MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Nani kasema ACT na CHADEMA wameungana?TLP walisema mapema kabla ya muda kuisha wa kuungana, meaning sheria ya NEC imetoa muda wa vyama kuungana, ukipita hakuna ruhusa kuungana, ACT & CHADEMA chunguzeni hiyo sheria mpya, kwa makini, la sivyo mtaingia ktk mgogoro mkubwa na NEC.. Ilitakiwa ACT na CDM waungane mapema na wapeleke mgombea mmoja wa Rais pale NEC, nadhani wamechelewa, ingetakiwa miezi 3 kabla ya uchaguzi
Uchaguzi 2020 - Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa: Vyama vya Siasa vinavyotaka kushirikiana Uchaguzi Mkuu vimeshachelewa kwa mujibu wa Sheria
Watu kama wewe ndio ccm inanufaika nao. Chadema na ACT wamesema lini na wapi kuwa wanaungana? Kwahiyo unadhani mtu kama wewe ni muelewa wa sheria za uchaguzi kuliko wanasheria wa hivyo vyama?Umenena vizuri sana!
Wanatakiwa wakumbushwe sheria inasemaje kuhusu kuungana kwa vyama wakati wa uchaguzi. Sio,kwamba hawajui ni ukaidi tu wa sheria ili NEC ionekana inakipendelea chama Cha Mapinduzi...
Kila nyanja wanakwama. Hivi hawnaa aibu hawa CCM tumboni??Labda huyu msajili atuambie Chama cha TLP kinachomnadi mgombea wa ccm ndugu Magufuli sio chama cha SIASA.
Kwa tafsiri ndogo ya kifungu cha 11A cha sheria ya vyama vya siasa Sura 258 iliyonukuliwa na msajiri hapo, ni kwamba sheria inahusu KUUNGANA KWA VYAMA yaani kwa kizungu wanaita merging/mergermation au Coalition..
tunaendelea kumuonya. He will be responsible individually.Mutungi atafungwa
amekwishawekwa kwenye orodha ya washitakiwa wanne wa mwanzo kabisa .tunaendelea kumuonya. He will be responsible individually.
Ni takataka hasa. Namfahamu vyema kabisa tangu akiwa Dodoma pale nyumba 300.Yaani huyu msajili ni [emoji706][emoji706][emoji706]
Wewe kilaza,hiyo inaitwa "endorsement".Alafu unasikia, once you quote my post, any, kuwa na nidhamu, otherwise utakuwa nyamafu sasa hivi, hooligan..!!
Uchaguzi 2020 - Zitto Kabwe: Oktoba 3 tutatangaza mgombea wa Urais atakayewakilisha upinzani
Tundu Lissu hakwepeki. Alishasema watamtangaza tu. Labda kama hata shinda.Tamko la Msajili haliepushii CCM kipigo,spana zipo pale pale Bara na Visiwani
Mzee wa kiraracha nilikupa kura yangu Temeke japo sijawahi kuamini kuwa wewe ni wapinzani ila ulishinda nashukuru uchaguzi ule wa sisko
Daaa!!! Eti waungane sheria za vyama vya siasa unaijua vizuri wewe?? Kwa Tz, walichofanya ACT na CDM, kwa sasa ndio njia pekee tu, hakuna njia nyingine. Endorsement inaruhusiwa, kwani sio muungano.TLP walisema mapema kabla ya muda kuisha wa kuungana, meaning sheria ya NEC imetoa muda wa vyama kuungana, ukipita hakuna ruhusa kuungana, ACT & CHADEMA chunguzeni hiyo sheria mpya, kwa makini, la sivyo mtaingia ktk mgogoro mkubwa na NEC.. Ilitakiwa ACT na CDM waungane mapema na wapeleke mgombea mmoja wa Rais pale NEC, nadhani wamechelewa, ingetakiwa miezi 3 kabla ya uchaguzi
Uchaguzi 2020 - Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa: Vyama vya Siasa vinavyotaka kushirikiana Uchaguzi Mkuu vimeshachelewa kwa mujibu wa Sheria
Najua umeamua kutoelewa ila ukweli ni kwamba hakuna sheria inayokataza "endorsement" aka kumkubali mgombea mwingine. Ni sawa na kusema kwamba kura yangu nampa mgombea mwenzangu. Hilo sio kosa. Tume inajaribu kuonekana kwamba inamsaidia raisi na hicho ndicho kinachofanywa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama.Umenena vizuri sana!
