madaraka hayo unatumia nafasi hiyo kumnadi mgombea mwingine kabisa badala ya kujinadi mwenyewe.

Hiyo ni kuvunja sheria, kwa sababu unakuwa unatumia raslimali za Tume kama Mgombea aliyetuliwa na tume kwa kuhakikishiwa ulinzi wa serikali na kinga ya kutumia vyombo vya habari vye aumma bila kusumbuliwa kumfanyia kampeini mdombea mwingine ambaye naye ametuliwa na tume na anatumia pia raslimali za tume hizo hizo; wanasheria wengine huiita double jeopardy.

CHADEMA na ACT wanachoweza kufanya ni kwa mmoja wao kujiondoa kwenye kinyanga'anganyiro ili afutwe kwenye daftari kuwa siyo mgombea tena anayehitaji ulinzi wa serikali ndipo aanze kumnadi mtu wake; lakini siyo wote kusimama pamoja kama wagombea wakati mmoja anamnadi mwingine.

TLP wanaomnadi magufuli, wanafanya hivyo kama raia tu, siyo kama mgombea aliyeteuliwa na tume.
 
TLP walisema mapema kabla ya muda kuisha wa kuungana, meaning sheria ya NEC imetoa muda wa vyama kuungana, ukipita hakuna ruhusa kuungana, ACT & CHADEMA chunguzeni hiyo sheria mpya, kwa makini, la sivyo mtaingia ktk mgogoro mkubwa na NEC.. Ilitakiwa ACT na CDM waungane mapema na wapeleke mgombea mmoja wa Rais pale NEC, nadhani wamechelewa, ingetakiwa miezi 3 kabla ya uchaguzi

Uchaguzi 2020 - Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa: Vyama vya Siasa vinavyotaka kushirikiana Uchaguzi Mkuu vimeshachelewa kwa mujibu wa Sheria

Kwa hiyo ccm na tlp waliungana?
Akili mavi kabisa!
 
Tatizo unasoma sheria ukiwa na mindset potofu. Kuunga mkono ukiwa siyo magombea ni tofauti kabisa na wewe kuiomba tume ikuteua kuwa mgombea wa madaraka fulani, halafu ukishauruhusiwa kugomea madaraka hayo unatumia nafasi hiyo kumnadi mgombea mwingine kabisa badala ya kujinadi mwenyewe...
Usidanganye watu hata kama umeteuliwa kugombea tume haikulazimishi kufanya kampeni, mfano ukiishiwa pesa ya kampeni NEC au Msajili atakupa?
 
Usidanganye watu hata kama umeteuliwa kugombea tume haikulazimishi kufanya kampeni.
Ndipo unapokosea; haulamishiwi kufanya kampeini, lakini huwezi kutumia nafasi ya kuteuliwa kumfanyia kampeni mteuliwa mwingine; tafuta wadadavuzi wa sheria wakueleweshe tafsiri inayoitwa double jeopardy.

Hata sheria ya kunyongwa inalazimika kuongeza maneno "hadi kufa" kutokana na msingi huo huo. Nina imani Wakili msoni naye anajua hilo labda anataka kulivunja kwa makusudi tu.
 
Leta MO yao kati ya TLP na CCM, au waliungana vipi?
TLP walisema mapema kabla ya muda kuisha wa kuungana, meaning sheria ya NEC imetoa muda wa vyama kuungana, ukipita hakuna ruhusa kuungana, ACT & CHADEMA chunguzeni hiyo sheria mpya, kwa makini, la sivyo mtaingia ktk mgogoro mkubwa na NEC.. Ilitakiwa ACT na CDM waungane mapema na wapeleke mgombea mmoja wa Rais pale NEC, nadhani wamechelewa, ingetakiwa miezi 3 kabla ya uchaguzi

Uchaguzi 2020 - Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa: Vyama vya Siasa vinavyotaka kushirikiana Uchaguzi Mkuu vimeshachelewa kwa mujibu wa Sheria
 
Alie kuambia wanaungana ni nani?
Umenena vizuri sana!
Wanatakiwa wakumbushwe sheria inasemaje kuhusu kuungana kwa vyama wakati wa uchaguzi.
Sio,kwamba hawajui ni ukaidi tu wa sheria ili NEC ionekana inakipendelea chama Cha Mapinduzi.
Ukweli ni kwamba kuungana kuwa na mgombea mmoja wamechelewa na wanatakiwa watafakari upya kile wanachokitaka kukifanya.
 
