Msajili mkemee Meya Jacob anayedai CHADEMA wanapendeza ila CCM wakiwa mkutanoni wanakuwa kama shamba la migomba

Ulimwambia pia polepole aliposema wapinzani ni sawa na CORONA!!. kuwashwa na ya chedema unongoza
 
Nimemsoma Mgombea Ubunge wa CHADEMA, Boniface Jacob akidai mikutano ya CHADEMA wanapendeza kwa kupigilia pamba ila ile ya CCM na zile kijani inakuwa kama shamba la Migomba.

Ni vema Jaji Mutungi ukamkemea huyu kijana maana kampeni bado lakini ameshaanza kutoa lugha za kuudhi na kukera.

CCM na Migomba wapi na wapi?

Nimemkuta kule Twitter amenichefua sana.

Maendeleo hayana vyama!
Vumilia mtani. Ya JPM kwa Mbuge Bwege je? Msajiri hawezi kushughulika na jambo dogo kama hilo
 
Wewe bhana. Hapo si kaongea ukweli? Sasa kama hampendezi aseme uongo kuwa mnapendeza? Hujui kusema uongo ni kuvunja kati ya zile amri 10 za Mungu. Kama hizo rangi za migomba hawazipendi si wabadirishe?
Wameanza. Hawakawii. Watauita utani huo ni "tusi".
 
Nimemsoma Mgombea Ubunge wa CHADEMA, Boniface Jacob akidai mikutano ya CHADEMA wanapendeza kwa kupigilia pamba ila ile ya CCM na zile kijani inakuwa kama shamba la Migomba.

Ni vema Jaji Mutungi ukamkemea huyu kijana maana kampeni bado lakini ameshaanza kutoa lugha za kuudhi na kukera.

CCM na Migomba wapi na wapi?

Nimemkuta kule Twitter amenichefua sana.

Maendeleo hayana vyama!
Mi binafsi kwa utani huo sioni tatizo sisi tunajua jinsi ya kucheza hao wakazi wa serengeti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimemsoma Mgombea Ubunge wa CHADEMA, Boniface Jacob akidai mikutano ya CHADEMA wanapendeza kwa kupigilia pamba ila ile ya CCM na zile kijani inakuwa kama shamba la Migomba.

Ni vema Jaji Mutungi ukamkemea huyu kijana maana kampeni bado lakini ameshaanza kutoa lugha za kuudhi na kukera.

CCM na Migomba wapi na wapi?

Nimemkuta kule Twitter amenichefua sana.

Maendeleo hayana vyama!
Alikuwa meya
 
Mkuu Yohane, si afadhali hata ametumia lugha ya staha kwa kuwafananisha na rangi ya majani ya migomba. Je! Kama angeliwafananisha na wale nzi wakubwa wa kijani si ingalikuwa ni balaa zaidi.
Mbona haujawataja jina wakati kila mtu analijua? CCM.
 
Nimemsoma Mgombea Ubunge wa CHADEMA, Boniface Jacob akidai mikutano ya CHADEMA wanapendeza kwa kupigilia pamba ila ile ya CCM na zile kijani inakuwa kama shamba la Migomba.

Ni vema Jaji Mutungi ukamkemea huyu kijana maana kampeni bado lakini ameshaanza kutoa lugha za kuudhi na kukera.

CCM na Migomba wapi na wapi?

Nimemkuta kule Twitter amenichefua sana.

Maendeleo hayana vyama!
Mkuu umepaniki kwa mandishi yake au umepanikk kwa kuwa umeamka na hasira
 
Nimemsoma Mgombea Ubunge wa CHADEMA, Boniface Jacob akidai mikutano ya CHADEMA wanapendeza kwa kupigilia pamba ila ile ya CCM na zile kijani inakuwa kama shamba la Migomba.

Ni vema Jaji Mutungi ukamkemea huyu kijana maana kampeni bado lakini ameshaanza kutoa lugha za kuudhi na kukera.

CCM na Migomba wapi na wapi?

Nimemkuta kule Twitter amenichefua sana.

Maendeleo hayana vyama!
Bwashee unakwama wapi? Yaani sare za ccm siyo tu zinafanana na shamba la migomba Bali na bustani ya maboga yaliyochanua maua!
 
Back
Top Bottom