PreGE2025 Msajili asitisha ruzuku CHADEMA, atishia kusimamisha shughuli za chama wakiendelea kukaidi na kuwatambua viongozi

PreGE2025 Msajili asitisha ruzuku CHADEMA, atishia kusimamisha shughuli za chama wakiendelea kukaidi na kuwatambua viongozi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Chebukati was already retired (January 17, 2023). He died of brain cancer, hypertension and diabetes.
Sahihi Mkuu amekufa akiwa retired ndio, Lakini yote kwa yote his departure was too controversial mpaka family yake ili lete tension fulani na Kuna tetesi he was taken

Mimi nimfatiliaji mzuri wa Politics za Kenya kuna watu baada ya Uchaguzi walipaswa Kuondoka tu

Mfano mtu kama General Ogolla Alikuwa Critic wa Ruto before hajawa Rais ila Ruto amekuwa President ameona huyu isiwe shida wacha nimpe u CDF ila umeona alivyokuja Kuondoka na accident ya Chopper huko Elgeyo-Marakwet County
 
Ila Wafula na Ruto ni mabesti. Nadhani wako kama wana kaujamaa fulani ka bandia.
 
Mkuu, mtu anaweza kubobea sheria kiasi cha kuweza kuipindisha bila wewe kujua.

Ndivyo wanafanya wanasheria na mawakili wengi duniani kote.

Wanatafuta upenyo wa kuingilia na kutokea kwa kila mstari wa sheria.

Hao unaweza kusema ni legal hackers (wadukuzi wa sheria)!
Mkuu wanasheria wetu hawa ambao Nchi inalipa hela kila kukicha au wapi hao unaowazungumzia acha utani basi mkuu ndege ilishikwa na mkulima kampuni ya Ramaphosa ndio ilisimamia ile kesi wao walikua wanabeba mabegi tu mpaka ikaachiwa leo hii useme hao wanaweza kudukua sheria zipi na za wapi toa mifano maana Nchi ina kesi za kutosha nje tulizoshindwa..
 
Wakili hadi ashinde kesi fulani kuna vigezo vingi kama vile utashi wake binafsi, maslahi, na mtazamo.

Siyo suala la uwezo tu.

Wakili huenda akawa na uwezo wa kushinda kesi fulani, lakini akaamua kuachia mambo yamwagike.

Hivi wewe unaamini Salum Manula (wakili wa zamani wa Simba SC), alifungwa zile chuma 5 na watani zao kwa sababu ya uwezo wake mdogo golini?
 
Ila Wafula na Ruto ni mabesti. Nadhani wako kama wana kaujamaa fulani ka bandia.
Uko sahihi wana urafiki fulani, ila hujawa kusikia shetani hana rafiki mkuu? Kazi yake iliisha baada ya Kumtangaza Ruto Rais, Kumbuka through the Process kuna Commissioners wanne walikuwa against decision za Wafula, Na tayari wafula alianza kuonekana kama Uko mbele licha ya Kuwa retired anaweza Kuleta turbulence.
 
Msajili wa Vyama vya siasa nchini Tanzania kulingana na Mamlaka aliyonayo chini ya Kifungu cha 18(6) cha sheria ya Vyama vya siasa, ametangaza leo Jumanne Mei 27, 2025 kusitisha kutoa ruzuku kwa Chama Cha Demokrasia na maendeleo Chadema hadi pale watakapotekeleza maelekezo ya Ofisi ya Msajili kutokana na Chadema kutokuwa na Viongozi wanaoweza kusimamia mapato, matumizi na marejesho ya fedha hizo za Umma.

Hatua ya Ofisi ya msajili wa Vyama vya siasa imefikiwa mara baada ya kueleza kuwa Chadema imekaidi mara kadhaa maamuzi ya Ofisi ya msajili, ikiwemo taarifa ya Mei 25, 2025, ambapo Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche akisoma Maazimio ya Kamati kuu ya Chama, alieleza kuwa maamuzi na maelekezo ya Msajili wa Vyama vya siasa kuhusu malalamiko ya Bw. Lembrus Mchome ni batili na hawatoyafanyia kazi.

Aidha Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa imeendelea kusisitiza kuwa Bw. John Mnyika, Amani Golugwa, Ali Ibrahim Juma, Godbless Lema, Dkt. Rugemeleza Nshala, Rose Mayemba, Salima Kasanzu na Hafidhi Ali Salehe sio viongozi wa Chadema samvanva na watendaji wengine wote walioteyluwa katika Kikao cha Baraza kuu la Januari 2025.