Wanatakiwa wakumbushwe sheria inasemaje kuhusu kuungana kwa vyama wakati wa uchaguzi. Sio,kwamba hawajui ni ukaidi tu wa sheria ili NEC ionekana inakipendelea chama Cha Mapinduzi...
Uwe unajaribu kujenga hoja kwa kutumia akili kidogo siyo mapenziTLP walisema mapema kabla ya muda kuisha wa kuungana, meaning sheria ya NEC imetoa muda wa vyama kuungana, ukipita hakuna ruhusa kuungana, ACT & CHADEMA chunguzeni hiyo sheria mpya, kwa makini, la sivyo mtaingia ktk mgogoro mkubwa na NEC.. Ilitakiwa ACT na CDM waungane mapema na wapeleke mgombea mmoja wa Rais pale NEC, nadhani wamechelewa, ingetakiwa miezi 3 kabla ya uchaguzi
Uchaguzi 2020 - Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa: Vyama vya Siasa vinavyotaka kushirikiana Uchaguzi Mkuu vimeshachelewa kwa mujibu wa Sheria
Hao NEC wenyew wasio jitambua,wanaongozwa kwa hisia za mgombea wa ccm. Acha tu uwe mgogoro, kwani watatufanya nn .TLP walisema mapema kabla ya muda kuisha wa kuungana, meaning sheria ya NEC imetoa muda wa vyama kuungana, ukipita hakuna ruhusa kuungana, ACT & CHADEMA chunguzeni hiyo sheria mpya, kwa makini, la sivyo mtaingia ktk mgogoro mkubwa na NEC.. Ilitakiwa ACT na CDM waungane mapema na wapeleke mgombea mmoja wa Rais pale NEC, nadhani wamechelewa, ingetakiwa miezi 3 kabla ya uchaguzi
Uchaguzi 2020 - Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa: Vyama vya Siasa vinavyotaka kushirikiana Uchaguzi Mkuu vimeshachelewa kwa mujibu wa Sheria
Walio ungana ni Membe na tundu Lissu. Msajiri atafute sababu nyingineNani kasema ACT na CHADEMA wameungana?
Unajua maana ya kuungana.TLP walisema mapema kabla ya muda kuisha wa kuungana, meaning sheria ya NEC imetoa muda wa vyama kuungana, ukipita hakuna ruhusa kuungana, ACT & CHADEMA chunguzeni hiyo sheria mpya, kwa makini, la sivyo mtaingia ktk mgogoro mkubwa na NEC.. Ilitakiwa ACT na CDM waungane mapema na wapeleke mgombea mmoja wa Rais pale NEC, nadhani wamechelewa, ingetakiwa miezi 3 kabla ya uchaguzi
Uchaguzi 2020 - Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa: Vyama vya Siasa vinavyotaka kushirikiana Uchaguzi Mkuu vimeshachelewa kwa mujibu wa Sheria
Kumbe upo!! WanaJF walikumic wakafikiri na wewe umepotea!!Labda huyu msajili atuambie Chama cha TLP kinachomnadi mgombea wa ccm ndugu Magufuli sio chama cha SIASA...
Ni hujuma tu hivi kwanini uweke vikwazo watu kuungana?TLP walisema mapema kabla ya muda kuisha wa kuungana, meaning sheria ya NEC imetoa muda wa vyama kuungana, ukipita hakuna ruhusa kuungana, ACT & CHADEMA chunguzeni hiyo sheria mpya, kwa makini, la sivyo mtaingia ktk mgogoro mkubwa na NEC.. Ilitakiwa ACT na CDM waungane mapema na wapeleke mgombea mmoja wa Rais pale NEC, nadhani wamechelewa, ingetakiwa miezi 3 kabla ya uchaguzi
Uchaguzi 2020 - Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa: Vyama vya Siasa vinavyotaka kushirikiana Uchaguzi Mkuu vimeshachelewa kwa mujibu wa Sheria