Msajili mkemee Meya Jacob anayedai CHADEMA wanapendeza ila CCM wakiwa mkutanoni wanakuwa kama shamba la migomba

Nimemsoma Mgombea Ubunge wa CHADEMA, Boniface Jacob akidai mikutano ya CHADEMA wanapendeza kwa kupigilia pamba ila ile ya CCM na zile kijani inakuwa kama shamba la Migomba.

Ni vema Jaji Mutungi ukamkemea huyu kijana maana kampeni bado lakini ameshaanza kutoa lugha za kuudhi na kukera.

CCM na Migomba wapi na wapi?

Nimemkuta kule Twitter amenichefua sana.

Maendeleo hayana vyama!

Wewe sio mtu mzuri. Yaani umeamua kumuongezea maumivu Msajili kabla hajatoa hukumu ya ubeti uliozidi katika hit ya CHADEMA? Not fair at all.
 
Nimemsoma Mgombea Ubunge wa CHADEMA, Boniface Jacob akidai mikutano ya CHADEMA wanapendeza kwa kupigilia pamba ila ile ya CCM na zile kijani inakuwa kama shamba la Migomba.

Ni vema Jaji Mutungi ukamkemea huyu kijana maana kampeni bado lakini ameshaanza kutoa lugha za kuudhi na kukera.

CCM na Migomba wapi na wapi?

Nimemkuta kule Twitter amenichefua sana.

Maendeleo hayana vyama!
Kama mtoto wa chekechea vile anavyo shitaki kwa mwalimu wake kila akisogelewa
 
Nimemsoma Mgombea Ubunge wa CHADEMA, Boniface Jacob akidai mikutano ya CHADEMA wanapendeza kwa kupigilia pamba ila ile ya CCM na zile kijani inakuwa kama shamba la Migomba.

Ni vema Jaji Mutungi ukamkemea huyu kijana maana kampeni bado lakini ameshaanza kutoa lugha za kuudhi na kukera.

CCM na Migomba wapi na wapi?

Nimemkuta kule Twitter amenichefua sana.

Maendeleo hayana vyama!
Bwashee mkiwa kwenye yale mafuso yenu mnakuwa kama mikungu ya ndizi teh teh teh
 
Back
Top Bottom