The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,006
- 3,275
Wewe au huyo kada mwingine amepotosha.Msajili msaidizi wa vyama vya siasa mh Nyahuza amevitaka vyama vya upinzani kuacha mbwembwe na kuzingatia sheria tunapoelekea uchaguzi mkuu.
Nyahuza amesema kuna mgombea urais ametoa vitisho vya kuingiza watu barabarani endapo atafeli kwenye uchaguzi wa Rais, mtu huyo amepungukiwa ustaarabu.
Maendeleo hayana vyama!
Acheni unafiki,alichosema Lissu kama taibiwa kura na uchaguzi kuwa sio wa haki,nitarudisha majibu kwa wananchiMsajili msaidizi wa vyama vya siasa mh Nyahuza amevitaka vyama vya upinzani kuacha mbwembwe na kuzingatia sheria tunapoelekea uchaguzi mkuu.
Nyahuza amesema kuna mgombea urais ametoa vitisho vya kuingiza watu barabarani endapo atafeli kwenye uchaguzi wa Rais, mtu huyo amepungukiwa ustaarabu.
Maendeleo hayana vyama!
Mtikila alijarubu na alishindwa!Msajili msaidizi wa vyama vya siasa mh Nyahuza amevitaka vyama vya upinzani kuacha mbwembwe na kuzingatia sheria tunapoelekea uchaguzi mkuu.
Nyahuza amesema kuna mgombea urais ametoa vitisho vya kuingiza watu barabarani endapo atafeli kwenye uchaguzi wa Rais, mtu huyo amepungukiwa ustaarabu.
Maendeleo hayana vyama!
Aliyeanzisha thread hii hana tofauti na mihadhala ya mujahedeen.Hiyo ndiyo job description aliyopewa na aliyemwajiri.
Lissu kawakamata MATAGA kunako I tell you!!Msajili msaidizi wa vyama vya siasa mh Nyahuza amevitaka vyama vya upinzani kuacha mbwembwe na kuzingatia sheria tunapoelekea uchaguzi mkuu.
Nyahuza amesema kuna mgombea urais ametoa vitisho vya kuingiza watu barabarani endapo atafeli kwenye uchaguzi wa Rais, mtu huyo amepungukiwa ustaarabu.
Maendeleo hayana vyama!
Nawe unaingia kundi la "akili ndogo"sasa ushindwe urais alafu uingize watu barabarani unataka aliyeshinda atawaleje watu waliompa ushindi?
Lissu Bhana.
Huo ni wakati wa aliyeshinda kutumia Barabara hizo kuleta maendeleo jamani
Alisema akiibiwa kura.sasa ushindwe urais alafu uingize watu barabarani unataka aliyeshinda atawaleje watu waliompa ushindi?
Lissu Bhana.
Huo ni wakati wa aliyeshinda kutumia Barabara hizo kuleta maendeleo jamani
nashukuru kwa maoni yako mkuu sanaNawe unaingia kundi la "akili ndogo"
Huyu chizi tu ni wa kupuuzwaMsajili msaidizi wa vyama vya siasa mh Nyahuza amevitaka vyama vya upinzani kuacha mbwembwe na kuzingatia sheria tunapoelekea uchaguzi mkuu.
Nyahuza amesema kuna mgombea urais ametoa vitisho vya kuingiza watu barabarani endapo atafeli kwenye uchaguzi wa Rais, mtu huyo amepungukiwa ustaarabu.
Pia soma> Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza wananchi barabarani
Maendeleo hayana vyama!
Sawa naanzisha!Nafuatilia hapa live mkutano wa Nccr Mageuzi, kama hizi thread mnazoanzisha hapa JF ndio huwa mnaokoteza maneno mawili matatu ya mtu na kuanzisha thread basi tuna msiba.
Haya sasa Joseph Butiku yupo live anavikemea vyombo vya dola anzisha uzi basi.
Yeye hajamtaja kwa jina!Acheni unafiki,alichosema Lissu kama taibiwa kura na uchaguzi kuwa sio wa haki,nitarudisha majibu kwa wananchi
WhateverUmemsikiliza au umehadithiwa?
Ndo kawaida yao kuhamisha magoriHapo hakusema endapo atafeli, bali endapo ataibiwa kura. Msajili angenukuu vizuri, halafu aseme kama atakayeiba kura amepungukiwa au hajapungukiwa ustaarabu