johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Yani hizo picha mbili hazina tofauti kabisaKasema kweli kabisa aisee KONGOLE Meya wangu wa Ubungo hawa wanafanana.
View attachment 1527608
View attachment 1527609
Aaah! Huu sasa ni uchokozi.Kasema kweli kabisa aisee KONGOLE Meya wangu wa Ubungo hawa wanafanana.
View attachment 1527608
View attachment 1527609
Hawa wamezoea kusifia Hata pale pasipostahili ndio maana hawana uvumilivu wakiambiwa ukweli!!!Wewe bhana. Hapo si kaongea ukweli? Sasa kama hampendezi aseme uongo kuwa mnapendeza? Hujui kusema uongo ni kuvunja kati ya zile amri 10 za Mungu. Kama hizo rangi za migomba hawazipendi si wabadirishe?
Ila mkuu kama kuna kaukweli ndani yakeAaah! Huu sasa ni uchokozi.