Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 6,359
- 5,329
Kumbe chademo wanataka ruzuku
Nguvu ya Buku imeishia wap???
Nguvu ya Buku imeishia wap???
Kuna viongozi waliteuliwa baada ya uchaguzi wa mwenyekiti Lisu,,sasa Mr Liberata mchome akadai Kuna viongozi wa kamati kuu,waliteuliwa kiholela bila kufuta katiba,,yaani waliteliuliwa na jopo ambalo halikuwa linatambulika kikatibaNilikuwa najiuliza hivi: hao viongozi waliteuliwa Januari 2025, na kosa halikuonekana, na limekuja kuonekana almost mwishoni mwa Mei. Na ni sheria gani waliotovunja waliteuliwa au aliyewateua, na adhabu yake pia ya kuwaengua ni kwa mujibu wa sheria gani? Naomba anayejua sheria iliyokiukwa anielimishe tafadhali.
Nilikuwa najiuliza hivi: hao viongozi waliteuliwa Januari 2025, na kosa halikuonekana, na limekuja kuonekana almost mwishoni mwa Mei. Na ni sheria gani waliotovunja waliteuliwa au aliyewateua, na adhabu yake pia ya kuwaengua ni kwa mujibu wa sheria gani? Naomba anayejua sheria iliyokiukwa anielimishe tafadhali.
Njaa haijawahi kumuacha mtu salamaHawa jamaa ni Wapumbavu mnooooo mnoooo, ni Majaji LAKINI hawana akili KABISA
Uhuru huo utaisha lini?Nini faida ya uhuru tuliopata miaka zaidi ya 60 iliyopita na wengine walikufa, CCM ni hovyo kuliko mkoloni na aibu hawana, mambo ya kipuuzi sana na tunashangaa kwanini tunazidi kuwa maskini kama Taifa kila siku, hakuna nchi itaendelea kwa viongozi wapumbavu kama hawa wa CCM, njaa na matatizo yametupiga mpaka watu wanaamini ndio hali halisi ya maisha
Hajui kuwa hata kuwa yeye atazamia kwenye hiyo meli wakati ngalawa yake inazama; hivyo wakati anazamia kwenye meli ya Giriki mtoseni baharini aliwe na mamba wakati huo Ile ngalawa ya visiwani itakuwa imeshamtosa kitambo sana na kumuona ni nuksi kwenye safari! Atalia na kusaga meno! Daaaadek!!!!
Huyu hapigani vita peke yake. Huyu ni askari mmoja tu katika jeshi zima. Inatakiwa kutumia akili nzito kukabiliana na ujinga wa namna hii. Papara hazisaidii kitu. Utulivu utasambaratisha mbinu za kijinga aina hii.Anachokitafuta atakipata. Hilter also had a vision on a new Germany
Hata wewe hujui unacho eleza mwenzio. Elungata, imekuwaje?Kuna viongozi waliteuliwa baada ya uchaguzi wa mwenyekiti Lisu,,sasa Mr Liberata mchome akadai Kuna viongozi wa kamati kuu,waliteuliwa kiholela bila kufuta katiba,,yaani waliteliuliwa na jopo ambalo halikuwa linatambulika kikatiba
Sina hakika kama 'reasoning' unayoitumia hapa, ndiyo anayo itumia Mtungi.Naona na wewe ni kama vile mbumbumbu tu wa sheria...
Ili iwe hivyo unavyotafsiri wewe, huyo Msajili wa vyama anapaswa kwenda hatua ya mbele zaidi - ajipe tena mamlaka ya kisheria, aitishe kikao cha matawi wanakotoka hawa wanachama (John Mnyika na wenzake anaodai hawatambui kama viongozi) kisha aweke ajenda ya "kuwafuta uanachama kisha awaondolee uhalali wa kuwa wanachama wa CHADEMA au kwa lugha rahisi awafukuze uanachama..
Akifanikiwa kufanya hivi, basi atakuwa amewaondolea haki hii...
Na anataka kuivuruga amani ya nchi hii.Msajili ndiye anayevunja sheria.
Alaaniwe yeye na uzao wake wote kwa namna anavyotumika kukandamiza watafuta haki.Msajiliccm ni shetani mkubwa