johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Msajili Asimame haki watu wasidhulumiwe haki zao
Labda alikuwa likizo hata vyuo wakati wa uchaguzi mkuu hufungwaMjinga kabisa huyu mzee upuuzi uliofanywa na CCM/gvt kwenye uchaguzi wa sm mbona alikaa kimya?
ha ha ha, dunia ina mambo ishi ushuhudie mengiMsajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Mutungi amesema anafuatilia kwa makini sana uchaguzi wa viongozi wa Chadema kuhakikisha katiba inafuatwa na haki inatendeka kwa wagombea wote.
Msajili amesema endapo katiba itakiukwa kwa makusudi basi uongozi utakaochaguliwa utakuwa ni batili na hatautambua.
Chanzo: Gazeti la Jiji
Maendeleo hayana vyama!
Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Mutungi amesema anafuatilia kwa makini sana uchaguzi wa viongozi wa Chadema kuhakikisha katiba inafuatwa na haki inatendeka kwa wagombea wote.
Msajili amesema endapo katiba itakiukwa kwa makusudi basi uongozi utakaochaguliwa utakuwa ni batili na hatautambua.
Chanzo: Gazeti la Jiji
Maendeleo hayana vyama!
Huyu msajili vipi??Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Mutungi amesema anafuatilia kwa makini sana uchaguzi wa viongozi wa CHADEMA kuhakikisha katiba inafuatwa na haki inatendeka kwa wagombea wote.
Msajili amesema endapo katiba itakiukwa kwa makusudi basi uongozi utakaochaguliwa utakuwa ni batili na hatautambua.
Chanzo: Gazeti la Jiji
Maendeleo hayana vyama!
Msajili ni mwanaccm?!Kwanini wanaccm wanahangaika sana na uenyekiti wa Mbowe kuliko uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu!
Lakini inaonesha maelekezo aliyopewa ni kutowatambua viongozi watakaochaguliwa endapo waccm hawatashinda.
Uchaguzi wa serikali za mitaa unasimamiwa na Tamisemi bwashee!Huyu msajili vipi??
Aingilie kwanza uchaguzi wa serikali za mitaa, ambao hata mtu aliye kipofu ameona namna ulivyokuwa siyo wa haki na huru