Umshitaki kwenye mahakama zipi hizi hizi za tanzania na mihimili inayoingiliana?Msajili ni mpumbavu sana. Hivi kwa nini Chadema hawmshitaki huyu mvuta bangi kwa kuingilia mambo ya ndani ya Chadema?
Naona na wewe ni kama vile mbumbumbu tu wa sheria...Wananchi ,viongozi na wadau wasiwape huduma coyote maana yake hata wakienda kuomba Kibali cha mikutano hawatambuliki tena kama viongozi wa chadema
Afu cha ajabu unakuta lina degree mbili za sheriaNchi ipo mikononi mwa vilaza
Chadema ni kweli itafutwa,either wapo na matakwa ya msajili au wapo nje.Chadema haitoishi kwa huo upuuzi unaoitwa Ruzuku, Mutungi umeagizwa kuifuta Chadema, unaremba ili iweje?
Mnaweza kuona nchi tuliyonayo sasa, yani msajili analazimisha chadema , kutekeleza yale yasio halali, atashindwa vibaya sana asema BwanaMsajili wa Vyama vya siasa nchini Tanzania kulingana na Mamlaka aliyonayo chini ya Kifungu cha 18(6) cha sheria ya Vyama vya siasa, ametangaza leo Jumanne Mei 27, 2025 kusitisha kutoa ruzuku kwa Chama Cha Demokrasia na maendeleo Chadema hadi pale watakapotekeleza maelekezo ya Ofisi ya Msajili kutokana na Chadema kutokuwa na Viongozi wanaoweza kusimamia mapato, matumizi na marejesho ya fedha hizo za Umma.
Hatua ya Ofisi ya msajili wa Vyama vya siasa imefikiwa mara baada ya kueleza kuwa Chadema imekaidi mara kadhaa maamuzi ya Ofisi ya msajili, ikiwemo taarifa ya Mei 25, 2025, ambapo Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche akisoma Maazimio ya Kamati kuu ya Chama, alieleza kuwa maamuzi na maelekezo ya Msajili wa Vyama vya siasa kuhusu malalamiko ya Bw. Lembrus Mchome ni batili na hawatoyafanyia kazi.
Aidha Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa imeendelea kusisitiza kuwa Bw. John Mnyika, Amani Golugwa, Ali Ibrahim Juma, Godbless Lema, Dkt. Rugemeleza Nshala, Rose Mayemba, Salima Kasanzu na Hafidhi Ali Salehe sio viongozi wa Chadema samvanva na watendaji wengine wote walioteyluwa katika Kikao cha Baraza kuu la Januari 2025.
Taarifa ya Msajili wa Vyama vya siasa iliyochapishwa na kusainiwa na Abuu Kimario, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na elimu ya Uraia, imewasihi pia wananchi, wadau na mamlaka na taasisi za serikali na binafsi kutowapa ushirikiano na huduma wanachama walioorodheshwa hapo juu, endapo watakuwa wakihitaji huduma fulani kama Viongozi wa Chadema, ambapo imeelezwa
kuwa Viongozi halali wa Vyama vya siasa ni wale tu wanaotambuliwa na Msajili wa Vyama vya siasa nchini.
Msajili huyo pia amebainisha kwamba endapo Chadema wataendelea kukaidi kutekeleza maamuzi na maelekezo waliyopatiwa basi Mamlaka husika zitatakiwa kuchukua hatua za kisheria na kijinai pamoja na kuwasimamisha wanaojifanya kuwa Vionglzi wa Chadema katika kufanya shughuli za kisiasa kwa mujibu wa Kifungu cha 21E cha sheria ya Vyama vya siasa nchini.
Msajili pia amekumbusha kwamba kwa mujibu wa sheria anayo mamlaka ya kusimamisha usajili wa Chadema endapo kitaendelea kuwatambua wanaojiita Viongozi wa Chama hicho, akivitaka Vyama vya siasa kuheshimu sheria ili kuepuka migogoro na mivutano isiyokuwa ya lazima.
Mkurugenzi wa Sheria wa Chadema, Dk Nshala Rugemeleza amesema wameona taarifa ya Msajili, hivyo watakwenda kupambana naye kisheria.
Majibu ya Mwanasheria wa CHADEMA kwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi
“Nimesoma taarifa ya msajili wa vyama vya siasa, ina upotoshaji mkubwa na madaraka ambayo amesema anayatumia ni kutaka kuiua Chadema kwa makusudi .
Sasa majibu atakayopambana nayo yatakuwa ya kisheria yeye si mtu mwisho wa kutafsiri sheria.”
