Msajili: Mikutano ya Vyama vya Siasa inaratibiwa na Jeshi la Polisi kwa mujibu wa Katiba

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ni katika kipindi cha Kipima Joto mubashara ITV

Msajili Msaidizi Nyahoza amesema Msajili hausiki na uratibu wa mikutano ya kisiasa bali jukumu hilo ni la Jeshi la Polisi na ndio wanaopaswa kulitolea maelezo au elimu.

Maendeleo hayana vyama
 
Ni katika kipindi cha Kipima Joto mubashara ITV

Msajili msaidizi mh Nyahoza amesema Msajili hausiki na uratibu wa mikutano ya kisiasa bali jukumu hilo ni la jeshi la polisi na ndio wanaopaswa kulitolea Maelezo au elimu.

Maendeleo hayana vyama!
Ujinga
 
Ipi ni tofauti kati ya kusimamia na kuratibu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…