Umenena vizuri sana!
Wanatakiwa wakumbushwe sheria inasemaje kuhusu kuungana kwa vyama wakati wa uchaguzi.
Sio,kwamba hawajui ni ukaidi tu wa sheria ili NEC ionekana inakipendelea chama Cha Mapinduzi.
Ukweli ni kwamba kuungana kuwa na mgombea mmoja wamechelewa na wanatakiwa watafakari upya kile wanachokitaka kukifanya.
Mmeishiwa HOJA nyie. Kuna tofauti kati ya "KUUNGANA" na "KUSHIRIKIANA"
 
Ndipo unapokosea; haulamishiwi kufanya kampeini, lakini huwezi kutumia nafasi ya kuteuliwa kumfanyia kampeni mteuliwa mwingine; tafuta wadadavuzi wa sheria wakueleweshe tafsiri inayoitwa double jeopardy. Hata sheria ya kunyongwa inalazimika kuongeza maneno "hadi kufa" kutokana na msingi huo huo. Nina imani Wakili msoni naye anajua hilo labda anataka kulivunja kwa makusudi tu.
Tunazungumzia sheria ya uchaguzi kifungu cha 11A Sura 258 inasema COALITION kwa kiswahili MUUNGANO, unataka kusema mgombea akisema kura zangu mpeni fulani tayari wameungana, mbona iko wazi tu CCM mnafeli wapi.
 
Hawa jamaa wameamua kuweka taaluma zao pembeni na kutumikia matumbo. Ni wote tu - mahakama, polisi, NEC, Uhamiaji, TRA, nk. very sad. CCM itaondoka Watanzania watakapoamua. Siyo kwa kura lakini. Kivingine.
Ni ngumu sanaa kuitoa Ccm madarakani... mwalimu wangu wa constitutional law aliwai kuniambia Ccm wanabebwa na katiba ambayo ilitungwa kwa copying and pasting kutoka katiba ya tanu....
 
Labda huyu msajili atuambie Chama cha TLP kinachomnadi mgombea wa ccm ndugu Magufuli sio chama cha SIASA.

Kwa tafsiri ndogo ya kifungu cha 11A cha sheria ya vyama vya siasa Sura 258 iliyonukuliwa na msajiri hapo, ni kwamba sheria inahusu KUUNGANA KWA VYAMA yaani kwa kizungu wanaita merging/mergermation au Coalition.

Sio hii inayotumika na Chadema na ACT wala inayotumika na CCM na TLP ambayo sio muungano bali ni gentlemen agreement au Cooperation. Au kwa siasa za Marekani huitwa endorsement.

Chadema na ACT walijua tangu mwanzo kwamba ccm na msajiri wametegesha zengwe hili ili kusiwepo na muungano kama ule wa UKAWA ndiomaana utaratibu huu wa KUUNGA MKONO mgombea mmoja wapo wa wagombea ulichelewa.

Kwa lugha rahisi ya kitaalamu, hakuna muungano wowote uliopo kati ya Chadema na ACT wala hakuna muungano wowote uliopo kati ya CCM na TLP. Kilichoko kitaalamu huwa kinaitwa kuunga "mkono mgombea flani" ama huitwa endorsement kwa siasa za kimagharibi hasa za USA na UK, Cooperation ama kijeshi hasa kijasusi huitwa gentleman's Agreement. Tena kwenye ujasusi hutumika pale mnapogongana kwenye anga la espionage.

Msajiri wa vyama vya siasa ijapokuwa ni jaji na muhudumu wa sheria, katika hili anahitaji msaada zaidi kuitafsiri sheria hii na kutafsiri matukio ya kisiasa kuliko kukariri na kuendesha ofisi kilumumbalumumba tu.

Endelea kujipatia Kitabu cha Ujasusi kwa OFA MAALUMU ya 25,000/= badala ya bei halisi ya 80,000/=.

Lipia 25,000 kwa 0788887887 (Yericko Nyerere) kisha tuma majina yako na mahali ulipo.

Kwa Dar Kitabu kitaletwa ulipo Bureeee. Nje ya Dar utalipia usafiri 8,000/=

Na Yericko Nyerere

Pia soma > Uchaguzi 2020 - Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa: Vyama vya Siasa vinavyotaka kushirikiana Uchaguzi Mkuu vimeshachelewa kwa mujibu wa Sheria

What about this?
20200923_063929.jpg
 
Nimesoma hicho kifungu cha sheria husika na pia barua ya msajili wa vyama. Barua ya msajili wa vyama inaonya kuhusu "ushirikiano" wa vyama lakini kifungu cha sheria ya vyama vya siasa kinaongelea "muungano" wa vyama.

Barua aliyoandika msajili imepotosha sheria kwa malengo ya kukibeba chama fulani. Kwa hiyo hivi vyama mfano ACT, Chadema, Chauma na wapenda haki wote kama TLS, LHRC n.k vitoe barua za wazi kumuuliza huyu msajili anayetumika kuwa ni kifungu gani cha sheria kinaongelea "ushirikiano" hata "endorsement"? Ni hicho tu.
 
Nimesoma hicho kifungu cha sheria husika na pia barua ya msajili wa vyama. Barua ya msajili wa vyama inaonya kuhusu "ushirikiano" wa vyama lakini kifungu cha sheria ya vyama vya siasa kinaongelea "muungano" wa vyama. Barua aliyoandika msajili imepotosha sheria kwa malengo ya kukibeba chama fulani. Kwa hiyo hivi vyama mfano ACT, Chadema, Chauma na wapenda haki wote kama TLS, LHRC n.k vitoe barua za wazi kumuuliza huyu msajili anayetumika kuwa ni kifungu gani cha sheria kinaongelea "ushirikiano" hata "endorsement"? Ni hicho tu.
Good Idea
 
Back
Top Bottom