“Tutapambana naye kisheria dhidi ya hatua zake alizozichukua, maana amekiuka sheria ni ajenda ya siri ya kutaka Chadema ife,”amesema Dk Rugemeleza.
Mzee anaelekea kuua Chama Cha tatu baada ya kuua CUF na NCCR.Msajili wa Vyama vya siasa nchini Tanzania kulingana na Mamlaka aliyonayo chini ya Kifungu cha 18(6) cha sheria ya Vyama vya siasa, ametangaza leo Jumanne Mei 27, 2025 kusitisha kutoa ruzuku kwa Chama Cha Demokrasia na maendeleo Chadema hadi pale watakapotekeleza maelekezo ya Ofisi ya Msajili kutokana na Chadema kutokuwa na Viongozi wanaoweza kusimamia mapato, matumizi na marejesho ya fedha hizo za Umma.
Hatua ya Ofisi ya msajili wa Vyama vya siasa imefikiwa mara baada ya kueleza kuwa Chadema imekaidi mara kadhaa maamuzi ya Ofisi ya msajili, ikiwemo taarifa ya Mei 25, 2025, ambapo Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche akisoma Maazimio ya Kamati kuu ya Chama, alieleza kuwa maamuzi na maelekezo ya Msajili wa Vyama vya siasa kuhusu malalamiko ya Bw. Lembrus Mchome ni batili na hawatoyafanyia kazi.
Aidha Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa imeendelea kusisitiza kuwa Bw. John Mnyika, Amani Golugwa, Ali Ibrahim Juma, Godbless Lema, Dkt. Rugemeleza Nshala, Rose Mayemba, Salima Kasanzu na Hafidhi Ali Salehe sio viongozi wa Chadema samvanva na watendaji wengine wote walioteyluwa katika Kikao cha Baraza kuu la Januari 2025.
Taarifa ya Msajili wa Vyama vya siasa iliyochapishwa na kusainiwa na Abuu Kimario, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na elimu ya Uraia, imewasihi pia wananchi, wadau na mamlaka na taasisi za serikali na binafsi kutowapa ushirikiano na huduma wanachama walioorodheshwa hapo juu, endapo watakuwa wakihitaji huduma fulani kama Viongozi wa Chadema, ambapo imeelezwa
kuwa Viongozi halali wa Vyama vya siasa ni wale tu wanaotambuliwa na Msajili wa Vyama vya siasa nchini.
Msajili huyo pia amebainisha kwamba endapo Chadema wataendelea kukaidi kutekeleza maamuzi na maelekezo waliyopatiwa basi Mamlaka husika zitatakiwa kuchukua hatua za kisheria na kijinai pamoja na kuwasimamisha wanaojifanya kuwa Vionglzi wa Chadema katika kufanya shughuli za kisiasa kwa mujibu wa Kifungu cha 21E cha sheria ya Vyama vya siasa nchini.
Msajili pia amekumbusha kwamba kwa mujibu wa sheria anayo mamlaka ya kusimamisha usajili wa Chadema endapo kitaendelea kuwatambua wanaojiita Viongozi wa Chama hicho, akivitaka Vyama vya siasa kuheshimu sheria ili kuepuka migogoro na mivutano isiyokuwa ya lazima.
Mkurugenzi wa Sheria wa Chadema, Dk Nshala Rugemeleza amesema wameona taarifa ya Msajili, hivyo watakwenda kupambana naye kisheria.
Majibu ya Mwanasheria wa CHADEMA kwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi
“Nimesoma taarifa ya msajili wa vyama vya siasa, ina upotoshaji mkubwa na madaraka ambayo amesema anayatumia ni kutaka kuiua Chadema kwa makusudi .
Sasa majibu atakayopambana nayo yatakuwa ya kisheria yeye si mtu mwisho wa kutafsiri sheria.”
“Tutapambana naye kisheria dhidi ya hatua zake alizozichukua, maana amekiuka sheria ni ajenda ya siri ya kutaka Chadema ife,”amesema Dk Rugemeleza.
Ruzuku isitumike kunyamazisha watu sio hisani kwanza wangefuta tu zisiwepo kwenye vyama vyote kila chama kijitafutie helaMsajili wa Vyama vya siasa nchini Tanzania kulingana na Mamlaka aliyonayo chini ya Kifungu cha 18(6) cha sheria ya Vyama vya siasa, ametangaza leo Jumanne Mei 27, 2025 kusitisha kutoa ruzuku kwa Chama Cha Demokrasia na maendeleo Chadema hadi pale watakapotekeleza maelekezo ya Ofisi ya Msajili kutokana na Chadema kutokuwa na Viongozi wanaoweza kusimamia mapato, matumizi na marejesho ya fedha hizo za Umma.
