Uchaguzi 2020 Msajili: Mgombea aliyesema ataingiza watu barabarani kama akishindwa Urais ametoa lugha za vitisho, siyo ustaarabu

Uchaguzi 2020 Msajili: Mgombea aliyesema ataingiza watu barabarani kama akishindwa Urais ametoa lugha za vitisho, siyo ustaarabu

sasa ushindwe urais alafu uingize watu barabarani unataka aliyeshinda atawaleje watu waliompa ushindi?

Lissu Bhana.
Huo ni wakati wa aliyeshinda kutumia Barabara hizo kuleta maendeleo jamani
Lissu anawadanganya wenzake. Waingie barabarani tena yeye atangulie mbele.
 
Mbona anachukua sentensi nusu nusu ameacha kisababishi, Lissu alisema 'endapo ataibiwa kura' ataingiza watu barabarani, mbona iko wazi hata Seif kasema hivyo hivyo.

Ila angalau meseji zimeanza kuwafikia walizoea watu wa kuwaambia tutamwachia Mungu, Lissu ni mgombea sahihi kwa muda sahihi.

Kasema kuna mgombea atakaye wapeleka watu barabarani kama akishindwa. Lissu hajasema hivyo.

Labda alimaanisha mgombea mwingine.
 
Msajili msaidizi wa Vyama vya Siasa mh Nyahuza amevitaka vyama vya upinzani kuacha mbwembwe na kuzingatia sheria tunapoelekea uchaguzi mkuu.

Nyahuza amesema kuna mgombea urais ametoa vitisho vya kuingiza watu barabarani endapo atafeli kwenye uchaguzi wa Rais, mtu huyo amepungukiwa ustaarabu.

Pia soma> Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza wananchi barabarani

Maendeleo hayana vyama!
Huyu Njaahuza wako mwongo sana, Lissu alisema kama akiibiwa ushindi wake hajasema akifeli, wewe na huyo mtu wako ni wazushi, wambea na wazandiki wakubwa.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom