niachiemimi
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,606
- 5,295
Lissu anawadanganya wenzake. Waingie barabarani tena yeye atangulie mbele.sasa ushindwe urais alafu uingize watu barabarani unataka aliyeshinda atawaleje watu waliompa ushindi?
Lissu Bhana.
Huo ni wakati wa aliyeshinda kutumia Barabara hizo kuleta maendeleo jamani