Hatua ya Ofisi ya msajili wa Vyama vya siasa imefikiwa mara baada ya kueleza kuwa Chadema imekaidi mara kadhaa maamuzi ya Ofisi ya msajili, ikiwemo taarifa ya Mei 25, 2025, ambapo Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche akisoma Maazimio ya Kamati kuu ya Chama, alieleza kuwa maamuzi na maelekezo ya Msajili wa Vyama vya siasa kuhusu malalamiko ya Bw. Lembrus Mchome ni batili na hawatoyafanyia kazi.
Aidha Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa imeendelea kusisitiza kuwa Bw. John Mnyika, Amani Golugwa, Ali Ibrahim Juma, Godbless Lema, Dkt. Rugemeleza Nshala, Rose Mayemba, Salima Kasanzu na Hafidhi Ali Salehe sio viongozi wa Chadema samvanva na watendaji wengine wote walioteyluwa katika Kikao cha Baraza kuu la Januari 2025.
Taarifa ya Msajili wa Vyama vya siasa iliyochapishwa na kusainiwa na Abuu Kimario, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na elimu ya Uraia, imewasihi pia wananchi, wadau na mamlaka na taasisi za serikali na binafsi kutowapa ushirikiano na huduma wanachama walioorodheshwa hapo juu, endapo watakuwa wakihitaji huduma fulani kama Viongozi wa Chadema, ambapo imeelezwa
kuwa Viongozi halali wa Vyama vya siasa ni wale tu wanaotambuliwa na Msajili wa Vyama vya siasa nchini.
Msajili huyo pia amebainisha kwamba endapo Chadema wataendelea kukaidi kutekeleza maamuzi na maelekezo waliyopatiwa basi Mamlaka husika zitatakiwa kuchukua hatua za kisheria na kijinai pamoja na kuwasimamisha wanaojifanya kuwa Vionglzi wa Chadema katika kufanya shughuli za kisiasa kwa mujibu wa Kifungu cha 21E cha sheria ya Vyama vya siasa nchini.
Msajili pia amekumbusha kwamba kwa mujibu wa sheria anayo mamlaka ya kusimamisha usajili wa Chadema endapo kitaendelea kuwatambua wanaojiita Viongozi wa Chama hicho, akivitaka Vyama vya siasa kuheshimu sheria ili kuepuka migogoro na mivutano isiyokuwa ya lazima.
Mkurugenzi wa Sheria wa Chadema, Dk Nshala Rugemeleza amesema wameona taarifa ya Msajili, hivyo watakwenda kupambana naye kisheria.
Majibu ya Mwanasheria wa CHADEMA kwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi
“Nimesoma taarifa ya msajili wa vyama vya siasa, ina upotoshaji mkubwa na madaraka ambayo amesema anayatumia ni kutaka kuiua Chadema kwa makusudi .
Sasa majibu atakayopambana nayo yatakuwa ya kisheria yeye si mtu mwisho wa kutafsiri sheria.”
“Tutapambana naye kisheria dhidi ya hatua zake alizozichukua, maana amekiuka sheria ni ajenda ya siri ya kutaka Chadema ife,”amesema Dk Rugemeleza.
Safi sana kongole Msajili Jaji Mutungi ningeshangaa wasingechukuliwa hatua. Hawana akili, ni wapumbavu mpk chenji inabaki hasa Heche, hakuna chama pale. Sijui uwaite vichaa, sijui ni viumbe wa aina gani, hawamtambui kiongozi yyte nchi hii, hawatambua ht km kuna uongozi wa nchi, hawa ni viumbe gani waliokosa hekima hivi? Hako kachadomo katafutika muda si mrefu.Msajili wa Vyama vya siasa nchini Tanzania kulingana na Mamlaka aliyonayo chini ya Kifungu cha 18(6) cha sheria ya Vyama vya siasa, ametangaza leo Jumanne Mei 27, 2025 kusitisha kutoa ruzuku kwa Chama Cha Demokrasia na maendeleo Chadema hadi pale watakapotekeleza maelekezo ya Ofisi ya Msajili kutokana na Chadema kutokuwa na Viongozi wanaoweza kusimamia mapato, matumizi na marejesho ya fedha hizo za Umma.