Taarifa ya Msajili wa Vyama vya siasa iliyochapishwa na kusainiwa na Abuu Kimario, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na elimu ya Uraia, imewasihi pia wananchi, wadau na mamlaka na taasisi za serikali na binafsi kutowapa ushirikiano na huduma wanachama walioorodheshwa hapo juu, endapo watakuwa wakihitaji huduma fulani kama Viongozi wa Chadema, ambapo imeelezwa
kuwa Viongozi halali wa Vyama vya siasa ni wale tu wanaotambuliwa na Msajili wa Vyama vya siasa nchini.

Msajili huyo pia amebainisha kwamba endapo Chadema wataendelea kukaidi kutekeleza maamuzi na maelekezo waliyopatiwa basi Mamlaka husika zitatakiwa kuchukua hatua za kisheria na kijinai pamoja na kuwasimamisha wanaojifanya kuwa Vionglzi wa Chadema katika kufanya shughuli za kisiasa kwa mujibu wa Kifungu cha 21E cha sheria ya Vyama vya siasa nchini.

Msajili pia amekumbusha kwamba kwa mujibu wa sheria anayo mamlaka ya kusimamisha usajili wa Chadema endapo kitaendelea kuwatambua wanaojiita Viongozi wa Chama hicho, akivitaka Vyama vya siasa kuheshimu sheria ili kuepuka migogoro na mivutano isiyokuwa ya lazima.

Mkurugenzi wa Sheria wa Chadema, Dk Nshala Rugemeleza amesema wameona taarifa ya Msajili, hivyo watakwenda kupambana naye kisheria.

Majibu ya Mwanasheria wa CHADEMA kwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi
“Nimesoma taarifa ya msajili wa vyama vya siasa, ina upotoshaji mkubwa na madaraka ambayo amesema anayatumia ni kutaka kuiua Chadema kwa makusudi .

Sasa majibu atakayopambana nayo yatakuwa ya kisheria yeye si mtu mwisho wa kutafsiri sheria.”

“Tutapambana naye kisheria dhidi ya hatua zake alizozichukua, maana amekiuka sheria ni ajenda ya siri ya kutaka Chadema ife,”amesema Dk Rugemeleza.
Wajukuu wa huyu babu wanapewa dhambi za bure
 
Uko sahihi wana urafiki fulani, ila hujawa kusikia shetani hana rafiki mkuu? Kazi yake iliisha baada ya Kumtangaza Ruto Rais, Kumbuka through the Process kuna Commissioners wanne walikuwa against decision za Wafula, Na tayari wafula alianza kuonekana kama Uko mbele licha ya Kuwa retired anaweza Kuleta turbulence.
Ungesema labda wauaji wake ni upinzani aliowanyima tonge, ingekuwa rahisi kueleweka.

Lakini Ruto kumkolimba jamaa sidhani kama inawezekana.

Hakuna na sababu ya kufanya hivyo. Wala hakuwa tishio lolote kwake.

Nadhani ni changamoto ya kiafya tu.

Kwani postmortem yake majibu walishatoa?

Maana Wakenya wako relatively open kwenye masuala ya afya za viongozi wa umma.
 
Wakili hadi ashinde kesi fulani kuna vigezo vingi kama vile utashi wake binafsi, maslahi, na mtazamo.

Siyo suala la uwezo tu.

Wakili huenda akawa na uwezo wa kushinda kesi fulani, lakini akaamua kuachia mambo yamwagike.

Hivi wewe unaamini Salum Manula (wakili wa zamani wa Simba SC), alifungwa zile chuma 5 na watani zao kwa sababu ya uwezo wake mdogo golini?
Umechanganya vitu hapo kaka ila uwezo nao unachangia sana mkuu ingawaje kwa vitu vingine upo sahihi ila uwezo ni kigezo kikubwa ndio maana hata hapo home unaona tofauti ya Wakili Kambole na hao wengine kwenye kesi moja au Wakili Kibatala..
 
Ungesema labda wauaji wake ni upinzani aliowanyima tonge, ingekuwa rahisi kueleweka.

Lakini Ruto kumkolimba jamaa sidhani kama inawezekana.

Hakuna na sababu ya kufanya hivyo. Wala hakuwa tishio lolote kwake.