Hatua ya Ofisi ya msajili wa Vyama vya siasa imefikiwa mara baada ya kueleza kuwa Chadema imekaidi mara kadhaa maamuzi ya Ofisi ya msajili, ikiwemo taarifa ya Mei 25, 2025, ambapo Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche akisoma Maazimio ya Kamati kuu ya Chama, alieleza kuwa maamuzi na maelekezo ya Msajili wa Vyama vya siasa kuhusu malalamiko ya Bw. Lembrus Mchome ni batili na hawatoyafanyia kazi.
Aidha Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa imeendelea kusisitiza kuwa Bw. John Mnyika, Amani Golugwa, Ali Ibrahim Juma, Godbless Lema, Dkt. Rugemeleza Nshala, Rose Mayemba, Salima Kasanzu na Hafidhi Ali Salehe sio viongozi wa Chadema samvanva na watendaji wengine wote walioteyluwa katika Kikao cha Baraza kuu la Januari 2025.
Taarifa ya Msajili wa Vyama vya siasa iliyochapishwa na kusainiwa na Abuu Kimario, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na elimu ya Uraia, imewasihi pia wananchi, wadau na mamlaka na taasisi za serikali na binafsi kutowapa ushirikiano na huduma wanachama walioorodheshwa hapo juu, endapo watakuwa wakihitaji huduma fulani kama Viongozi wa Chadema, ambapo imeelezwa
kuwa Viongozi halali wa Vyama vya siasa ni wale tu wanaotambuliwa na Msajili wa Vyama vya siasa nchini.
Msajili huyo pia amebainisha kwamba endapo Chadema wataendelea kukaidi kutekeleza maamuzi na maelekezo waliyopatiwa basi Mamlaka husika zitatakiwa kuchukua hatua za kisheria na kijinai pamoja na kuwasimamisha wanaojifanya kuwa Vionglzi wa Chadema katika kufanya shughuli za kisiasa kwa mujibu wa Kifungu cha 21E cha sheria ya Vyama vya siasa nchini.
Msajili pia amekumbusha kwamba kwa mujibu wa sheria anayo mamlaka ya kusimamisha usajili wa Chadema endapo kitaendelea kuwatambua wanaojiita Viongozi wa Chama hicho, akivitaka Vyama vya siasa kuheshimu sheria ili kuepuka migogoro na mivutano isiyokuwa ya lazima.
Mkurugenzi wa Sheria wa Chadema, Dk Nshala Rugemeleza amesema wameona taarifa ya Msajili, hivyo watakwenda kupambana naye kisheria.
Majibu ya Mwanasheria wa CHADEMA kwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi
“Nimesoma taarifa ya msajili wa vyama vya siasa, ina upotoshaji mkubwa na madaraka ambayo amesema anayatumia ni kutaka kuiua Chadema kwa makusudi .
Sasa majibu atakayopambana nayo yatakuwa ya kisheria yeye si mtu mwisho wa kutafsiri sheria.”
“Tutapambana naye kisheria dhidi ya hatua zake alizozichukua, maana amekiuka sheria ni ajenda ya siri ya kutaka Chadema ife,”amesema Dk Rugemeleza.
Babako ndio hana akili angevaa condomHawa jamaa ni Wapumbavu mnooooo mnoooo, ni Majaji LAKINI hawana akili KABISA
Unauliza makofi polisi?Wananchi ,viongozi na wadau wasiwape huduma coyote maana yake hata wakienda kuomba Kibali cha mikutano hawatambuliki tena kama viongozi wa chadema
We ni funza tu, yaani uchafuMsajiliccm ni kada wa ccm sasa kajitoa fahamu kutekeleza ushetani toka ccm
Dua za kipumbavu, ulitegemea nini wapuuze uamuzi wa msajili halafu waachwe? Sheria zimetungwa za nini? Lissu na Heche ni viumbe vya ajabu kwa upumbavuHuu ushetani wa kijinga jinga ndiyo utawaua ccm kwa kidhani kuwa hakuna maisha baada ya siasa
Kennedy tunajua cha kufanya. Hata akitaka akifute kabisa.Okay, kenge tutulie hamna ruzuku
Subiri uone nani falaUnaongea kama fala wenye busara ndo wapo huko ccm?
Wanasema chadema imekufa baada ya kukimbiwa na g55. Sasa hizi sarakasi zai ni za niniHizi ngonjera zote za nini? Serikali imeshasema kudai electoral reforms ni uhaini. Sasa yeye amesubiri nini kukifutia kabisa chama usajili?