Nadhani ni changamoto ya kiafya tu.

Kwani postmortem yake majibu walishatoa?

Maana Wakenya wako relatively open kwenye masuala ya afya za viongozi wa umma.
Not sure kama Postmortem yake imekuwa made public mkuu, Kwasababu Last time kabla ya burial yake kuwa conducted kuna namna familia yake ilienda Viral kwa kutaka Kuadress issue fulani public Kuhusu Kifo cha Mzee wao

Lakini Ruto aliteua Member mmoja wa hio familia kabla wafula hajaondoka na Kumpa Cheo Serikalini ivo naona familia iliona tu ikae kimya kuepusha Unnecessary tensions
 
It makes sense, lakini kamwe haim-implicate Ruto.

Labda tuseme aligundua rafu ya kiafya aliyofanyiwa Wafula, lakini hakutaka iwe hadharani ili kulinda taswira ya serikali yake.

Unajua tena kwamba yeye ndiye custodian namba moja wa Kenya nzima.

Nataka kuamini kwamba maadui wa Ruto lazima walimjumuisha jamaa kwenye orodha nyeusi ama kabla au baada ya kustaafu.

^Shortly after his retirement (January 2023), in April 2023 Chebukati was diagnosed with brain cancer. He underwent his first surgery in Germany.^

Nadhani unakumbuka ule uvumi kuhusu kifo cha ex spika wa Bunge Samwel Sitta.
 
kwanini CHADEMA wasikubali tu waitishe upya Mkutano mkuu wa dharura wawapitieshe tena hao hao? kuna Ugumu gani?
 
kwanini CHADEMA wasikubali tu waitishe upya Mkutano mkuu wa dharura wawapitieshe tena hao hao? kuna Ugumu gani?
unlike act wakiitisha ,kuna kundi fulan ambalo hawaliamini linataka watu wao mle. Else wachukue ushauri wa act, mkutano unaitishwa, wanarudi team ile ile
 
unlike act wakiitisha ,kuna kundi fulan ambalo hawaliamini linataka watu wao mle. Else wachukue ushauri wa act, mkutano unaitishwa, wanarudi team ile ile
mim kwenye hili wananikera kweli. sasa ikifutwa mimi nitasapoti chama gani? au wanataka CHAUMA upinzani feki wapewe nafasi? pls wanaoweza wawashauri hao viongozi
 
..Msajili anadai akidi ya kikao kilichofanya uteuzi wa Katibu Mkuu, Naibu, na wajumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, haikutimia.

..madai kwamba akidi haikutimia yaliwasilishwa kwa Msajili na Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Mwanga.

..katika utetezi wao Chadema walidai akidi ilitimia na wanadai waliwasilisha ushahidi wa majina na saini za waliohudhuria kikao.

..vilevile, Chadema walidai mwanachama wao aliyekwenda kushtaki kwa Msajili hakuhudhuria kikao kilichofanya uteuzi hivyo haikuwa sahihi kwake kushtaki.

..zaidi, Chadema wanadai ikiwa mwanachama ana malalamiko ya kukiukwa kwa taratibu katika vikao vya chama anatakiwa kuwasilisha malalamiko yake ndani ya chama, na sio kwa Msajili.

..mwisho wa siku, Msajili alikataa utetezi wa Chadema na kuchukua hatua za kutangaza kwamba Katibu Mkuu,na Sekretariet ya Chadema, ni batili.

NB:

..Kuna kesi imefunguliwa Mahakama Kuu na Mdhamini wa Chadema, na Makamu Mwenyekiti Mstaafu, wote toka Zanzibar, wakiituhumu Chadema kwa ubaguzi ktk mgao wa rasilimali za chama. Wadai wanaitaka Mahakama isitishe shughuli zote za Chadema.
Huo ubaguzi umeanza Januari-Mei 2025, au ulianza zamani? Kama umeanza Januari mwaka huu, sawa. Kama ulikuwepo tangu zamani, kwa nini haikuwa issue kipindi cha uongozi uliokuwepo kabla?
 
Ukiona hivyo jua kumeanza kukucha ,haya yanayofafanyia si kwa bahati mbaya ,ni Mungu ameruhusu guza lianze kuondoka taratibu na mwanga utawale
 
Mutungi badala ya kuwa mlezi wa vyama amekuwa mkosoaji na muuwaji vyama haya twende kazi mpaka ukimalize tuone
 
Back
Top Bottom